• Katika maisha ya kutenda kuna vita katika maisha ya kirohO
    Wingi wa kutenda mambo mema nuru itamulika kama kioO
    MUNGU mwaminifu asie shindwa na chochoTE
    Mitego na anasa za dunia vinatufanya tusoTE
    Jina kuu jina lipitalo majina yoTE
    Pata maharifa kupitia bible agano jipya na kale poTE
    Mungu atupe maarifa tuifunze jamII
    Tuhubiri kupitia post waipate injili hII
    #MUNGU TUNAJIKABIDHISHA MIKONONI MWAko
    #HIKIWA HII NI HIP HOP KUPITIA UPAko
    Katika maisha ya kutenda kuna vita katika maisha ya kirohO Wingi wa kutenda mambo mema nuru itamulika kama kioO MUNGU mwaminifu asie shindwa na chochoTE Mitego na anasa za dunia vinatufanya tusoTE Jina kuu jina lipitalo majina yoTE Pata maharifa kupitia bible agano jipya na kale poTE Mungu atupe maarifa tuifunze jamII Tuhubiri kupitia post waipate injili hII #MUNGU TUNAJIKABIDHISHA MIKONONI MWAko #HIKIWA HII NI HIP HOP KUPITIA UPAko
    0 Commenti ·0 condivisioni ·140 Views

    0 Commenti ·0 condivisioni ·137 Views
  • Wengi katika sisi muda tutaujutIA
    Kwani kupewa pumzi ni fursa ya kutubIA
    Jitambue ndugu vua hulka ya kupuuzIA
    Tenda mema uepuke dhoruba ya kuangamiA
    Kesho ni fumbo hufumbui mwenye kipaji thabiTI
    Sali hadi waseme unachezea bible ya bi** tiTI
    Wengi katika sisi muda tutaujutIA Kwani kupewa pumzi ni fursa ya kutubIA Jitambue ndugu vua hulka ya kupuuzIA Tenda mema uepuke dhoruba ya kuangamiA Kesho ni fumbo hufumbui mwenye kipaji thabiTI Sali hadi waseme unachezea bible ya bi** tiTI
    0 Commenti ·0 condivisioni ·66 Views
  • Nimekuja adhabu imenielemEA,dunia imeniegemEA Baba..
    Kama unasikia ongEA Labda,napokwenda napotEA Njia..
    Nikisali nakosEA ibada,sadaka inapelEA Nyama..
    Nimekuja adhabu imenielemEA,dunia imeniegemEA Baba.. Kama unasikia ongEA Labda,napokwenda napotEA Njia.. Nikisali nakosEA ibada,sadaka inapelEA Nyama..
    0 Commenti ·0 condivisioni ·65 Views
  • Kwenye nia hapakosi njIA unaposali mungu anasikIA
    Mtafutaji ongeza gIA japo maumivu utasikIA
    Maneno utashika mkIA hata unaemwamini anakimbIA
    Matatizo tumeumbiwa machozi yako mungu anafidIA
    Mola najua unasikIA wanao tulipo tunaumIA
    Dhiki tumezichoka pIA hatutaki kuishi kama mkIA
    Kuna muda tunapotEA riziki utafutaji tunakosEA
    Mungu tafadhali tokEA wapi ulipo sogEA
    Kwenye nia hapakosi njIA unaposali mungu anasikIA Mtafutaji ongeza gIA japo maumivu utasikIA Maneno utashika mkIA hata unaemwamini anakimbIA Matatizo tumeumbiwa machozi yako mungu anafidIA Mola najua unasikIA wanao tulipo tunaumIA Dhiki tumezichoka pIA hatutaki kuishi kama mkIA Kuna muda tunapotEA riziki utafutaji tunakosEA Mungu tafadhali tokEA wapi ulipo sogEA
    0 Commenti ·0 condivisioni ·82 Views
  • a serious person at work
    a serious person at work
    Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·83 Views ·7
  • Unaweza kuona mbali.. Na uko mbali usifike..
    Hi hop shule kweli.. Kwenye ukweli uelimike..
    Una maana kwenye maana.. uwez kuwa wa maana..
    fake mcz kwangu mm huna maana..
    Unataka kushindana ata macho auoni..
    Unajisifu namba moja kwa ushindi wa ndotoni..
    Unaweza kuona mbali.. Na uko mbali usifike.. Hi hop shule kweli.. Kwenye ukweli uelimike.. Una maana kwenye maana.. uwez kuwa wa maana.. fake mcz kwangu mm huna maana.. Unataka kushindana ata macho auoni.. Unajisifu namba moja kwa ushindi wa ndotoni..
    0 Commenti ·0 condivisioni ·82 Views
  • Maisha Magumu.. Tunavimba Kijeshi..
    Hme Bila Jukum Online Nikuchek Picha Za Mamiss..
    Kila Face Kweny Net..Ikiwa Nzuri Taadhari..
    Utauza Mpaka Neti Kisa Pesa Ya Nauli..
    Mtindo Mwendo Kubet.. Shida Kwetu Ndio Sheli..
    Mwananchi Sina Bajeti.. Natabasam Na Miambili..
    Maisha Magumu.. Tunavimba Kijeshi.. Hme Bila Jukum Online Nikuchek Picha Za Mamiss.. Kila Face Kweny Net..Ikiwa Nzuri Taadhari.. Utauza Mpaka Neti Kisa Pesa Ya Nauli.. Mtindo Mwendo Kubet.. Shida Kwetu Ndio Sheli.. Mwananchi Sina Bajeti.. Natabasam Na Miambili..
    Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·707 Views

    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·694 Views
  • Haujui hata kazi asubui unasuka...
    Hata chupi ikichafuka haufui unatupa...
    Na haujui kutafta...
    Haupendez kwa jamii we ni maudhui ya kufutwa...
    Mimba ya 1 ulichomoa ukadai imetoka...
    mimba ya 2 ukasingizia wachawi wameloga...
    Ni kituko ki kuu...
    Mana mimba ya 3 haikuingia ulimeza P 2...
    Ukafanya nivute bangi...
    Ile pafu ya 1.. nimepiga skutaka mazur kwako...
    Yani nilitamani nikuue.. niue na kaburi lako...
    Pafu ya 2 niliikoki.. ili niivute kibitozi...
    Nikataman nikupigie video call.. ili nikupige makofi...
    Pafu ya 3.. Haina noma ila ilinitupa kifala...
    Nikaona nimuachie kila kitu nikabeba shuka na ndala...
    Haujui hata kazi asubui unasuka... Hata chupi ikichafuka haufui unatupa... Na haujui kutafta... Haupendez kwa jamii we ni maudhui ya kufutwa... Mimba ya 1 ulichomoa ukadai imetoka... mimba ya 2 ukasingizia wachawi wameloga... Ni kituko ki kuu... Mana mimba ya 3 haikuingia ulimeza P 2... Ukafanya nivute bangi... Ile pafu ya 1.. nimepiga skutaka mazur kwako... Yani nilitamani nikuue.. niue na kaburi lako... Pafu ya 2 niliikoki.. ili niivute kibitozi... Nikataman nikupigie video call.. ili nikupige makofi... Pafu ya 3.. Haina noma ila ilinitupa kifala... Nikaona nimuachie kila kitu nikabeba shuka na ndala...
    Like
    3
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·224 Views