• My baby
    My baby
    Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·756 Ansichten
  • Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·298 Ansichten
  • Tulikuwa Pamoja.. Kaa Kuku na Ovena..
    Tukaishi Kisoja.. Kaa Baamedi na Opena..
    Ghafla nikawa fegi.. mwenzangu Ukawa Sheli..
    Yan nikijifanya Ringi.. we Unasmama kama Reli..
    Sioni urafiki Wetu.. Ninachoona Mapicha Picha..
    Na nikijifanya fyatu.. Nikutafute bado Unajificha Ficha..
    Je kosa Langu lipi.. Ama kutofaniwa Ndo Tatizo..
    Nipe Ata stor Fupi... Ama Ndo Umenipa Ka Likizo..
    To be continued...
    Tulikuwa Pamoja.. Kaa Kuku na Ovena.. Tukaishi Kisoja.. Kaa Baamedi na Opena.. Ghafla nikawa fegi.. mwenzangu Ukawa Sheli.. Yan nikijifanya Ringi.. we Unasmama kama Reli.. Sioni urafiki Wetu.. Ninachoona Mapicha Picha.. Na nikijifanya fyatu.. Nikutafute bado Unajificha Ficha.. Je kosa Langu lipi.. Ama kutofaniwa Ndo Tatizo.. Nipe Ata stor Fupi... Ama Ndo Umenipa Ka Likizo.. To be continued...
    Like
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·397 Ansichten
  • Helo
    Helo
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·319 Ansichten
  • Niamini katika mimi..
    ukigundua m ni paper utataka kuandika nini..
    au utazuga sifai na utataka kuandika chini..
    Ukweli upi ukufae usipinge..
    kwa vipimo vyao acha nijae nimwagike..
    UkiWA tayari utaijua hii misingi..
    ndyo we mkali je unatambua kama sipingi..
    haya madini yanauzwa huwa sipimi..
    bora ndogo yenye maana sio kubwa yenye laana..
    kesho tutaelewana tu hata kwa luga ya jana..
    hi ni hip hop kuiacha naitazama..
    kwakuwa haina mwendo natangulia itanikuta kwenye vina..
    wambie wakipima urefu wakumbuke na mapana..
    Huku barabara n ndefu wakumbushe shida kupishana..
    wazo hili picha za katuni... maana itafute..
    Ili ukuze maarifa kisha kijana maarifa yakukuze..
    naifanya ngumu ili nibaki nakusudi la kudumu..
    na ukinielewa kwa mbali huna budi ku ni zoom..
    Niamini katika mimi.. ukigundua m ni paper utataka kuandika nini.. au utazuga sifai na utataka kuandika chini.. Ukweli upi ukufae usipinge.. kwa vipimo vyao acha nijae nimwagike.. UkiWA tayari utaijua hii misingi.. ndyo we mkali je unatambua kama sipingi.. haya madini yanauzwa huwa sipimi.. bora ndogo yenye maana sio kubwa yenye laana.. kesho tutaelewana tu hata kwa luga ya jana.. hi ni hip hop kuiacha naitazama.. kwakuwa haina mwendo natangulia itanikuta kwenye vina.. wambie wakipima urefu wakumbuke na mapana.. Huku barabara n ndefu wakumbushe shida kupishana.. wazo hili picha za katuni... maana itafute.. Ili ukuze maarifa kisha kijana maarifa yakukuze.. naifanya ngumu ili nibaki nakusudi la kudumu.. na ukinielewa kwa mbali huna budi ku ni zoom..
    Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·99 Ansichten
  • 💦🎶
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·47 Ansichten
  • 🎶💦
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·47 Ansichten
  • 🎶♥️♥️♥️
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·48 Ansichten
  • ♥️🎶
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·48 Ansichten
  • ♥️♥️
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·46 Ansichten