Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:53:33 ·
    Kumiliki na kutawala ni vitu viwili vinavyohitaji mafunzo ya kina ili mtawala ajijue yeye si mmiliki na mmiliki ajue yeye sio mtawala.
    Kumiliki na kutawala ni vitu viwili vinavyohitaji mafunzo ya kina ili mtawala ajijue yeye si mmiliki na mmiliki ajue yeye sio mtawala.
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·70 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:56:55 ·
    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Timu
    iliyoshinda na Timu iliyofungwa zote
    zikiondoka Uwanjani bila furaha...Tena
    aliyefungwa akiwa na tabasamu kwa mbaaaali!
    Hii inaitwa bora tukose wote
    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Timu iliyoshinda na Timu iliyofungwa zote zikiondoka Uwanjani bila furaha...Tena aliyefungwa akiwa na tabasamu kwa mbaaaali! Hii inaitwa bora tukose wote
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·105 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:57:25 ·
    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Timu
    iliyoshinda na Timu iliyofungwa zote
    zikiondoka Uwanjani bila furaha...Tena
    aliyefungwa akiwa na tabasamu kwa mbaaaali!
    Hii inaitwa bora tukose wote
    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Timu iliyoshinda na Timu iliyofungwa zote zikiondoka Uwanjani bila furaha...Tena aliyefungwa akiwa na tabasamu kwa mbaaaali! Hii inaitwa bora tukose wote
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·106 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:59:07 ·
    Marapper wanapigania uking wakati game inachangamoto nyingi!!
    Wanakaza sana lakini kutoboa inakuwa tabu tunawekewa vigingi!!
    Na hip hop ndio msimamo we2 2namisingi ye2 2naamini kwa wingi!!
    Na game ye2 ni kama draft tutapenya vp mpaka kuingia kingi!!
    Ata tukionga mkwanja tutaambulia kufika stage kupafom ila atutopata vingi!!
    2kaze tu buti ata nyumba ujengwa ila inaanza navmsingi!!
    Weka imani na uwakika nafsi yako na uwezo wako auwezi kukupiga chini!!
    Kutoboa sio raisi kama maraya kuishusha bikini!!
    Aijalishi rapper mwenzangu unauwezo gani tajili au masikini!!
    Kaza 2 kamba iposiku utatoboa ata wakibana Kama bikra amini we fanya 2 rap tia ,pini!!
    Rapper kuwa makini na ukifanyacho usiwe kama maraya anaevaa kimini!!
    Marapper wanapigania uking wakati game inachangamoto nyingi!! Wanakaza sana lakini kutoboa inakuwa tabu tunawekewa vigingi!! Na hip hop ndio msimamo we2 2namisingi ye2 2naamini kwa wingi!! Na game ye2 ni kama draft tutapenya vp mpaka kuingia kingi!! Ata tukionga mkwanja tutaambulia kufika stage kupafom ila atutopata vingi!! 2kaze tu buti ata nyumba ujengwa ila inaanza navmsingi!! Weka imani na uwakika nafsi yako na uwezo wako auwezi kukupiga chini!! Kutoboa sio raisi kama maraya kuishusha bikini!! Aijalishi rapper mwenzangu unauwezo gani tajili au masikini!! Kaza 2 kamba iposiku utatoboa ata wakibana Kama bikra amini we fanya 2 rap tia ,pini!! Rapper kuwa makini na ukifanyacho usiwe kama maraya anaevaa kimini!!
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·171 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 21:01:33 ·
    Sali sana naunachofanya kifanyike!!
    Najamii ikikuandama mwanangu usifadhaike!!
    Ukikuwa olewa ndoheshima kwa mtoto wa kike!!
    Ukikosea ukasemwa siounaonewa ubadilike!!
    Ukikua ukapata mpenzi asieleweka my daughter please break up!!
    Jali utu namuda utakao upoteza!!
    Pia kumbuka utu unathamani zaidi ya fedha!!
    Ukiweka pesa mbele nyuma kifo!!
    Usije kaa ukilega ukiamini kwamba Baba yako nipo!!!
    No huwezi jua lini Mola atanichukua!!
    So wimbo hu ndio mzazi wako pindi utakapo kua!!
    Ukitoka kwenye udogo kwenda ukubwa!!
    Inabidi usisahau Mama ako akukutoa kabla ya muda!!
    Hivyo ukipata ujauzito usijekuutoa!!
    Ila shika hili andiko pata ukiwa ndani ya ndoa!!
    Naukitaka sanaa basi fanya inayolipa!!
    Ila usijekwenda bongo movie utatumika!!
    Sali sana naunachofanya kifanyike!! Najamii ikikuandama mwanangu usifadhaike!! Ukikuwa olewa ndoheshima kwa mtoto wa kike!! Ukikosea ukasemwa siounaonewa ubadilike!! Ukikua ukapata mpenzi asieleweka my daughter please break up!! Jali utu namuda utakao upoteza!! Pia kumbuka utu unathamani zaidi ya fedha!! Ukiweka pesa mbele nyuma kifo!! Usije kaa ukilega ukiamini kwamba Baba yako nipo!!! No huwezi jua lini Mola atanichukua!! So wimbo hu ndio mzazi wako pindi utakapo kua!! Ukitoka kwenye udogo kwenda ukubwa!! Inabidi usisahau Mama ako akukutoa kabla ya muda!! Hivyo ukipata ujauzito usijekuutoa!! Ila shika hili andiko pata ukiwa ndani ya ndoa!! Naukitaka sanaa basi fanya inayolipa!! Ila usijekwenda bongo movie utatumika!!
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·400 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 21:02:10 ·
    Niko full sio dagaa!!
    Nakomaa kusaka chapaa!!
    Wengi wanashangaa!!
    Kwa jinsi navyochakaa!!
    Nakimbia kwa masaa!!
    Na sichoki kumuomba jah!!
    Hata mwanga ukizima taa!!
    Ananibless tu babaa!!
    Kwa nyingi salaa!!
    Sina stress haswa!!
    Nikiwa base na bar!!
    Niko full sio dagaa!! Nakomaa kusaka chapaa!! Wengi wanashangaa!! Kwa jinsi navyochakaa!! Nakimbia kwa masaa!! Na sichoki kumuomba jah!! Hata mwanga ukizima taa!! Ananibless tu babaa!! Kwa nyingi salaa!! Sina stress haswa!! Nikiwa base na bar!!
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·93 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 21:03:33 ·
    Tumekuzwa kwa mboko!!
    Hatuzijui nyoko nyoko!!
    Ukiyakanyaga chechemea!!
    Ukiona mabaya kemea!!
    Wana yanga kula tu miogo shida!!
    Tunasubil utipolo mida!!
    Tukisema kumanishanini!!
    Tunatisha simba kijamii!!
    Iga ufe!!
    Marufuk kubonyeza kitufe!!
    Usipange kuihua simba huna hela!!
    Kuja kichwa nyie yanga mvalishwe dela!!
    Tumekuzwa kwa mboko!! Hatuzijui nyoko nyoko!! Ukiyakanyaga chechemea!! Ukiona mabaya kemea!! Wana yanga kula tu miogo shida!! Tunasubil utipolo mida!! Tukisema kumanishanini!! Tunatisha simba kijamii!! Iga ufe!! Marufuk kubonyeza kitufe!! Usipange kuihua simba huna hela!! Kuja kichwa nyie yanga mvalishwe dela!!
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·70 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 21:09:43 ·
    Wanasema penye kosa, uwepo wa kosa sio kosa!!
    Ila kosa pia ni kosa pale pindi unapo kosa!!
    Ukiwa hauna kosa, utakuwa umekosa kukosa kosa ambalo kiukweli huwa sio kosa!!
    Kukosea kosa sio kosa ila kupatia kosa ilo ni kosa japo wengi wamekosa!!
    Kosa kukosa kupata kukosa ukiwa hauna kosa apo utakuwa umekosa kukosa kosa!!
    Kosa kukosea, mpotevu alie patikana uyo amekosa kupotea!!
    Alie kosa kupatia kosa hana kosa ila alie ogopa uyoh anakosa lakuongea!!
    Kukosea kosa, ambalo ni kosa, la kukosa kupatia kosa!!
    Wanasema penye kosa, uwepo wa kosa sio kosa!! Ila kosa pia ni kosa pale pindi unapo kosa!! Ukiwa hauna kosa, utakuwa umekosa kukosa kosa ambalo kiukweli huwa sio kosa!! Kukosea kosa sio kosa ila kupatia kosa ilo ni kosa japo wengi wamekosa!! Kosa kukosa kupata kukosa ukiwa hauna kosa apo utakuwa umekosa kukosa kosa!! Kosa kukosea, mpotevu alie patikana uyo amekosa kupotea!! Alie kosa kupatia kosa hana kosa ila alie ogopa uyoh anakosa lakuongea!! Kukosea kosa, ambalo ni kosa, la kukosa kupatia kosa!!
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·57 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 21:12:27 ·
    Simama kama Mimi nisie yumbishwa na masnich!!
    simama Kua makini maisha ayaendi bila ubishi!!
    simama na mungu wako usibishane na watumishi!!!
    Simama kama Mimi nisie yumbishwa na masnich!! simama Kua makini maisha ayaendi bila ubishi!! simama na mungu wako usibishane na watumishi!!!
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·61 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 21:15:15 ·
    Boss kaamua weka, nasi tutaweka!!
    Chuma,naweka chuma!!
    Weka bahasha, naweka bahasha!!
    Boss kaamua weka, nasi tutaweka!! Chuma,naweka chuma!! Weka bahasha, naweka bahasha!!
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·61 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (6881-6890 από 29871)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 687
  • 688
  • 689
  • 690
  • 691
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers