Kama utafunga nae Ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali.

Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
Kama utafunga nae Ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali. Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
Love
Like
5
· 1 Commentarios ·0 Acciones ·156 Views