Upgrade to Pro

JE WASUMBULIWA NA UTI SUGU SOMA HAPO
Wale mnaosema mna U.T.I sugu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa et UTI haisikii dawa sio kweli

Tumia unga wa baking soda, chukua kijiko kidogo cha baking soda ile ya kutengeneza maandazi, tia kwenye kikombe cha maji ya uvuguvugu, kunywa asubuhi na usiku pia.

Hata mumeo anaweza kunywa kama unahisi mnaambukizana U.T.I kwa siku saba nenda kapige tuone huo usugu wake upo

Ni njia rahisi sana japo wachache wanasoma na kuzingatia nachowafundisheni

Angalizo: Kama hujawahi kuitumia kwa siku ya kwanza na ya pili unaweza kupata hali ya kupata choo kilaini sana kwa sababu inasafisha pia mfumo wa mmeng'enyo na kuondoa kolestrol mbaya hivyo usishtuke.
JE WASUMBULIWA NA UTI SUGU SOMA HAPO๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Wale mnaosema mna U.T.I sugu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa et UTI haisikii dawa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sio kweli Tumia unga wa baking soda, chukua kijiko kidogo cha baking soda ile ya kutengeneza maandazi, tia kwenye kikombe cha maji ya uvuguvugu, kunywa asubuhi na usiku pia. Hata mumeo anaweza kunywa kama unahisi mnaambukizana U.T.I kwa siku saba nenda kapige tuone huo usugu wake upo Ni njia rahisi sana japo wachache wanasoma na kuzingatia nachowafundisheni Angalizo: Kama hujawahi kuitumia kwa siku ya kwanza na ya pili unaweza kupata hali ya kupata choo kilaini sana kwa sababu inasafisha pia mfumo wa mmeng'enyo na kuondoa kolestrol mbaya hivyo usishtuke.
Like
Love
Wow
4
3 Comments ยท185 Views