.“Hakuna siri kwenye mpira kila kitu lazima kiwe hadharani, kesho ni siku muhimu sana kwani ni mechi ya mtoano, hatupaswi kufanya makosa tunapaswa kuwa makini kwenye kila idara ili kupata matokeo mazuri, naamini mashabiki wetu watajitokeza kwa wingi kwa lengo la kutupa hamasa” Kocha Mkuu Miguel Gamondi
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
1 Yorumlar
·148 Views
·1 hisse senetleri