Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
π Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.

