Passa a Pro

Nani ataamini hadithi akihadithiwa
Wasanii zao hadithi zinaweza kukutibua
Kweli huezi amini shida wanazopitia
Mziki wakufurahisha kumbe wao wanumia
Usichoke endelea kutafuta
#jeiva
Nani ataamini hadithi akihadithiwa Wasanii zao hadithi zinaweza kukutibua Kweli huezi amini shida wanazopitia Mziki wakufurahisha kumbe wao wanumia Usichoke endelea kutafuta #jeiva
Like
Love
6
1 Commenti ·276 Views