Upgrade to Pro

Hadithi mbali huanzia watukutaka kujieleza
Mbali sana wlianzia hadi walipofikia
Utadhani watania kumbe kweli waliumia
Maumivu ya kadhia hadi kuwafungulia njia #jeiva
Hadithi mbali huanzia watukutaka kujieleza Mbali sana wlianzia hadi walipofikia Utadhani watania kumbe kweli waliumia Maumivu ya kadhia hadi kuwafungulia njia #jeiva
Like
Love
6
1 Comments ·298 Views