-
87 Posts
-
0 Photos
-
0 Videos
-
Lives in Daresalam
-
From PBA
-
Studied University at Tumbe sec
-
Male
-
23/08/2001
-
Followed by 25 people
Recent Updates
-
Kunaendelea nini sikuizi humu ndani?
# jeivaKunaendelea nini sikuizi humu ndani? # jeiva1 Comments 0 Shares 1K Views3
Please log in to like, share and comment! -
In socialpop again I come back #jeiva0 Comments 0 Shares 801 Views
3
-
Hello socialpop
#jeivaHello socialpop #jeiva1 Comments 0 Shares 789 Views3
-
Nashkur kumekucha, nami pia nmeamka
Socialpop narejea, ndugu kuwasalimia
Sijui salamu inafaa, kwenu nyikuwapatia
Nihao ikiwa hii itafaa, basi ndio nitatumia
Hello socialpop asubuhinjema nawatakia
#jaivaNashkur kumekucha, nami pia nmeamka Socialpop narejea, ndugu kuwasalimia Sijui salamu inafaa, kwenu nyikuwapatia Nihao ikiwa hii itafaa, basi ndio nitatumia Hello socialpop asubuhinjema nawatakia #jaiva6 Comments 0 Shares 1K Views3
-
Hello socialpop Goodnight. 👋❤️ #jaiva0 Comments 0 Shares 1K Views
6
-
Nataka nieleze kidogo kuhusu wanafunzi
Wanafunzi mambo yao wanapokua shuleni wanafunzi umoja wao ni kamamavi yambuzi
Wakimaliza shulen hutengana hawajuani
Dah! Musitengane jamani endeleeni kushikaman
#jaivaNataka nieleze kidogo kuhusu wanafunzi Wanafunzi mambo yao wanapokua shuleni wanafunzi umoja wao ni kamamavi yambuzi Wakimaliza shulen hutengana hawajuani Dah! Musitengane jamani endeleeni kushikaman #jaiva317 Comments 0 Shares 1K Views
12
-
Programming language gani ni more complex?Programming language gani ni more complex?1 Comments 0 Shares 1K Views
6
-
Programming language ipi ni mzur zaid?
#jeivaProgramming language ipi ni mzur zaid? #jeiva0 Comments 0 Shares 1K Views
9
-
Jamani naomba kujuwa Ivi izi programming language Zipo ngapi duniani? #jeiva2 Comments 0 Shares 1K Views
10
-
Katika hii dunia kutunukiwa hukuna Bora niombeeeeee!!,, 😁😁 Maumpemba alisema #jeiva1 Comments 0 Shares 799 Views
9
-
Nani ataamini hadithi akihadithiwa
Wasanii zao hadithi zinaweza kukutibua
Kweli huezi amini shida wanazopitia
Mziki wakufurahisha kumbe wao wanumia
Usichoke endelea kutafuta
#jeivaNani ataamini hadithi akihadithiwa Wasanii zao hadithi zinaweza kukutibua Kweli huezi amini shida wanazopitia Mziki wakufurahisha kumbe wao wanumia Usichoke endelea kutafuta #jeiva1 Comments 0 Shares 796 Views
6
-
Leo wajionea mafanikio rahisi tu wajipatia
Kumbe ni maumivu makali wamepitia
Dhiki shida tabu zote ndizo walizo pitia
Mafanikio kwao kichwani ndoto zinawapitia
Usikate endelea kutafuta
#jeivaLeo wajionea mafanikio rahisi tu wajipatia Kumbe ni maumivu makali wamepitia Dhiki shida tabu zote ndizo walizo pitia Mafanikio kwao kichwani ndoto zinawapitia Usikate endelea kutafuta #jeiva1 Comments 0 Shares 815 Views
6
-
Hadithi mbali huanzia watukutaka kujieleza
Mbali sana wlianzia hadi walipofikia
Utadhani watania kumbe kweli waliumia
Maumivu ya kadhia hadi kuwafungulia njia #jeivaHadithi mbali huanzia watukutaka kujieleza Mbali sana wlianzia hadi walipofikia Utadhani watania kumbe kweli waliumia Maumivu ya kadhia hadi kuwafungulia njia #jeiva1 Comments 0 Shares 811 Views
6
-
#include<stdio.h>
int main ()
{
Printf ("I'm biginer, i want to become a good programmer");
return 0;
}
#jeiva#include<stdio.h> int main () { Printf ("I'm biginer, i want to become a good programmer"); return 0; } #jeiva5 Comments 0 Shares 1K Views
10
-
Nani anawza nisaidia kua programmer?
#jeivaNani anawza nisaidia kua programmer? #jeiva1K Comments 0 Shares 1K Views
16
-
Nukta hapa naweka socialpop kuilezea
Naona hamjashtuka huu mtandao kuujua
NIkaama nyengine hakika hizo social media
Huu unafikirika hemu jaribu kisheaaaaa
#jeivaNukta hapa naweka socialpop kuilezea Naona hamjashtuka huu mtandao kuujua NIkaama nyengine hakika hizo social media Huu unafikirika hemu jaribu kisheaaaaa #jeiva26 Comments 0 Shares 932 Views
6
-
Ni mzuri kutumia hata mbele ya watoto pia
Maadili imezingatia kwa kubwa asilimia
Mitandao ni kadhia kwa zeetu familia
Ila huu wapungua machafu kuyatngaza
Socialpop naipenda walahi nawaambia
#jeivaNi mzuri kutumia hata mbele ya watoto pia Maadili imezingatia kwa kubwa asilimia Mitandao ni kadhia kwa zeetu familia Ila huu wapungua machafu kuyatngaza Socialpop naipenda walahi nawaambia #jeiva0 Comments 0 Shares 804 Views
7
-
Socialpop naipenda napenda pia kuisifia
Tanzania imetoka napenda kuwaelezea
Mambo hamun a kama nidhamu imefunzwa
unawezashea na mama wazaziwote pomoja
Socialpop naipenda walahi nawaambia
#jeivaSocialpop naipenda napenda pia kuisifia Tanzania imetoka napenda kuwaelezea Mambo hamun a kama nidhamu imefunzwa unawezashea na mama wazaziwote pomoja Socialpop naipenda walahi nawaambia #jeiva0 Comments 0 Shares 904 Views
5
-
Hi socialpop
#jeivaHi socialpop #jeiva0 Comments 0 Shares 790 Views
5
-
Watanzania waweza shida kubwa ni kubezw
Mbail wameanzia mtandao huu kutuletea
Kutuletea kadhia wanaobeza wasena
Kumbe tumendelea kwa kia teknolojia
Socialpop naipenda walahi nawaambia
#jeivaWatanzania waweza shida kubwa ni kubezw Mbail wameanzia mtandao huu kutuletea Kutuletea kadhia wanaobeza wasena Kumbe tumendelea kwa kia teknolojia Socialpop naipenda walahi nawaambia #jeiva0 Comments 0 Shares 1K Views
6
-
Mitandao ya kijamii imejaa tele kwa mzo
nje ya nchi imetoka kodi zake za mwazo
Facebook na insta ndio imepambamoto
Sisahau na tiktok wadada wapostiko
Socialpop naipenda walahi nawaambia
#jeivaMitandao ya kijamii imejaa tele kwa mzo nje ya nchi imetoka kodi zake za mwazo Facebook na insta ndio imepambamoto Sisahau na tiktok wadada wapostiko Socialpop naipenda walahi nawaambia #jeiva0 Comments 0 Shares 993 Views
7
-
Nahodha katengeneza,socialpop mwajionea
Kama mzaha kucheza socialpop ikatokea
Sapport naiombea watanzania kwa pamoja
Kuwawezesha nivyema programmer wa tanzania
Socialpop naipenda walahi nawaambia
Nahodha katengeneza,socialpop mwajionea Kama mzaha kucheza socialpop ikatokea Sapport naiombea watanzania kwa pamoja Kuwawezesha nivyema programmer wa tanzania Socialpop naipenda walahi nawaambia0 Comments 0 Shares 850 Views
5
-
Socialpop naipenda ukweli nawaeleza
Socialpop Tanzania z ndpo ilipoanzia
Tanzania programa tayar wanaendelea
Tena sasa tunaona roboti wtengeneza
Socialpop naipenda walahi me nawaambia
#jeivaSocialpop naipenda ukweli nawaeleza Socialpop Tanzania z ndpo ilipoanzia Tanzania programa tayar wanaendelea Tena sasa tunaona roboti wtengeneza Socialpop naipenda walahi me nawaambia #jeiva0 Comments 0 Shares 746 Views
6
-
Ikiufikie viwangi ylvya kua muhenga
Ni vitu gani muhimu vya kufanyaIkiufikie viwangi ylvya kua muhenga Ni vitu gani muhimu vya kufanya0 Comments 0 Shares 717 Views
5
-
Wana socialpop
Me nahitaji kujua hawa wahenga ni akina nani?Wana socialpop Me nahitaji kujua hawa wahenga ni akina nani?0 Comments 0 Shares 753 Views
5
More Stories