Eric  Bankstz
Eric  Bankstz

@ericbankstz

Mr trust the process
10 Articles
3 Photos
0 Vidéos
Habitant Tabora
Du Tabora
Male
CĂ©libataire
07/11/2000
Mises à jour récentes
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·353 Vue
  • 0 Commentaires ·1 Parts ·610 Vue
  • Ili uweze kupata followers wengi katika mtandao huu fanya vitu hivi utanishukuru
    1. Follow my account
    2. Like post hii
    3. Na comment "i Follow back" i na yeyote atakae like comment yako mFollow
    0 Commentaires ·0 Parts ·360 Vue
  • Ili uweze kupata followers wengi katika mtandao huu fanya vitu hivi utanishukuru
    1. Follow my account
    2. Like post hii
    3. Na comment "i Follow back" i na yeyote atakae like comment yako mFollow
    Ili uweze kupata followers wengi katika mtandao huu fanya vitu hivi utanishukuru 1. Follow my account 2. Like post hii 3. Na comment "i Follow back" i na yeyote atakae like comment yako mFollow
    0 Commentaires ·2 Parts ·2KB Vue
  • Hivi kioo hutoa wapi sura zetu
    Hivi kioo hutoa wapi sura zetu 🤔
    0 Commentaires ·0 Parts ·360 Vue
  • Hivi kioo hutoa wapi sura zetu
    Hivi kioo hutoa wapi sura zetu 🤔
    0 Commentaires ·0 Parts ·346 Vue
  • Kuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani.

    Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni.

    Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni.

    Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au ***** kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu.

    Guys, sisi ni pioneers.

    Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia.

    Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh.
    #NaongeaNaWewe
    Kuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani. Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni. Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni. Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au shoga kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu. Guys, sisi ni pioneers. Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia. Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh. #NaongeaNaWewe
    0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • Kila siku unaenda kazini saa 12 asubuhi Kwa miezi 7, muda mwingine unafanya kazi mpaka usiku,

    Alafu Leo tarehe ya mshahara bosi anakuambia

    "Tungoje kama mwezi unaokuja utapata mshahara"

    Ndugu Mtanzania, jifunze side Hussles

    Anza ujasiriamali
    Take responsibility
    #NaongeaNawewe
    Kila siku unaenda kazini saa 12 asubuhi Kwa miezi 7, muda mwingine unafanya kazi mpaka usiku, Alafu Leo tarehe ya mshahara bosi anakuambia "Tungoje kama mwezi unaokuja utapata mshahara" Ndugu Mtanzania, jifunze side Hussles Anza ujasiriamali Take responsibility #NaongeaNawewe
    1 Commentaires ·0 Parts ·867 Vue
  • @ericbankstz Role model ya yanga katika jezi
    @ericbankstz 🤣Role model ya yanga katika jezi
    0 Commentaires ·0 Parts ·354 Vue
  • Wakati macho yako yanapohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine (mfano, unapotazama kutoka upande mmoja wa chumba hadi mwingine), ubongo wako huzuia kwa makusudi uwezo wako wa kuona kwa muda mfupi sana. Hii ndiyo sababu huwezi kuona macho yako yakihama unapoangalia kwenye kioo.

    Mchakato huu unaitwa ‘saccadic masking’. Bila mchakato huu, kila wakati macho yako yanapohama, ungeshuhudia mwendo wa haraka na wenye mtetemo wa picha, kama vile unavyoweza kuona video iliyorekodiwa kwa kamera inayoyumba mikononi. Mchakato huu husaidia ubongo wako kudumisha taswira tulivu na isiyo na usumbufu, hata wakati macho yako yanapohama haraka.

    https://t.me/historiazakweli
    Wakati macho yako yanapohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine (mfano, unapotazama kutoka upande mmoja wa chumba hadi mwingine), ubongo wako huzuia kwa makusudi uwezo wako wa kuona kwa muda mfupi sana. Hii ndiyo sababu huwezi kuona macho yako yakihama unapoangalia kwenye kioo. Mchakato huu unaitwa ‘saccadic masking’. Bila mchakato huu, kila wakati macho yako yanapohama, ungeshuhudia mwendo wa haraka na wenye mtetemo wa picha, kama vile unavyoweza kuona video iliyorekodiwa kwa kamera inayoyumba mikononi. Mchakato huu husaidia ubongo wako kudumisha taswira tulivu na isiyo na usumbufu, hata wakati macho yako yanapohama haraka. https://t.me/historiazakweli
    HISTORIA ZA KWELI 🧠
    t.me
    Historia za kweli zilizo wahi kutoke na kushangaza
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·421 Vue
Plus de lecture