Результаты поиска
Все результаты
Socialpop Socialpop Socialpop
Главная
Группы
Страницы
Marketplace
Больше
Группы Страницы Marketplace Мероприятия Статьи пользователей Funding Offers Jobs Courses Форумы Кинозал
Вступить
Войти Регистрация
Theme Switcher
Ночной режим
Каталог
Пользователи
Записей
Страницы
Группы
Мероприятия
  • Bernard John @Ben666 добавлены фото
    2024-06-24 18:59:14 ·
    Kama kuna watu ume wa block kwa kosa warudishe uwape nafasi ya kuaga na kutoa maneno ya mwisho kama wosia kisha wa block tena.
    Hadi utakapokaa ujadili uwarudishe au usirudishe
    Kama kuna watu ume wa block kwa kosa warudishe uwape nafasi ya kuaga na kutoa maneno ya mwisho kama wosia kisha wa block tena. 🚯🚷📵 Hadi utakapokaa ujadili uwarudishe au usirudishe
    0 Комментарии ·0 Поделились ·89 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 19:12:16 ·
    Baba mwanao mtaa umenchukia
    na sina pengine pakukmbilia
    nakuja kwako naiman maombi yangu utayapokea
    nmekuja kwa njia ya upole cjaja kukufokea
    japo najua kuna meng nmekukosea
    ila baba uwez mfundisha mwanao kusame ikiwa we utak kusamea
    Baba mwanao mtaa umenchukia na sina pengine pakukmbilia nakuja kwako naiman maombi yangu utayapokea nmekuja kwa njia ya upole cjaja kukufokea japo najua kuna meng nmekukosea ila baba uwez mfundisha mwanao kusame ikiwa we utak kusamea
    0 Комментарии ·0 Поделились ·81 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 19:38:52 ·
    Kila nikikaa nayawaza maisha.. Japo hali sir God atanivusha..
    Kilicho tukuza mapema ni haya haya majukumu..
    Peace kwa kila anaye jituma point tatu ni muhimu..
    Wanao teseka na mapenzi washenzi wa fikra..
    Wazee wa matanuzi ni upuuzi hawaja balehe kifikra..
    Kila nikikaa nayawaza maisha.. Japo hali sir God atanivusha.. Kilicho tukuza mapema ni haya haya majukumu.. Peace kwa kila anaye jituma point tatu ni muhimu.. Wanao teseka na mapenzi washenzi wa fikra.. Wazee wa matanuzi ni upuuzi hawaja balehe kifikra..
    0 Комментарии ·0 Поделились ·170 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 19:48:05 ·
    Mpira dakika: 90
    Film dakika: 130
    Sala dakika: 5
    Motoni: milele
    Kwa akili zilizo jaa fikiria yafuatayo:
    WhatsApp Marafiki: 3200.
    Facebook Marafiki: 5000+
    Simu Marafiki: 4600.
    Unapo ishi Marafiki: 1000+
    Wakati wa shida: peke yako!!
    Jeneza lako: peke yako!!
    Kaburini lako: Peke yako!!
    Usishangae ndio maisha yetu leo
    Ukweli wa Mambo:
    Hakuna litakalo kufaa ila kujikaribisha kwa Mungu. Mkumbuke muumba wako.. Siku za ujana wako..
    SEMA AMEN
    Mpira dakika: 90 Film dakika: 130 Sala dakika: 5 Motoni: milele Kwa akili zilizo jaa fikiria yafuatayo: WhatsApp Marafiki: 3200. Facebook Marafiki: 5000+ Simu Marafiki: 4600. Unapo ishi Marafiki: 1000+ Wakati wa shida: peke yako!! Jeneza lako: peke yako!! Kaburini lako: Peke yako!! 😳Usishangae ndio maisha yetu leo😳 Ukweli wa Mambo: Hakuna litakalo kufaa ila kujikaribisha kwa Mungu. Mkumbuke muumba wako.. Siku za ujana wako.. SEMA AMEN
    0 Комментарии ·0 Поделились ·380 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 добавлены фото
    2024-06-24 19:50:43 ·
    Unapowaza kuheshimika... Kwanza Anza Kujiheshimu.....
    Alf Mahali Bangi inatumika.... we tumia Tu Elimu.....
    Unapowaza kuheshimika... Kwanza Anza Kujiheshimu..... Alf Mahali Bangi inatumika.... we tumia Tu Elimu.....
    0 Комментарии ·0 Поделились ·107 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 19:54:11 ·
    WANANIFUATA MPAKA IN-BOX KWA HII MICHANO!!
    VICHWA EMPTY BOX HAWAWEZI HUU MPAMBANO!!
    LIKE KICK BOX NAPIGA PUNCH HAKUNA MFANO!!
    DICTIONARY MIKOSI KUFELI WEKA KWENYE MABANO!!
    WANANIFUATA MPAKA IN-BOX KWA HII MICHANO!! VICHWA EMPTY BOX HAWAWEZI HUU MPAMBANO!! LIKE KICK BOX NAPIGA PUNCH HAKUNA MFANO!! DICTIONARY MIKOSI KUFELI WEKA KWENYE MABANO!!
    0 Комментарии ·0 Поделились ·72 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 19:58:45 ·
    Niwakati wakuvunja chupa za chuki chupa za hasira, chupa za Masimango, chupa za unafki, chupa za vita kati watu na watu, chupa za uzinzi na Matusi, chupa za choyo, chupa za maadili mabovu, chupa za kukata tamaa na unyonge, chupa za kuto kujiamini,. VUNJA CHUPA ZAKO ZOTE NA UWE HURU.



    Niwakati wakuvunja chupa za chuki chupa za hasira, chupa za Masimango, chupa za unafki, chupa za vita kati watu na watu, chupa za uzinzi na Matusi, chupa za choyo, chupa za maadili mabovu, chupa za kukata tamaa na unyonge, chupa za kuto kujiamini,. VUNJA CHUPA ZAKO ZOTE NA UWE HURU. 🙏
    0 Комментарии ·0 Поделились ·69 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 обновлено фото обложки
    2024-06-24 20:16:52 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·228 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Ibrahim Mustafa @Ibrahimmustafa добавлены фото
    2024-06-24 20:46:24 ·
    Like
    Love
    6
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·634 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 обновить изображение профиля
    2024-06-25 03:23:48 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·238 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Отображение (6791-6800 из 29844)
  • «
  • Назад
  • 678
  • 679
  • 680
  • 681
  • 682
  • Далее
  • »
Обновить до Про
Выберите подходящий план
Обновить
© 2025 Socialpop
Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог Разработчики