Baadhi ya watu wanadhani kwamba kuambiwa “Nakupenda” ni kitu kizuri zaidi kwenye maisha. Lakini jambo zuri zaidi kuliko hilo ni pindi unapoliona neno “Nakupenda” kwenye macho ya yule unayempenda. Kwa sababu macho huwa hayadanganyi.