• me ni mwana hip hop si ubongo fleva...
    ila RNB ukitaka nateleza...
    naandika we imba unavyoweza...
    mistari yangu mitamu naikoleza...
    nachana hadi na kiingereza...
    i'm fine a.k.a i'm better...
    nishaongea sana so no matter...
    ukinifata njoo ukiwa slow...
    nitakutoa high ku low...
    wanadata kisa zangu money...
    tulane... ila tusionane...
    usiwaone... ndugu zangu msijune...
    nikikulipa na njiani tusikutane...
    me ni mwana hip hop si ubongo fleva... ila RNB ukitaka nateleza... naandika we imba unavyoweza... mistari yangu mitamu naikoleza... nachana hadi na kiingereza... i'm fine a.k.a i'm better... nishaongea sana so no matter... ukinifata njoo ukiwa slow... nitakutoa high ku low... wanadata kisa zangu money... tulane... ila tusionane... usiwaone... ndugu zangu msijune... nikikulipa na njiani tusikutane...
    Like
    Love
    4
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·181 Views
  • Ukiwa msela sio lazima kuvuta bangi..
    Eti suna vidole vyote kucha umepaka rangi..
    Tunaishi kwa kutegemeana kaa ukijua mganga hajigangi..
    Mcho kwenye pesa hapa akasome mangi..
    Sio kila mwenye sura ngumu anatakiwa kufanya hip hop..
    Mbona Baraka Da prince uku ame skip up..
    Kila mwenye nia hajawai ku give up..
    Listening me well so easy you can catch up..
    Kwenye kazi zangu usilete kujuana..
    Maana hii ndo hali yangu napambana..
    Nakesha kuzitafuta niko macho usiku na mchana..
    Hali zetu hazifanani kama vidole vinapishana..
    Maisha ya ujana ni changamoto..
    Mijimama nayo inataka watoto..
    Wanasambaza umeme ukigusa moto..
    Wanasema mahaba niue nidekeze kama mtoto..
    to be continued......
    Ukiwa msela sio lazima kuvuta bangi.. Eti suna vidole vyote kucha umepaka rangi.. Tunaishi kwa kutegemeana kaa ukijua mganga hajigangi.. Mcho kwenye pesa hapa akasome mangi.. Sio kila mwenye sura ngumu anatakiwa kufanya hip hop.. Mbona Baraka Da prince uku ame skip up.. Kila mwenye nia hajawai ku give up.. Listening me well so easy you can catch up.. Kwenye kazi zangu usilete kujuana.. Maana hii ndo hali yangu napambana.. Nakesha kuzitafuta niko macho usiku na mchana.. Hali zetu hazifanani kama vidole vinapishana.. Maisha ya ujana ni changamoto.. Mijimama nayo inataka watoto.. Wanasambaza umeme ukigusa moto.. Wanasema mahaba niue nidekeze kama mtoto.. to be continued......
    Like
    Love
    4
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·386 Views
  • Duuuh!
    Duuuh!😂😂
    Like
    1
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·68 Views
  • Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·281 Views
  • Like
    Love
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·225 Views
  • bila kupita kwa dalali
    kibaruan huwezi fika,
    mkono mfup wapo
    mahomu wanateseka,
    huku kazi na vememo,
    vijana wako foleni,.
    wanasubiri interview,
    kumbe kuna ambao
    walishatoaga pesa,.
    wewe unaangaika,
    unapoteza na nauli kabisa,
    kufika kule Hola,
    life linatuchapa bakora,
    mama analalama
    mwanangu wewe huombi kazi,
    kisa kamuona wezangu
    tofa kashaota na kitambi,
    hajui kwamba alitumia chambi chambi,
    ili kupata hiyo kazi,
    muda wote nipo cafe,
    natuma zangu maombi,
    pesa ndogo ya mchuzi,
    ndo nazunguka nayo road,
    na force ,lakin wapi,
    wakubwa kazi ya mashahara
    wa elfu hamsini,
    wanataka dalali ale Laki,
    ndo upate Nafasi.
    bila kupita kwa dalali kibaruan huwezi fika, mkono mfup wapo mahomu wanateseka, huku kazi na vememo, vijana wako foleni,. wanasubiri interview, kumbe kuna ambao walishatoaga pesa,. wewe unaangaika, unapoteza na nauli kabisa, kufika kule Hola, life linatuchapa bakora, mama analalama mwanangu wewe huombi kazi, kisa kamuona wezangu tofa kashaota na kitambi, hajui kwamba alitumia chambi chambi, ili kupata hiyo kazi, muda wote nipo cafe, natuma zangu maombi, pesa ndogo ya mchuzi, ndo nazunguka nayo road, na force ,lakin wapi, wakubwa kazi ya mashahara wa elfu hamsini, wanataka dalali ale Laki, ndo upate Nafasi.
    Like
    Love
    4
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·108 Views
  • Pima .uzimwe fasta..
    .me ni mafia .usi-complain..
    Vina bado staza, kama russia.. Na ukraine..
    Unapowaza linli Utaheshimika..kwanza Anza kujieshimu..
    Af Mahala bangi inatumika.. We tumia elimu..
    kuna tofauti ndogo sana kati ya 'kujua' na kuelewa'..
    Ila kunatofauti kubwa sana kati ya 'mjuaji' na 'mwelewa..
    Sikuiz unaweza ukakaa.. Uchi..
    ukitazama kioo cha jamii unajiona umevaa..suti..
    Ufundi..unatengwa..
    Upuuzi..unapendwa..
    Unaweza ukageuza hatua na ukajikuta haurudi..unaenda..
    Naifanya kama normal..
    Naifanya kama somo..
    Ila Ukiendelea kuiwaza itaonekana. Kama onyo..
    Real Hip hop ndio ..shule ..adimu..
    Kama umeshndikana kwa mamako
    .njoo upate ..bure..hii elimu..
    Ule muda, mnajichubua et mnaonekane mna-swaga..
    Ndo muda ambao washua, tunaona kama mna-sagwa..
    Coke u'r mind.
    twende sawa, apa ni facts tu na-prove..
    Bongo bongo sioni power kwny hiyo New school..
    mkitoa ngoma zenu zinakaa kaa basi..
    In 24 hours zinapotea kama status..
    Lengo letu sio kuish milele..
    Bali nikuacha vitu ambavyo vitaish milele..
    Pima .uzimwe fasta.. .me ni mafia .usi-complain.. Vina bado staza, kama russia.. Na ukraine.. Unapowaza linli Utaheshimika..kwanza Anza kujieshimu.. Af Mahala bangi inatumika.. We tumia elimu.. kuna tofauti ndogo sana kati ya 'kujua' na kuelewa'.. Ila kunatofauti kubwa sana kati ya 'mjuaji' na 'mwelewa.. Sikuiz unaweza ukakaa.. Uchi.. ukitazama kioo cha jamii unajiona umevaa..suti.. Ufundi..unatengwa.. Upuuzi..unapendwa.. Unaweza ukageuza hatua na ukajikuta haurudi..unaenda.. Naifanya kama normal.. Naifanya kama somo.. Ila Ukiendelea kuiwaza itaonekana. Kama onyo.. Real Hip hop ndio ..shule ..adimu.. Kama umeshndikana kwa mamako .njoo upate ..bure..hii elimu.. Ule muda, mnajichubua et mnaonekane mna-swaga.. Ndo muda ambao washua, tunaona kama mna-sagwa.. Coke u'r mind. twende sawa, apa ni facts tu na-prove.. Bongo bongo sioni power kwny hiyo New school.. mkitoa ngoma zenu zinakaa kaa basi.. In 24 hours zinapotea kama status.. Lengo letu sio kuish milele.. Bali nikuacha vitu ambavyo vitaish milele..
    Like
    Love
    4
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·896 Views
  • Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·534 Views
  • Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·459 Views
  • Ni j pili takatifu.. iliyojawa Na Amani..
    Niko kikamilifu.. japo Nimepoteza adi Ramani..
    Nikasema Nisitoke.. Acha Ibada Niifanye Ndani..
    Kumaanisha leo Nisifoke.. Nisivute Ata Mjani..
    Nikajiuliza ntaweza vipi.. Ikiwa Maandiko.. sijayashika..
    Ama ndo muujiza mfupi.. Matambiko.. na Kadhalika..
    Isiwe kesi nikafungua biblia.. Nimsachi yule Msaliti..
    ,,
    to be continued
    Ni j pili takatifu.. iliyojawa Na Amani.. Niko kikamilifu.. japo Nimepoteza adi Ramani.. Nikasema Nisitoke.. Acha Ibada Niifanye Ndani.. Kumaanisha leo Nisifoke.. Nisivute Ata Mjani.. Nikajiuliza ntaweza vipi.. Ikiwa Maandiko.. sijayashika.. Ama ndo muujiza mfupi.. Matambiko.. na Kadhalika.. Isiwe kesi nikafungua biblia.. Nimsachi yule Msaliti.. ,, to be continued
    Like
    2
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·90 Views