1 Comments
·174 Views
-
-
Mwanamuziki Mandojo auawa akidhaniwa mwizi
Habari kutoka mkoani Dodoma zinaeleza kuwa
Mwanamuziki wa Bongo Fleva,
Joseph Francis maarufu kwa jina la Mandojo amefariki duniani.
Taarifa ya awali zilizotolewa na mwanamuziki Domokaya ambaye pia waliwahi kuimba pamoja na mwingine Black Rhino zinasema Mandojo amefariki dunia akiwa njiani akipelekwa hospitalini baada ya kushambuliwa na kupigwa na watu waliodhani kuwa ni mwizi.
Wakati wa uhai wake Mandojo akiwa na Domokaya waliwahi kutamba na vibao kama
Nikupe Nini (2003), Dingi (2004) na Taswira (2005) ambayo walimshirikisha Inspekta Haroun.
#followme3 Comments ·265 Views ·1 Shares -
-
Utalii wetu, Fahari yetu, Kombe letu #MountKilimanjaro
#AmazingTanzania
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Utalii wetu, Fahari yetu, Kombe letu🏆🤩 #MountKilimanjaro #AmazingTanzania🇹🇿 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko5 Comments ·884 Views -
Tanzanian giants Young Africans (Yanga) held a trophy parade in the streets of Dar Es Salaam.
Yanga won Tanzania Mainland Premier League (Ligi Kuu) title.
#socialpopTanzanian 🇹🇿 giants Young Africans (Yanga) held a trophy parade in the streets of Dar Es Salaam. Yanga won Tanzania Mainland Premier League (Ligi Kuu) title. #socialpop4 Comments ·1K Views
More Stories