Katika maisha ya kutenda kuna vita katika maisha ya kirohO
Wingi wa kutenda mambo mema nuru itamulika kama kioO
MUNGU mwaminifu asie shindwa na chochoTE
Mitego na anasa za dunia vinatufanya tusoTE
Jina kuu jina lipitalo majina yoTE
Pata maharifa kupitia bible agano jipya na kale poTE
Mungu atupe maarifa tuifunze jamII
Tuhubiri kupitia post waipate injili hII
#MUNGU TUNAJIKABIDHISHA MIKONONI MWAko
#HIKIWA HII NI HIP HOP KUPITIA UPAko

0 Commentaires
·0 Parts
·140 Vue