Upgrade to Pro

Ni mzuri kutumia hata mbele ya watoto pia
Maadili imezingatia kwa kubwa asilimia
Mitandao ni kadhia kwa zeetu familia
Ila huu wapungua machafu kuyatngaza
Socialpop naipenda walahi nawaambia
#jeiva
Ni mzuri kutumia hata mbele ya watoto pia Maadili imezingatia kwa kubwa asilimia Mitandao ni kadhia kwa zeetu familia Ila huu wapungua machafu kuyatngaza Socialpop naipenda walahi nawaambia #jeiva
Like
Love
6
·308 Views