-
99 people like this
-
3 Posts
-
2 Photos
-
1 Videos
-
0 Reviews
-
Entertainment
Recent Updates
-
Please log in to like, share and comment!
-
Kunguru Weupe:
Hawa walidhaniwa kuwa hadithi lakini sasa wanaonekana katika sehemu ya pwani ya British Columbia, Canada. Kunguru hawa si albino, bali ni leucistic, yaani wana ukosefu wa baadhi ya rangi za pigmenti tofauti (sio tu melanin). Uwezo wao wa kuwa na rangi tofauti unawafanya kuwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia, tofauti na kunguru weusi ambao wana rangi ya kawaida. kunguru weupe hawana ukosefu wa rangi kama albino.
Jiunge nasi kwenye telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako
#kai #ulimwenguWako #socialpop😳 Kunguru Weupe: Hawa walidhaniwa kuwa hadithi lakini sasa wanaonekana katika sehemu ya pwani ya British Columbia, Canada. Kunguru hawa si albino, bali ni leucistic, yaani wana ukosefu wa baadhi ya rangi za pigmenti tofauti (sio tu melanin). Uwezo wao wa kuwa na rangi tofauti unawafanya kuwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia, tofauti na kunguru weusi ambao wana rangi ya kawaida. kunguru weupe hawana ukosefu wa rangi kama albino. Jiunge nasi kwenye telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako #kai #ulimwenguWako #socialpop1 Comments 0 Shares 1K Views1
-
Hakuna anayejua kifo chake kinamngoja wapi ?
jiunge nasi telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako
ili kuona matukio mengi zaidi ya ajari.. #kai #ulimwenguWako #socialpopHakuna anayejua kifo chake kinamngoja wapi ? jiunge nasi telegram https://t.me/Ulimwengu_Wako ili kuona matukio mengi zaidi ya ajari.. #kai #ulimwenguWako #socialpop1 Comments 0 Shares 1K Views 171
More Stories