Upgrade to Pro

Leo wajionea mafanikio rahisi tu wajipatia
Kumbe ni maumivu makali wamepitia
Dhiki shida tabu zote ndizo walizo pitia
Mafanikio kwao kichwani ndoto zinawapitia
Usikate endelea kutafuta
#jeiva
Leo wajionea mafanikio rahisi tu wajipatia Kumbe ni maumivu makali wamepitia Dhiki shida tabu zote ndizo walizo pitia Mafanikio kwao kichwani ndoto zinawapitia Usikate endelea kutafuta #jeiva
Love
Like
6
1 Comments ·321 Views