1 Comments
·199 Views
-
-
-
Argentina Nusu Final AMÉRICA
FT : ARGENTINAentina 1-1 ECUADOR
Lisandro Martinez 35'
-
Kevin 90+2'
PENALTI (4-2)
#CopaAmerica2024
#SportsviewsArgentina Nusu Final ♥️ AMÉRICA FT : ARGENTINAentina 1-1 ECUADOR ⚽ Lisandro Martinez 35' - ⚽ Kevin 90+2' PENALTI (4-2) #CopaAmerica2024 #Sportsviews1 Comments ·455 Views -
Baadhi ya watu klabuni tayari wanamwona Nico Williams kama mchezaji wa Barcelona. Wachezaji wa Barca waliopo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Uhispania pia wanajaribu kumshawishi winga huyo ajiunge na Barca. Nico anafahamu kuwa atapokelewa vyema Barcelona.
##Sportsview❗Baadhi ya watu klabuni tayari wanamwona Nico Williams kama mchezaji wa Barcelona. Wachezaji wa Barca waliopo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Uhispania pia wanajaribu kumshawishi winga huyo ajiunge na Barca. Nico anafahamu kuwa atapokelewa vyema Barcelona. ##Sportsview1 Comments ·463 Views -
Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho.
Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae.
#Sportsview💥🩸Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho. Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae. #Sportsview3 Comments ·355 Views -
DEAL DONE
RASMI: Vincent Kompany amesaini kama meneja mpya wa Bayern hadi Juni 2027!
"Naangalia mbele changamoto ya FC Bayern".
"Ni heshima kubwa kuweza kuitumikia klabu hii, FC Bayern ni taasisi ya mpira wa miguu daima".
"Kama kocha, unapaswa kusimama kwa jinsi ulivyo kama mtu: Napenda kuwa na mpira, ubunifu na hivyo pia tunapaswa kuwa fujo uwanjani na kuwa jasiri".
"Sasa ninatazamia mambo ya msingi zaidi: kufanya kazi na wachezaji, kujenga timu. Wakati msingi upo, mafanikio yatafuata", anasema.
#SportsviewDEAL DONE 🚨 RASMI: Vincent Kompany amesaini kama meneja mpya wa Bayern hadi Juni 2027! 🔴🇧🇪 "Naangalia mbele changamoto ya FC Bayern". "Ni heshima kubwa kuweza kuitumikia klabu hii, FC Bayern ni taasisi ya mpira wa miguu daima". "Kama kocha, unapaswa kusimama kwa jinsi ulivyo kama mtu: Napenda kuwa na mpira, ubunifu na hivyo pia tunapaswa kuwa fujo uwanjani na kuwa jasiri". "Sasa ninatazamia mambo ya msingi zaidi: kufanya kazi na wachezaji, kujenga timu. Wakati msingi upo, mafanikio yatafuata", anasema. #Sportsview3 Comments ·463 Views -
MECHI ZA LEO IJUMAA
King Cup - Final:
20:00 Al Hilal - Al Nassr
Club Friendly:
13:00 AS Roma - AC Milan
Superliga - CL Final:
19:00 FC Copenhagen - Randers FC
Egypt Cup:
16:00 Baladiyat El Mahalla - El Gouna
16:00 National Bank Egypt - Petrojet
Euro Women - Qualification:
18:00 Austria - Iceland
18:00 Norway - Italy
18:30 Czech Republic - Belgium
19:00 Denmark - Spain
20:30 Germany - Poland
20:30 Iceland - Sweden
20:45 Netherlands - Finland
21:00 England - France
Euro Women - Qualification:
17:00 Kosovo - Croatia
18:00 Serbia - Slovakia
19:00 Turkey - Azerbaijan
19:30 Malta - Bosnia & Herzegovina
20:00 Switzerland - Hungary
20:05 Scotland - Israel
20:15 Wales - Ukraine
21:45 Portugal - Northern Ireland
Euro Women - Qualification:
15:00 Armenia - Kazakhstan
17:00 Estonia - Albania
17:00 Greece - Montenegro
17:00 North Macedonia - Moldova
17:45 Faroe Islands - Andorra
18:00 Cyprus - Georgia
18:00 Romania - Bulgaria
18:00 Slovenia - Latvia
#SportsviewsMECHI ZA LEO IJUMAA 🇸🇦 King Cup - Final: 20:00 Al Hilal - Al Nassr 🌎 Club Friendly: 13:00 AS Roma - AC Milan 🇩🇰 Superliga - CL Final: 19:00 FC Copenhagen - Randers FC 🇪🇬 Egypt Cup: 16:00 Baladiyat El Mahalla - El Gouna 16:00 National Bank Egypt - Petrojet 🇪🇺 Euro Women - Qualification: 18:00 🇦🇹 Austria - Iceland 🇮🇸 18:00 🇳🇴 Norway - Italy 🇮🇹 18:30 🇨🇿 Czech Republic - Belgium 🇧🇪 19:00 🇩🇰 Denmark - Spain 🇪🇸 20:30 🇩🇪 Germany - Poland 🇵🇱 20:30 🇮🇪 Iceland - Sweden 🇸🇪 20:45 🇳🇱 Netherlands - Finland 🇫🇮 21:00 🏴 England - France 🇫🇷 🇪🇺 Euro Women - Qualification: 17:00 🇽🇰 Kosovo - Croatia 🇭🇷 18:00 🇷🇸 Serbia - Slovakia 🇸🇰 19:00 🇹🇷 Turkey - Azerbaijan 🇦🇿 19:30 🇲🇹 Malta - Bosnia & Herzegovina 🇧🇦 20:00 🇨🇭 Switzerland - Hungary 🇭🇺 20:05 🏴 Scotland - Israel 🇮🇱 20:15 🏴 Wales - Ukraine 🇺🇦 21:45 🇵🇹 Portugal - Northern Ireland 🇬🇧 🇪🇺 Euro Women - Qualification: 15:00 🇦🇲 Armenia - Kazakhstan 🇰🇿 17:00 🇪🇪 Estonia - Albania 🇦🇱 17:00 🇬🇷 Greece - Montenegro 🇲🇪 17:00 🇲🇰 North Macedonia - Moldova 🇲🇩 17:45 🇫🇴 Faroe Islands - Andorra 🇦🇩 18:00 🇨🇾 Cyprus - Georgia 🇬🇪 18:00 🇷🇴 Romania - Bulgaria 🇧🇬 18:00 🇸🇮 Slovenia - Latvia 🇱🇻 #Sportsviews3 Comments ·731 Views -
-
Pep Guardiola kuhusu Kompany kukaribia kusaini Bayern:
"Haijalishi kama alishuka daraja na Burnley".
"Nina maoni ya juu kuhusu kazi yake, kama mtu, haiba yake, ujuzi wa mchezo, jinsi anavyoshughulikia vyombo vya habari ... Ningefurahi kumuona Kompany akiwa Bayern".
#SportsviewPep Guardiola kuhusu Kompany kukaribia kusaini Bayern: "Haijalishi kama alishuka daraja na Burnley". "Nina maoni ya juu kuhusu kazi yake, kama mtu, haiba yake, ujuzi wa mchezo, jinsi anavyoshughulikia vyombo vya habari ... Ningefurahi kumuona Kompany akiwa Bayern". #Sportsview2 Comments ·506 Views -
Mchezaji wa timu ya FC Shakhtar 🇹🇿🇹🇿Miroshi amenza baada ya kukosekana Kwa muda uwanjani #Sportsview1 Comments ·381 Views
-
unyama⚽ unyamaBeki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
#Sports view1 Comments ·272 Views -
🩸🩸🩸🩸🩸Wachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya
Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano.
Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia.
Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza.
Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo.
#Sports view2 Comments ·172 Views -
UnyamaUnyamaBeki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
#Sports view1 Comments ·218 Views -
UhakikaUhakikaBeki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
#Sports view1 Comments ·168 Views -
Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024:
Atalanta : wachezaji 4
B' Leverkusen : wachezaji 4
Roma : 2
Marseille : 1
#EURO2024#UELfinal#EuropaLeague
#SportsviewKikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024: Atalanta 🏆: wachezaji 4 B' Leverkusen : wachezaji 4 Roma : 2 Marseille : 1 #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague #Sportsview1 Comments ·494 Views -
-
Jamie Carragher:
“Bellingham ni nyota wa Real Madrid lakini ni Foden ambaye ananikumbusha Zidane. Bellingham ni mchezaji nzuri lakini Foden ni mchezaji pekee wa England ambaye ana zawadi ya kipaji asilia cha kucheza mpira wa miguu.”
Via: Sports view #🚨Jamie Carragher: “Bellingham ni nyota wa Real Madrid lakini ni Foden ambaye ananikumbusha Zidane. Bellingham ni mchezaji nzuri lakini Foden ni mchezaji pekee wa England ambaye ana zawadi ya kipaji asilia cha kucheza mpira wa miguu.” Via: Sports view #1 Comments ·288 Views -
TETESI ZA SOKA ULAYA
Mchezaji wa Stoke Souleymane Sidibe, mwenye umri wa miaka 17, anaweza kuhama msimu huu huku Brighton , Chelsea , Monaco na Juventus wakimtaka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa.(Foot Mercato)
Winga wa Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 35, amepewa ofa kutoka Saudi Arabia ili azingatie kwani mkataba wake na Fulham unakaribia kuisha. (Telegraph - usajili unahitajika)TETESI ZA SOKA ULAYA Mchezaji wa Stoke Souleymane Sidibe, mwenye umri wa miaka 17, anaweza kuhama msimu huu huku Brighton , Chelsea , Monaco na Juventus wakimtaka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa.(Foot Mercato) Winga wa Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 35, amepewa ofa kutoka Saudi Arabia ili azingatie kwani mkataba wake na Fulham unakaribia kuisha. (Telegraph - usajili unahitajika)·483 Views -
Wachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya
Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano.
Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia.
Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza.
Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo.
#Sports viewWachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano. Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia. Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza. Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo. #Sports view·416 Views ·1 Shares -
Ilinichukua miezi sita kutulia Man Utd - Onana
Kipa wa Manchester United Andre Onana anasema ilimchukua miezi sita "kutulia" Old Trafford.
United walilipa £47.2m kumsajili Onana kutoka Inter Milan mwezi Julai kuchukuwa nafasi ya kipa Mhispania David de Gea.
Hata hivyo, licha ya matarajio makubwa juu ya ujio wake, mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon alifungwa kwa umbali wa yadi 50 katika mechi yake ya kwanza Old Trafford dhidi ya Lens na kisha akafanya makosa kadhaa ambayo yalichangia klabu hiyo kutofanya vizuri katika Ligi Kuu na kuondolewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.
Uchezaji wa Onana haukuimarika sana hadi aliporejea kutoka Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Februari na ingawa amefanya makosa ya ajabu, sasa anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa wa kikosi cha meneja Erik ten Hag watakapoelekea Jumamosi
Fainali ya Kombe la FA dhidi ya wapinzani Manchester City (15:00 BST). “Nilifika nikiwa kipa bora zaidi duniani na ‘boom’ ilishuka.
Ilikuwa kama ‘nini kilitokea?’,” alisema kijana huyo mwenye umri wa miaka 28. “Lakini hivyo ndivyo soka linavyokuwa gumu wakati mwingine.
Inategemea kama unataka kukaa chini na kulia au kusimama na kupigana.
Najua nilichokifanya kufika hapa. Najua mimi ni nani. Niliamua kusimama na kupigana.”
#Sports view🩸Ilinichukua miezi sita kutulia Man Utd - Onana Kipa wa Manchester United Andre Onana anasema ilimchukua miezi sita "kutulia" Old Trafford. United walilipa £47.2m kumsajili Onana kutoka Inter Milan mwezi Julai kuchukuwa nafasi ya kipa Mhispania David de Gea. Hata hivyo, licha ya matarajio makubwa juu ya ujio wake, mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon alifungwa kwa umbali wa yadi 50 katika mechi yake ya kwanza Old Trafford dhidi ya Lens na kisha akafanya makosa kadhaa ambayo yalichangia klabu hiyo kutofanya vizuri katika Ligi Kuu na kuondolewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa. Uchezaji wa Onana haukuimarika sana hadi aliporejea kutoka Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Februari na ingawa amefanya makosa ya ajabu, sasa anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa wa kikosi cha meneja Erik ten Hag watakapoelekea Jumamosi Fainali ya Kombe la FA dhidi ya wapinzani Manchester City (15:00 BST). “Nilifika nikiwa kipa bora zaidi duniani na ‘boom’ ilishuka. Ilikuwa kama ‘nini kilitokea?’,” alisema kijana huyo mwenye umri wa miaka 28. “Lakini hivyo ndivyo soka linavyokuwa gumu wakati mwingine. Inategemea kama unataka kukaa chini na kulia au kusimama na kupigana. Najua nilichokifanya kufika hapa. Najua mimi ni nani. Niliamua kusimama na kupigana.” #Sports view1 Comments ·145 Views -
AL HILAL NA EL MERREKH ZA SUDAN ZITASHIRIKI LIGI KUU NCHINI MAURITANIA.
Kwa mujibu wa Mwandishi Nguli, Lassana Camara klabu mbili za Sudan Hilal na Merreikh zimekubaliana na mamlaka za soka na kinchi nchini Mauritania ili miamba hiyo ishiriki kwenye Ligi yao kutokana na vita inayoendelea nchini Sudan.
Mfumo ni kuwa timu zitashindana kama kawaida na bingwa atapatikana kwa wote ila kushiriki kimataifa hakuna kitakachoathirika ambapo timu ya kwanza kwenye msimamo kutoka Mauritania itacheza Champions League huku timu ya kwanza ya Sudan kwenye msimamo pia itacheza Champions League.
Wameshatuma maombi yao rasmi CAF na wanasubiri mrejesho kutoka Cairo, kwa maana hiyo Al Hilal kuja kucheza Tanzania imeota mbawa rasmi.
#Sports view🚨AL HILAL NA EL MERREKH ZA SUDAN ZITASHIRIKI LIGI KUU NCHINI MAURITANIA. Kwa mujibu wa Mwandishi Nguli, Lassana Camara klabu mbili za Sudan Hilal na Merreikh zimekubaliana na mamlaka za soka na kinchi nchini Mauritania ili miamba hiyo ishiriki kwenye Ligi yao kutokana na vita inayoendelea nchini Sudan. Mfumo ni kuwa timu zitashindana kama kawaida na bingwa atapatikana kwa wote ila kushiriki kimataifa hakuna kitakachoathirika ambapo timu ya kwanza kwenye msimamo kutoka Mauritania itacheza Champions League huku timu ya kwanza ya Sudan kwenye msimamo pia itacheza Champions League. Wameshatuma maombi yao rasmi CAF na wanasubiri mrejesho kutoka Cairo, kwa maana hiyo Al Hilal kuja kucheza Tanzania imeota mbawa rasmi. #Sports view1 Comments ·294 Views -
Beki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
#Sports viewBeki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria 🇳🇬 kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia. #Sports view·626 Views ·3 Shares
More Stories