Kocha wa magolikipa Simba Daniel Cadena anasema Kwa sasa Simba Kwa upande wake anaona wanapaswa kuondosha watu wote ndani ya klabu na kuanza upya
.
Kocha huyo anasema kuwa Simba Kwa sasa inahitaji "PROFESSIONAL PEOPLE" watu wenye Ueledi , wasipewe nafasi sababu wanajuana na watu au Sababu wanaijua Sana Simba bali wanahitaji watu wenye Ueledi na taaluma
.
Daniel Cadena ambaye alikuwa kocha wa magolikipa Simba ameamua kuondoka Simba baada ya mkataba wake kuisha mwishoni mwa Msimu huu
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·39 Views ·25