Upgrade to Pro

  • "Habari za Asubuhi wana Simba

    Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi.

    Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu

    Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo

    Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi

    Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja

    Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili

    Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani

    Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu

    Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena

    Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    "Habari za Asubuhi wana Simba Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi. Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    Like
    1
    ·53 Views
  • Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe.

    "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema.

    Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe.

    Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza.

    Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo!

    Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.

    Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe. "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema. Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe. Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza. Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo! Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.
    Wow
    1
    ·227 Views
  • Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao.

    Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao. Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·371 Views
  • Tunaishi chini ya jua lenye ushindani mwingi na wa kipuuzi sana kwa kizazi cha sasa.Wale tuliopaswa kurithi ama kujifunza mambo mema kutoka kwao ndo hao wengi wao wanafanya ujinga na kujificha kwenye kivuli cha unavyofikiri sivyo ilivyo.
    Binadamu siku hizi anakufanyia ubaya alaf anakujia Kwa mgongo wa utani.Na bahati mbaya dini na charity siku hizi zinatumika kama kichaka cha kuficha uovu wa watu.Binadamu amekuwa si binadamu tena. Wakati mwingine anae kuchukia na asiyekutakia mema ni ndugu wa damu kabisa,ndo dunia ilipofika.
    Tunaishi kwenye hatari tuliyoamua kuibatiza jina la salama.
    Shari tumeigeuza shwari.
    Maumivu na huzuni ya mtu ni furaha ya mwingine.Huku tukitumia hadhara kutengeneza mazingira ya kuendelea kutekeleza maovu.Kwa kivuli cha nani ameniona?au nani anajua?
    Kile kitu Dunia imeshindwa kutambua majira na nyakati yamebadilika sana.
    Zamani zile kulikuwa hakuna siri ya watu wawili ila zamani hizi hakuna siri ya mtu mmoja.Wakati twasema ni siri kuna mtu mahala fulani anaijua hiyo siri.
    Na hapo ndo tunasema mtu anapigana na kivuli chake mwenyewe Kwa kujiongopea kuwa hakuna maumivi.
    Lakini swali la kujiuliza kati ya kivuli cha mtu na mtu mwenyewe ni nani anaumia? Tutafakari
    Tunaishi chini ya jua lenye ushindani mwingi na wa kipuuzi sana kwa kizazi cha sasa.Wale tuliopaswa kurithi ama kujifunza mambo mema kutoka kwao ndo hao wengi wao wanafanya ujinga na kujificha kwenye kivuli cha unavyofikiri sivyo ilivyo. Binadamu siku hizi anakufanyia ubaya alaf anakujia Kwa mgongo wa utani.Na bahati mbaya dini na charity siku hizi zinatumika kama kichaka cha kuficha uovu wa watu.Binadamu amekuwa si binadamu tena. Wakati mwingine anae kuchukia na asiyekutakia mema ni ndugu wa damu kabisa,ndo dunia ilipofika. Tunaishi kwenye hatari tuliyoamua kuibatiza jina la salama. Shari tumeigeuza shwari. Maumivu na huzuni ya mtu ni furaha ya mwingine.Huku tukitumia hadhara kutengeneza mazingira ya kuendelea kutekeleza maovu.Kwa kivuli cha nani ameniona?au nani anajua? Kile kitu Dunia imeshindwa kutambua majira na nyakati yamebadilika sana. Zamani zile kulikuwa hakuna siri ya watu wawili ila zamani hizi hakuna siri ya mtu mmoja.Wakati twasema ni siri kuna mtu mahala fulani anaijua hiyo siri. Na hapo ndo tunasema mtu anapigana na kivuli chake mwenyewe Kwa kujiongopea kuwa hakuna maumivi. Lakini swali la kujiuliza kati ya kivuli cha mtu na mtu mwenyewe ni nani anaumia? Tutafakari
    Like
    Love
    2
    ·260 Views
  • MIXXY BY SIMBA ni!!
    Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga

    #paulswai
    MIXXY BY SIMBA ni!! Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga #paulswai
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·155 Views ·53 Views
  • Hao ndiyo Ubaya ubwela
    #Simbasc
    Hao ndiyo Ubaya ubwela #Simbasc
    Like
    2
    ·147 Views

  • Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy mukwala
    #paulswai
    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy mukwala #paulswai
    Love
    Like
    Yay
    5
    ·210 Views

  • Bado hamja Sema huu ndio ubaya ubwela

    #paulswai
    Bado hamja Sema huu ndio ubaya ubwela #paulswai
    Like
    Love
    4
    ·205 Views
  • Ubaya ubwela watakiwasha 8 December huko Algeria zidi ya Cs Constantine katika kombe la shirikisho Africa
    Ubaya ubwela watakiwasha 8 December huko Algeria zidi ya Cs Constantine katika kombe la shirikisho Africa
    ·71 Views
  • KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE.

    "Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.
    KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE. "Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.
    Like
    Love
    5
    2 Comments ·325 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    🦁🦁🦁💪🔥🔥 UBAYA UBWELA #paulswai
    Love
    Like
    5
    ·181 Views
  • Ubaya ubwela
    Ubaya ubwela👏👏👏
    Like
    1
    ·57 Views
  • MISIMAMO

    UBAYA UBWELA

    #paulswai
    MISIMAMO 🦁🦁🔥🔥 UBAYA UBWELA #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·178 Views
  • UZI MPYA WA UBAYA UBWELA CAF2024/25
    UZI MPYA WA UBAYA UBWELA CAF2024/25
    ·116 Views
  • UBAYA UBWELA

    Umependa jezi ipi hapo
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥 Umependa jezi ipi hapo #paulswai
    Love
    Like
    6
    2 Comments ·345 Views
  • AFCON YA UBAYA UBWELA

    #paulswai
    AFCON YA UBAYA UBWELA 🔥🔥 #paulswai
    Like
    Love
    5
    2 Comments ·443 Views
  • Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania).

    "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo

    Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..?

    Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ??

    Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
    Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania). "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..? Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ?? Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
    ·279 Views
  • Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari.

    Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima..

    Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena.

    Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga.

    Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi.

    Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma.

    Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji..

    Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri..

    Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma..

    #BagaBoy
    #Mauzoo

    Credit Azizi kasese
    Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari. Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima.. Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena. Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga. Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi. Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma. Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji.. Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri.. Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma.. #BagaBoy #Mauzoo Credit Azizi kasese
    ·503 Views
  • Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi.

    Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako.

    Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake.

    Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu.

    Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima.

    Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake.

    Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini.

    Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako.

    Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara.

    Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!!

    Je wewe ni malikia wa nguvu?
    Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi. Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako. Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake. Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu. Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima. Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake. Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini. Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako. Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara. Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!! Je wewe ni malikia wa nguvu?
    ·453 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 😂 #paulswai
    Like
    1
    ·211 Views
More Results