• Kwenye maana, hakuna maana. Mwenye maana, haambiwi maana!!
    Hii inamaana, walioshikamana hawana maana!!
    Kwenye maana, hakuna maana. Mwenye maana, haambiwi maana!! Hii inamaana, walioshikamana hawana maana!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·72 Visualizações
  • Kuna matumizi ayana matumizi husika ila kwakua ni Matumizi basi yanajikuta tu yakitumika
    Watumiaji awatumii wanajikuta wakitumika Siyo kwamba awawezi kutumia Ila awajui wanatakiwa kutumia nini na wapi
    Ila kwakua watumikaji kutumika bila kujali thamani ya kinachotumika na wanaotumika basi waendelee kufanya Burudani
    Kuna matumizi ayana matumizi husika 🤔🤔 ila kwakua ni Matumizi basi yanajikuta tu yakitumika🧐🧐 Watumiaji awatumii wanajikuta wakitumika 🤨🤨 Siyo kwamba awawezi kutumia 😕 Ila awajui wanatakiwa kutumia nini na wapi😞 Ila kwakua watumikaji kutumika bila kujali thamani ya kinachotumika na wanaotumika 🤔🤔 basi waendelee kufanya Burudani
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·546 Visualizações
  • Wanauliza kwanin si post picha!!
    Coz ubongo camera na macho ayaleti fyucha!!
    Ninacho wapa ni kwa hii elimu nilo jifunza!!
    Na ukizarau cha kale kipya uwezi kitunza!!
    Huku visa vya asha ngedere nukta!!
    Wanafrahi kupewa upele alafu ninyimwe kucha!!
    Wanauliza kwanin si post picha!! Coz ubongo camera na macho ayaleti fyucha!! Ninacho wapa ni kwa hii elimu nilo jifunza!! Na ukizarau cha kale kipya uwezi kitunza!! Huku visa vya asha ngedere nukta!! Wanafrahi kupewa upele alafu ninyimwe kucha!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·688 Visualizações
  • Nacheza na maneno mdomo unafikra za ajabu!!
    Kwa ujuzi namwaga wino maana nnafikra za kitabu!!
    Chunga hizi kauli mana kuna waongo na wambea!!
    Mi ndo bubu mwenye kauli ya vitendo bila kuongea!!
    Mi ndo mwanaume mwenye vichwa viwili!!
    kimoja kina ubongo na kinatenda kwa kufikiri!!
    Cha pili akina ubongo wala wazo ila hutenda kwa hisia za mwili!!
    Nacheza na maneno mdomo unafikra za ajabu!! Kwa ujuzi namwaga wino maana nnafikra za kitabu!! Chunga hizi kauli mana kuna waongo na wambea!! Mi ndo bubu mwenye kauli ya vitendo bila kuongea!! Mi ndo mwanaume mwenye vichwa viwili!! kimoja kina ubongo na kinatenda kwa kufikiri!! Cha pili akina ubongo wala wazo ila hutenda kwa hisia za mwili!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·311 Visualizações
  • Wenye Beat Niletee,Nachana Mpaka Singeli!!
    Mi Ndo Tajiri Pekee,Ninayetumia Kandambili!!
    Dada Zenu Wanaingia Mwezini,Na Sio Wanasayansi!!
    Ukomando Kuvaa Gwanda,Sio Ukomando Kipensi!!
    Wenye Beat Niletee,Nachana Mpaka Singeli!! Mi Ndo Tajiri Pekee,Ninayetumia Kandambili!! Dada Zenu Wanaingia Mwezini,Na Sio Wanasayansi!! Ukomando Kuvaa Gwanda,Sio Ukomando Kipensi!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·234 Visualizações
  • mzawa,,, napiga harakati,,, mafichoni kama mkimbizi!!
    chawa,,, wana nanishusha chati,,, kwa promo za machizi!!
    nyuma,,, narudi kwa majungu,,, ya wasio penda nifike!!
    najituma,,, huku namuomba mungu,,, mkono anishike!!
    mzawa,,, napiga harakati,,, mafichoni kama mkimbizi!! chawa,,, wana nanishusha chati,,, kwa promo za machizi!! nyuma,,, narudi kwa majungu,,, ya wasio penda nifike!! najituma,,, huku namuomba mungu,,, mkono anishike!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·578 Visualizações
  • Chini, kuna mengi, japo tuna share jua!!
    Mjini, watu wengi, hard cool paka bana pua!!
    Sura, ngumu fupi, wana sema haiuziki!!
    Chura, ndani ya ch*pi, huyo demu hashikiki!!
    Chini, kuna mengi, japo tuna share jua!! Mjini, watu wengi, hard cool paka bana pua!! Sura, ngumu fupi, wana sema haiuziki!! Chura, ndani ya ch*pi, huyo demu hashikiki!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·129 Visualizações
  • Maisha ni kama #pushup, yanaenda juu na kushuka #chini!!
    Mc chana ubebe #cup, sio kutwa nzima battle #umimi!!
    Yesu alikuwa #ndimi, mchungaji bora mwenye #uzima!!
    Hakujitia vitu #umimi, ni kama MC mwenye #heshima!!
    Ukweli humo kwenye #zaburi, jifunze sana acha #kiburi!!
    Fanya mambo #mazuri, kioo cha jamii uwe #kivuli!!
    Nakuja kama #emcee, mwenye ushauri wa #mafumbo!!
    Natoa hadi #salutee, kwa wale wanaopinga #Mkumbo!!
    Maisha ni kama #pushup, yanaenda juu na kushuka #chini!! Mc chana ubebe #cup, sio kutwa nzima battle #umimi!! Yesu alikuwa #ndimi, mchungaji bora mwenye #uzima!! Hakujitia vitu #umimi, ni kama MC mwenye #heshima!! Ukweli humo kwenye #zaburi, jifunze sana acha #kiburi!! Fanya mambo #mazuri, kioo cha jamii uwe #kivuli!! Nakuja kama #emcee, mwenye ushauri wa #mafumbo!! Natoa hadi #salutee, kwa wale wanaopinga #Mkumbo!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2K Visualizações
  • Ulinihusia biashara asubuhi, usiku muda wa mahesabu!!
    Nicheze na mshahara, kibaruani niwe mstaarabu!!
    Nakumbuka nilipogombezwa na dingi, aliposikia nafanya Hip hop!!
    Wakasema ya wavuta bangi, nikakatazwa kuipenda
    rap!!
    Kihome babu ndio malenga, alienishawishi nifanye ka final lap!!
    Japo mshua alipinga, akisema rap ni uhuni!!
    Gafla akasema fikisha ujumbe, mc jiite muhubiri!!
    Kilichomfanya dingi asigombe, baaadaya kuisikia ile mistari!!
    Hip hop ni vile tunavyoishi, rap vile tunavyofanya!!
    Kashifa kibao haijalishi, lakini ujumbe unapenya!!
    Uwepo wa lugha za kitaa, matusi sio lugha ya street!!
    Usitafute kik ya ustar, kughani matusi kwenye beat!!
    Mc darasa lenye uhuru, mpe elimu huyu na yule!!
    Gizani rap iwe nuru, acha matusi heshima itawale!!
    Ulinihusia biashara asubuhi, usiku muda wa mahesabu!! Nicheze na mshahara, kibaruani niwe mstaarabu!! Nakumbuka nilipogombezwa na dingi, aliposikia nafanya Hip hop!! Wakasema ya wavuta bangi, nikakatazwa kuipenda rap!! Kihome babu ndio malenga, alienishawishi nifanye ka final lap!! Japo mshua alipinga, akisema rap ni uhuni!! Gafla akasema fikisha ujumbe, mc jiite muhubiri!! Kilichomfanya dingi asigombe, baaadaya kuisikia ile mistari!! Hip hop ni vile tunavyoishi, rap vile tunavyofanya!! Kashifa kibao haijalishi, lakini ujumbe unapenya!! Uwepo wa lugha za kitaa, matusi sio lugha ya street!! Usitafute kik ya ustar, kughani matusi kwenye beat!! Mc darasa lenye uhuru, mpe elimu huyu na yule!! Gizani rap iwe nuru, acha matusi heshima itawale!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·380 Visualizações
  • Kuwa care mpendaji....mapenzi ni uwindaji!!
    Ilo neno nakupenda ...liko easy kama maji!!
    Matapel wapo wengi...madem sikuizi shida!!
    Wengi wanadanga mbaya ......awaoni ata shida!!
    Wanaangalia pochi ....wananasa kwenye noti
    Ukiwa nazo utawala.....uta switch kama tochi!!
    Wanatamaa akuna .....wanapenda tu kuchuna!!
    Wadada wamekuwa shida....wengi ni mali ya uma!!
    Wachache wameumbwa....wana moyo wakupenda!!
    Waliobaki miujiza....wechagua kwa kuomba!!
    Kuwa care mpendaji....mapenzi ni uwindaji!! Ilo neno nakupenda ...liko easy kama maji!! Matapel wapo wengi...madem sikuizi shida!! Wengi wanadanga mbaya ......awaoni ata shida!! Wanaangalia pochi ....wananasa kwenye noti Ukiwa nazo utawala.....uta switch kama tochi!! Wanatamaa akuna .....wanapenda tu kuchuna!! Wadada wamekuwa shida....wengi ni mali ya uma!! Wachache wameumbwa....wana moyo wakupenda!! Waliobaki miujiza....wechagua kwa kuomba!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·183 Visualizações