• Rekebisha tabia ishi nawatu bila chuki..
    Leo nakupa somo LA kitaa hatakama hutaki..
    Eshimu baba na mama upate baraka tele..
    Punguza nyoko nyoko mda umekwisha usirud nyuma songa mbele..
    kuhusu hik napanda ndege chiz kapande tembele..
    Nime toka mbal AFu hapa julikan..
    Acha nijilinde dunia ya sasa INA taka umakin..
    Minatus anae nitus ila nuksi kwangu no..
    Mistar kama muwa nakula bila kunawa mikono..
    Rekebisha tabia ishi nawatu bila chuki.. Leo nakupa somo LA kitaa hatakama hutaki.. Eshimu baba na mama upate baraka tele.. Punguza nyoko nyoko mda umekwisha usirud nyuma songa mbele.. kuhusu hik napanda ndege chiz kapande tembele.. Nime toka mbal AFu hapa julikan.. Acha nijilinde dunia ya sasa INA taka umakin.. Minatus anae nitus ila nuksi kwangu no.. Mistar kama muwa nakula bila kunawa mikono..
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·333 مشاهدة

    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·339 مشاهدة
  • Utaskia Sina Baby,, Natokea Kusini..
    Mara Anatokea Baby,, Anayefoj Kuzini..
    Saa hiz napiga lunch,, Afu nazidisha Tizi..
    Yan zitapigwa punch,, Kaa tunakimbiza mwizi..
    Utaskia Sina Baby,, Natokea Kusini.. Mara Anatokea Baby,, Anayefoj Kuzini.. Saa hiz napiga lunch,, Afu nazidisha Tizi.. Yan zitapigwa punch,, Kaa tunakimbiza mwizi..
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·496 مشاهدة
  • Hip hop ni hip-hop akuna raini wala ngumu...
    Naziba shimo la panya kwa mkate wenye sumu..
    Zile 4 boshen apa JB zaidi ya book..
    Tena naweka wambuzi kwenye msiba wa muuza supu..
    Hip hop ni hip-hop akuna raini wala ngumu... Naziba shimo la panya kwa mkate wenye sumu.. Zile 4 boshen apa JB zaidi ya book.. Tena naweka wambuzi kwenye msiba wa muuza supu..
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·70 مشاهدة
  • Hip hop ni hip-hop akuna raini wala ngumu...
    Naziba shimo la panya kwa mkate wenye sumu..
    Zile 4 boshen apa JB zaidi ya book..
    Tena naweka wambuzi kwenye msiba wa muuza supu..
    Hip hop ni hip-hop akuna raini wala ngumu... Naziba shimo la panya kwa mkate wenye sumu.. Zile 4 boshen apa JB zaidi ya book.. Tena naweka wambuzi kwenye msiba wa muuza supu..
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·67 مشاهدة
  • Kuamini uwezi kama uwezi kuwa mimi..
    Mimi naweza kuwa wewe ila ngumu kuwa mimi..
    Wenda ndio sababu ya mimi kuwa simple..
    Kwakuwa sipo double ndiomaana nipo single..
    Nimeamini ngumu nyani kuliona kundule..
    Ila akijipiga self ataliona kwakule..
    Vyuma vimekaza mpaka kwetu misukule..
    Sikuizi atulishwi pumba ni kisamvu na ndulele..
    Simpigii goti mdau yupo wakumtukuza..
    Nishafanyaga show mochwali maiti wakanitunza..
    Tangu niujue utam wa kurap nilivyo panda ngazi sishuki..
    Naipenda hip hop ndiomaana sirukiruki..
    Jilani akaniambia achana na hip hop njoo tufanye music wa biashala..
    Nikamjibu ata ningeumbwa bubu ningerap kwa ishala..
    Kuamini uwezi kama uwezi kuwa mimi.. Mimi naweza kuwa wewe ila ngumu kuwa mimi.. Wenda ndio sababu ya mimi kuwa simple.. Kwakuwa sipo double ndiomaana nipo single.. Nimeamini ngumu nyani kuliona kundule.. Ila akijipiga self ataliona kwakule.. Vyuma vimekaza mpaka kwetu misukule.. Sikuizi atulishwi pumba ni kisamvu na ndulele.. Simpigii goti mdau yupo wakumtukuza.. Nishafanyaga show mochwali maiti wakanitunza.. Tangu niujue utam wa kurap nilivyo panda ngazi sishuki.. Naipenda hip hop ndiomaana sirukiruki.. Jilani akaniambia achana na hip hop njoo tufanye music wa biashala.. Nikamjibu ata ningeumbwa bubu ningerap kwa ishala..
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·388 مشاهدة
  • #memoryofjosephcharles
    #memoryofjosephcharles
    Like
    Haha
    5
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·97 مشاهدة
  • Kuamini uwezi kama uwezi kuwa mimi..
    Mimi naweza kuwa wewe ila ngumu kuwa mimi..
    Wenda ndio sababu ya mimi kuwa simple..
    Kwakuwa sipo double ndiomaana nipo single..
    Nimeamini ngumu nyani kuliona kundule..
    Ila akijipiga self ataliona kwakule..
    Vyuma vimekaza mpaka kwetu misukule..
    Sikuizi atulishwi pumba ni kisamvu na ndulele..
    Simpigii goti mdau yupo wakumtukuza..
    Nishafanyaga show mochwali maiti wakanitunza..
    Tangu niujue utam wa kurap nilivyo panda ngazi sishuki..
    Naipenda hip hop ndiomaana sirukiruki..
    Jilani akaniambia achana na hip hop njoo tufanye music wa biashala..
    Nikamjibu ata ningeumbwa bubu ningerap kwa ishala..
    Kuamini uwezi kama uwezi kuwa mimi.. Mimi naweza kuwa wewe ila ngumu kuwa mimi.. Wenda ndio sababu ya mimi kuwa simple.. Kwakuwa sipo double ndiomaana nipo single.. Nimeamini ngumu nyani kuliona kundule.. Ila akijipiga self ataliona kwakule.. Vyuma vimekaza mpaka kwetu misukule.. Sikuizi atulishwi pumba ni kisamvu na ndulele.. Simpigii goti mdau yupo wakumtukuza.. Nishafanyaga show mochwali maiti wakanitunza.. Tangu niujue utam wa kurap nilivyo panda ngazi sishuki.. Naipenda hip hop ndiomaana sirukiruki.. Jilani akaniambia achana na hip hop njoo tufanye music wa biashala.. Nikamjibu ata ningeumbwa bubu ningerap kwa ishala..
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·381 مشاهدة

    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·442 مشاهدة
  • 0 التعليقات ·0 المشاركات ·347 مشاهدة