Upgrade to Pro

Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho.

Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae.

#Sportsview
💥🩸Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho. Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae. #Sportsview
Like
Love
Haha
Angry
5
3 Comments ·356 Views