• Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·211 Views
  • Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·213 Views
  • Huyu ndie Stomy Daniels: mcheza porno anayefanya Trump anashtakiwa...!!

    Kwa wale mnaofuatilia habari za majuu...kuna hii kesi inayoendelea Mahakama huko Marekani. Anayestakiwa na Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani na Mgombea Urais. Donald Trump anashtakiwa kwa jumla ya makosa 34 ...imekuwaje mpaka Trump anashtakiwa. Tukio hili lilianzia mwaka 2016, wakati huo Trump alikuwa anagombea Urais wa Marekani. Stomy Daniels ana cheza picha za ngono huko Marekani. Mwaka 2006 walishiriki ngono na Donald Trump. Mwaka 2016 wakati Trump anagombea Urais tetesi zilianza kusambaa kwamba, Trump aliwahi kufanya ngono na huyu mwanamke. Trumpet akamtuma mwanasheria wake amlipe mwanamke huyu pesa Milioni 336 ili anyamaze. Pesa hiyo ndio imesababisha Trump ashtakiwe kwamba ilikuwa inaathiri mwenendo wa Uchaguzi. Katika ushahidi wake mahakamani, Stomy Daniels aliweka wazi kila kitu, jinsi walivyokutana na Trump kwa mara ya kwanza na jinsi walishiriki ngono mara ya kwanza. Katika ushahidi wake Stomy Daniels alieleza jinsi alivyozimia wakati anafanya ngono na Trump. Kwa upande wake Trump mara zote amekuwa akikataa kwamba hajawahi kushiriki ngono na mwanamke huyo. Licha ya kesi hii ambayo imemkalia vibaya Trump lakini kura za maoni zinaonyesha Donald Trump ana nafasi kubwa ya kushinda tena Urais wa Marekani katika uchaguzi wa Mwezi Novemba mwaka huu..!!
    #helper...like for more updates
    Huyu ndie Stomy Daniels: mcheza porno anayefanya Trump anashtakiwa...!! Kwa wale mnaofuatilia habari za majuu...kuna hii kesi inayoendelea Mahakama huko Marekani. Anayestakiwa na Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani na Mgombea Urais. Donald Trump anashtakiwa kwa jumla ya makosa 34 ...imekuwaje mpaka Trump anashtakiwa. Tukio hili lilianzia mwaka 2016, wakati huo Trump alikuwa anagombea Urais wa Marekani. Stomy Daniels ana cheza picha za ngono huko Marekani. Mwaka 2006 walishiriki ngono na Donald Trump. Mwaka 2016 wakati Trump anagombea Urais tetesi zilianza kusambaa kwamba, Trump aliwahi kufanya ngono na huyu mwanamke. Trumpet akamtuma mwanasheria wake amlipe mwanamke huyu pesa Milioni 336 ili anyamaze. Pesa hiyo ndio imesababisha Trump ashtakiwe kwamba ilikuwa inaathiri mwenendo wa Uchaguzi. Katika ushahidi wake mahakamani, Stomy Daniels aliweka wazi kila kitu, jinsi walivyokutana na Trump kwa mara ya kwanza na jinsi walishiriki ngono mara ya kwanza. Katika ushahidi wake Stomy Daniels alieleza jinsi alivyozimia wakati anafanya ngono na Trump. Kwa upande wake Trump mara zote amekuwa akikataa kwamba hajawahi kushiriki ngono na mwanamke huyo. Licha ya kesi hii ambayo imemkalia vibaya Trump lakini kura za maoni zinaonyesha Donald Trump ana nafasi kubwa ya kushinda tena Urais wa Marekani katika uchaguzi wa Mwezi Novemba mwaka huu..!! #helper...like for more updates
    Haha
    Love
    3
    · 2 Comments ·0 Shares ·391 Views
  • Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·216 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·200 Views
  • Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·229 Views
  • @scania
    @scania
    Love
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·20 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·175 Views
  • #Helper
    Tukutane comment section...
    #Helper Tukutane comment section...
    Like
    2
    · 3 Comments ·0 Shares ·291 Views
  • Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·66 Views