


@ericbankstz
Mr trust the process
10 Записей
3 Фото
0 Видео
Проживает в Tabora
Из Tabora
Male
Один/одна
07/11/2000
-
-
-
0 Комментарии ·0 Поделились ·358 Просмотры
-
Ili uweze kupata followers wengi katika mtandao huu fanya vitu hivi utanishukuru
1. Follow my account
2. Like post hii
3. Na comment "i Follow back" i na yeyote atakae like comment yako mFollowIli uweze kupata followers wengi katika mtandao huu fanya vitu hivi utanishukuru 1. Follow my account 2. Like post hii 3. Na comment "i Follow back" i na yeyote atakae like comment yako mFollow0 Комментарии ·2 Поделились ·2Кб Просмотры -
Hivi kioo hutoa wapi sura zetu
Hivi kioo hutoa wapi sura zetu 🤔0 Комментарии ·0 Поделились ·358 Просмотры -
Hivi kioo hutoa wapi sura zetu
Hivi kioo hutoa wapi sura zetu 🤔0 Комментарии ·0 Поделились ·344 Просмотры -
Kuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani.
Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni.
Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni.
Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au ***** kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu.
Guys, sisi ni pioneers.
Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia.
Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh.
#NaongeaNaWeweKuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani. Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni. Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni. Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au shoga kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu. Guys, sisi ni pioneers. Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia. Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh. #NaongeaNaWewe0 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры -
Kila siku unaenda kazini saa 12 asubuhi Kwa miezi 7, muda mwingine unafanya kazi mpaka usiku,
Alafu Leo tarehe ya mshahara bosi anakuambia
"Tungoje kama mwezi unaokuja utapata mshahara"
Ndugu Mtanzania, jifunze side Hussles
Anza ujasiriamali
Take responsibility
#NaongeaNaweweKila siku unaenda kazini saa 12 asubuhi Kwa miezi 7, muda mwingine unafanya kazi mpaka usiku, Alafu Leo tarehe ya mshahara bosi anakuambia "Tungoje kama mwezi unaokuja utapata mshahara" Ndugu Mtanzania, jifunze side Hussles Anza ujasiriamali Take responsibility #NaongeaNawewe1 Комментарии ·0 Поделились ·865 Просмотры -
0 Комментарии ·0 Поделились ·352 Просмотры
-
Wakati macho yako yanapohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine (mfano, unapotazama kutoka upande mmoja wa chumba hadi mwingine), ubongo wako huzuia kwa makusudi uwezo wako wa kuona kwa muda mfupi sana. Hii ndiyo sababu huwezi kuona macho yako yakihama unapoangalia kwenye kioo.
Mchakato huu unaitwa ‘saccadic masking’. Bila mchakato huu, kila wakati macho yako yanapohama, ungeshuhudia mwendo wa haraka na wenye mtetemo wa picha, kama vile unavyoweza kuona video iliyorekodiwa kwa kamera inayoyumba mikononi. Mchakato huu husaidia ubongo wako kudumisha taswira tulivu na isiyo na usumbufu, hata wakati macho yako yanapohama haraka.
https://t.me/historiazakweliWakati macho yako yanapohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine (mfano, unapotazama kutoka upande mmoja wa chumba hadi mwingine), ubongo wako huzuia kwa makusudi uwezo wako wa kuona kwa muda mfupi sana. Hii ndiyo sababu huwezi kuona macho yako yakihama unapoangalia kwenye kioo. Mchakato huu unaitwa ‘saccadic masking’. Bila mchakato huu, kila wakati macho yako yanapohama, ungeshuhudia mwendo wa haraka na wenye mtetemo wa picha, kama vile unavyoweza kuona video iliyorekodiwa kwa kamera inayoyumba mikononi. Mchakato huu husaidia ubongo wako kudumisha taswira tulivu na isiyo na usumbufu, hata wakati macho yako yanapohama haraka. https://t.me/historiazakweli
Больше