Cassowary anaitwa ,Ni jamii ya Ndege wanaopatikana Australia, ni ndege hatari zaidi Duniani ,muone hapo kama mzembe mzembe tu,
Sifa za huyu ndege yeye akihisi hatari yaani akikuhisi unataka kumuua, anaruka juu anakuvamia na shambulio lake ni kama umepigwa na silaha hizi za kisasa kama AK47 na majeraha yake lazima ufe , yeye anapokuvamia huvaa mask anayo yake ya asili , Kifupi huyu ndege huitwa Muuaji wa watu.
Mbaya kuliko zote huyu nyama yake utachemsha mawe yakaiva nyama ya huyu bado haijaiva..
Share

1 Comments
·93 Views