Ukinunua line unalipa mtandao unakatwa ushuru. Ukinunua vocha unakatwa, ukituma hela unakatwa, ukitoa hela unakatwa, ukinunua umeme unakatwa ya umeme na nyingine, tozo unakatwa….. unakatwa unakatwa unakatwa “UNAKATWA”.

Like
Angry
Love
5
· 3 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·139 Views