Upgrade to Pro

Nashkur kumekucha, nami pia nmeamka
Socialpop narejea, ndugu kuwasalimia
Sijui salamu inafaa, kwenu nyikuwapatia
Nihao ikiwa hii itafaa, basi ndio nitatumia
Hello socialpop asubuhinjema nawatakia

#jaiva
Nashkur kumekucha, nami pia nmeamka Socialpop narejea, ndugu kuwasalimia Sijui salamu inafaa, kwenu nyikuwapatia Nihao ikiwa hii itafaa, basi ndio nitatumia Hello socialpop asubuhinjema nawatakia #jaiva
Like
3
6 Comments ·380 Views