• Bila ya kujuwa, kumbe wananisema..
    Et sitopiga hatua, sitofanya vyema..
    Marafiki pika pakua, kumbe sio wema..
    Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema..
    Bila ya kujuwa, kumbe wananisema.. Et sitopiga hatua, sitofanya vyema.. Marafiki pika pakua, kumbe sio wema.. Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema..
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·61 مشاهدة
  • Nashukuru kuipata hii neema ya MUNGU/
    Binadamu sio wema wanaleta majungu/
    Mbele giza umejaa ukungu/
    Kuigiza kwingi wanaleta uzungu/
    Nashukuru kuipata hii neema ya MUNGU/ Binadamu sio wema wanaleta majungu/ Mbele giza umejaa ukungu/ Kuigiza kwingi wanaleta uzungu/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·419 مشاهدة
  • Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari/
    Kuwapoteza wote fresh tu mi sijali/
    Sioni karibu naona mbali/
    Kufika kileleni sio rahisi ni ghali/
    Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari/ Kuwapoteza wote fresh tu mi sijali/ Sioni karibu naona mbali/ Kufika kileleni sio rahisi ni ghali/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·146 مشاهدة
  • Kwa hali na mali nitajitoa/
    Natumia grili kila kikwazo kutoboa/
    Maisha yemekaza mtaani kugumu sio poa/
    Mahali kubwa ndo maana vijana hatutaki ndoa/
    Kwa hali na mali nitajitoa/ Natumia grili kila kikwazo kutoboa/ Maisha yemekaza mtaani kugumu sio poa/ Mahali kubwa ndo maana vijana hatutaki ndoa/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·232 مشاهدة
  • machozi usoni...tumbonii nateseka..

    zahili machoni...wenye nacho wanacheka.

    nafuu sioni...kwa njaa natetemeka..

    ndugu wananikataa furaha imetoweka..

    ujana ni mwendo..vitendo futa maringo sababu uwezo duni wananipa migongo..

    muumba wa upendo usinitupe mzalendo nilie tukuka... na sina pigo za kirembo..

    bado nasubili jioni halfajili naitaji kupata mchongo sio mchongo unipate.

    nina fikili akuna aja ya kukalili inabidi nifate kazi sio kazi inifate...

    nimechoka kama jani la mgomba..

    kichwani usia mwingi wa ding acha wachumba..

    kuwa makini punguza wakina zai..

    utapoteza uhai ukitulia utafurahi..
    machozi usoni...tumbonii nateseka.. zahili machoni...wenye nacho wanacheka. nafuu sioni...kwa njaa natetemeka.. ndugu wananikataa furaha imetoweka.. ujana ni mwendo..vitendo futa maringo sababu uwezo duni wananipa migongo.. muumba wa upendo usinitupe mzalendo nilie tukuka... na sina pigo za kirembo.. bado nasubili jioni halfajili naitaji kupata mchongo sio mchongo unipate. nina fikili akuna aja ya kukalili inabidi nifate kazi sio kazi inifate... nimechoka kama jani la mgomba.. kichwani usia mwingi wa ding acha wachumba.. kuwa makini punguza wakina zai.. utapoteza uhai ukitulia utafurahi..
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·198 مشاهدة
  • aliyegundua kundi na bado akushinda kwenye bato..||
    »»kwa dhambi nyingi maana alifanya kazi hadi siku ya sabato..||
    »»nikaja mimi niliyepunguza dharau kwa ma mc vina za mikato..||
    »»nikakata ofisi ya kata kwa mashairi na mistari laini ya minato..||
    aliyegundua kundi na bado akushinda kwenye bato..|| »»kwa dhambi nyingi maana alifanya kazi hadi siku ya sabato..|| »»nikaja mimi niliyepunguza dharau kwa ma mc vina za mikato..|| »»nikakata ofisi ya kata kwa mashairi na mistari laini ya minato..||
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·54 مشاهدة
  • nisha move on kunipostia utopolo mbona kawaida kaka..||
    »»unafikiri unanikomoa kumbe ndo unagungua njia ya mibaraka..||
    »»nikitongoza kwenye kundi msikatae na wote mtoe sadaka..||
    »»mi ndo ben namba moja nifate nikuteach ukitaka..||
    nisha move on kunipostia utopolo mbona kawaida kaka..|| »»unafikiri unanikomoa kumbe ndo unagungua njia ya mibaraka..|| »»nikitongoza kwenye kundi msikatae na wote mtoe sadaka..|| »»mi ndo ben namba moja nifate nikuteach ukitaka..||
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·60 مشاهدة
  • niwatakie Usku mwema..ndugu rafik jamaa/
    mungu awape neema..awalinde kila masaa/
    ashushe zake rehema..kupitia hii Sanaa/
    bila kusahau kuhema..atuepushe na balaa/
    awa ponye navilema..walio kata tamaa/
    pia walazwe pema..walio tutoka haswaa/
    nashukuru leo nasema..kwako nahisi nafaa/
    narudia tena natena..eh! mungu walinde jamaa/
    niwatakie Usku mwema..ndugu rafik jamaa/ mungu awape neema..awalinde kila masaa/ ashushe zake rehema..kupitia hii Sanaa/ bila kusahau kuhema..atuepushe na balaa/ awa ponye navilema..walio kata tamaa/ pia walazwe pema..walio tutoka haswaa/ nashukuru leo nasema..kwako nahisi nafaa/ narudia tena natena..eh! mungu walinde jamaa/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·57 مشاهدة
  • Ahsante mungu baba mwenyezi,, ulie juu..
    Ume niumba ben,, kwenye hii dunia sayali ya taa tuu..
    Uka nijaza uhai hii ni pumzi,, ukanipa ndugu na jamaa na fikra za juu..
    Ahsante mwenyezi,, uli niongeza ujuzi nipende rap ata bila kipaza sauti iende juu..
    Inanibidi kushukuru,, mi sio mnyama wala ndege..
    Ume niweka mtu huru,, ukanipa mwenza anipunguze ***ge..
    Kwa hili andiko nashukuru,, tuzae tuzaliane duniani tujazane..
    Hila wengi wana kufuru,, wana fanya abortion kijacho kinatupwa usiku wa manane..
    Mwingi wa rehema kwako nashukuru,, mi nawana tupendane..
    Ahsante mungu baba mwenyezi,, ulie juu.. Ume niumba ben,, kwenye hii dunia sayali ya taa tuu.. Uka nijaza uhai hii ni pumzi,, ukanipa ndugu na jamaa na fikra za juu.. Ahsante mwenyezi,, uli niongeza ujuzi nipende rap ata bila kipaza sauti iende juu.. Inanibidi kushukuru,, mi sio mnyama wala ndege.. Ume niweka mtu huru,, ukanipa mwenza anipunguze ***ge.. Kwa hili andiko nashukuru,, tuzae tuzaliane duniani tujazane.. Hila wengi wana kufuru,, wana fanya abortion kijacho kinatupwa usiku wa manane.. Mwingi wa rehema kwako nashukuru,, mi nawana tupendane..
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·60 مشاهدة
  • Naam dhambi zijapo nikabili na dunia #Kuniteka//

    Ntarudi msalabani neno nitaubiri watenda dhambi #Watanicheka//

    Wataona kama utani ntapost somo mtandaoni wengi #Watafoka
    Maandiko ya zaburi ntatoa ubaoni wakristo wenye viburi kwenye kipindi #Watatoka
    Bila ya kutaka ushauri wao na vileo wakipokezana #Bilauri
    Watasahau alieuawa kwa kombeo alidharau na kujawa #Kiburi
    Naamini Mungu yupo japo sijawai #Kumuona
    Soma bible upate michapo ilivyo teketea #Sodoma
    Nyakati mbaya zaja kila mmoja kwa mshtuko atabanwa na #Haja
    Guest zitafunguka bila funguo atatoa majibu alie datishwa na #Paja
    Naam dhambi zijapo nikabili na dunia #Kuniteka// Ntarudi msalabani neno nitaubiri watenda dhambi #Watanicheka// Wataona kama utani ntapost somo mtandaoni wengi #Watafoka Maandiko ya zaburi ntatoa ubaoni wakristo wenye viburi kwenye kipindi #Watatoka Bila ya kutaka ushauri wao na vileo wakipokezana #Bilauri Watasahau alieuawa kwa kombeo alidharau na kujawa #Kiburi Naamini Mungu yupo japo sijawai #Kumuona Soma bible upate michapo ilivyo teketea #Sodoma Nyakati mbaya zaja kila mmoja kwa mshtuko atabanwa na #Haja Guest zitafunguka bila funguo atatoa majibu alie datishwa na #Paja
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·2كيلو بايت مشاهدة