• Kama kuna watu ume wa block kwa kosa warudishe uwape nafasi ya kuaga na kutoa maneno ya mwisho kama wosia kisha wa block tena.
    Hadi utakapokaa ujadili uwarudishe au usirudishe
    Kama kuna watu ume wa block kwa kosa warudishe uwape nafasi ya kuaga na kutoa maneno ya mwisho kama wosia kisha wa block tena. 馃毌馃毞馃摰 Hadi utakapokaa ujadili uwarudishe au usirudishe
    0 Commenti 0 condivisioni 89 Views
  • Baba mwanao mtaa umenchukia
    na sina pengine pakukmbilia
    nakuja kwako naiman maombi yangu utayapokea
    nmekuja kwa njia ya upole cjaja kukufokea
    japo najua kuna meng nmekukosea
    ila baba uwez mfundisha mwanao kusame ikiwa we utak kusamea
    Baba mwanao mtaa umenchukia na sina pengine pakukmbilia nakuja kwako naiman maombi yangu utayapokea nmekuja kwa njia ya upole cjaja kukufokea japo najua kuna meng nmekukosea ila baba uwez mfundisha mwanao kusame ikiwa we utak kusamea
    0 Commenti 0 condivisioni 81 Views
  • Kila nikikaa nayawaza maisha.. Japo hali sir God atanivusha..
    Kilicho tukuza mapema ni haya haya majukumu..
    Peace kwa kila anaye jituma point tatu ni muhimu..
    Wanao teseka na mapenzi washenzi wa fikra..
    Wazee wa matanuzi ni upuuzi hawaja balehe kifikra..
    Kila nikikaa nayawaza maisha.. Japo hali sir God atanivusha.. Kilicho tukuza mapema ni haya haya majukumu.. Peace kwa kila anaye jituma point tatu ni muhimu.. Wanao teseka na mapenzi washenzi wa fikra.. Wazee wa matanuzi ni upuuzi hawaja balehe kifikra..
    0 Commenti 0 condivisioni 170 Views
  • Mpira dakika: 90
    Film dakika: 130
    Sala dakika: 5
    Motoni: milele
    Kwa akili zilizo jaa fikiria yafuatayo:
    WhatsApp Marafiki: 3200.
    Facebook Marafiki: 5000+
    Simu Marafiki: 4600.
    Unapo ishi Marafiki: 1000+
    Wakati wa shida: peke yako!!
    Jeneza lako: peke yako!!
    Kaburini lako: Peke yako!!
    Usishangae ndio maisha yetu leo
    Ukweli wa Mambo:
    Hakuna litakalo kufaa ila kujikaribisha kwa Mungu. Mkumbuke muumba wako.. Siku za ujana wako..
    SEMA AMEN
    Mpira dakika: 90 Film dakika: 130 Sala dakika: 5 Motoni: milele Kwa akili zilizo jaa fikiria yafuatayo: WhatsApp Marafiki: 3200. Facebook Marafiki: 5000+ Simu Marafiki: 4600. Unapo ishi Marafiki: 1000+ Wakati wa shida: peke yako!! Jeneza lako: peke yako!! Kaburini lako: Peke yako!! 馃槼Usishangae ndio maisha yetu leo馃槼 Ukweli wa Mambo: Hakuna litakalo kufaa ila kujikaribisha kwa Mungu. Mkumbuke muumba wako.. Siku za ujana wako.. SEMA AMEN
    0 Commenti 0 condivisioni 380 Views
  • Unapowaza kuheshimika... Kwanza Anza Kujiheshimu.....
    Alf Mahali Bangi inatumika.... we tumia Tu Elimu.....
    Unapowaza kuheshimika... Kwanza Anza Kujiheshimu..... Alf Mahali Bangi inatumika.... we tumia Tu Elimu.....
    0 Commenti 0 condivisioni 107 Views
  • WANANIFUATA MPAKA IN-BOX KWA HII MICHANO!!
    VICHWA EMPTY BOX HAWAWEZI HUU MPAMBANO!!
    LIKE KICK BOX NAPIGA PUNCH HAKUNA MFANO!!
    DICTIONARY MIKOSI KUFELI WEKA KWENYE MABANO!!
    WANANIFUATA MPAKA IN-BOX KWA HII MICHANO!! VICHWA EMPTY BOX HAWAWEZI HUU MPAMBANO!! LIKE KICK BOX NAPIGA PUNCH HAKUNA MFANO!! DICTIONARY MIKOSI KUFELI WEKA KWENYE MABANO!!
    0 Commenti 0 condivisioni 72 Views
  • Niwakati wakuvunja chupa za chuki chupa za hasira, chupa za Masimango, chupa za unafki, chupa za vita kati watu na watu, chupa za uzinzi na Matusi, chupa za choyo, chupa za maadili mabovu, chupa za kukata tamaa na unyonge, chupa za kuto kujiamini,. VUNJA CHUPA ZAKO ZOTE NA UWE HURU.



    Niwakati wakuvunja chupa za chuki chupa za hasira, chupa za Masimango, chupa za unafki, chupa za vita kati watu na watu, chupa za uzinzi na Matusi, chupa za choyo, chupa za maadili mabovu, chupa za kukata tamaa na unyonge, chupa za kuto kujiamini,. VUNJA CHUPA ZAKO ZOTE NA UWE HURU. 馃檹
    0 Commenti 0 condivisioni 69 Views
  • 0 Commenti 0 condivisioni 228 Views
  • Like
    Love
    6
    0 Commenti 0 condivisioni 634 Views
  • 0 Commenti 0 condivisioni 238 Views