..... DJUMA SHABAN NA SAFARI ILIYOJAA MACHUNGU KWAKE.
Djuma Shaban wakati anakuja Tanzania Mipango yake ilikuwa ni kujiunga na klabu ya Young Africans Yes ilitiki na alicheza kwa mafanikio sana
Baadae akaja omba kuachana na klabu ya Yanga kitu ambacho kiliketa Machafuko ndani ya klab ya Yanga ila mwisho wa siku waliketi pande zote mbili na wakakubaliana kuachana nae , wakati huo Djuma Shaban alikuwa na Mipango ya kwenda kujiunga na klabu ya Azam, licha ya kukaa na kikosi hicho pamoja kwa miezi kadhaa Mpaka mwisho safari hakufanikiwa kwakuwa kocha wasasa Dabo hakuona ulazima wake huo, dili hakikufanikiwa
Djuma Shaban akasikika akiwa na Mipango Mipya ya baadae kujiunga na klabu ya Simba ikitajwa akienda kuchukua nafasi ya Shomari kapombe ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni Mkataba wake klabuni hapo , dili halikufanikiwa
Sasa Mlinzi wa kulia huyo raia wa Congo DR anakaribia kujiunga na klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo msimu ujao itacheza kombe la Shirikisho barani Afrika (CAFCC) Dili lipo katika hatua za mwisho

.....🧠 DJUMA SHABAN NA SAFARI ILIYOJAA MACHUNGU KWAKE.
Djuma Shaban wakati anakuja Tanzania Mipango yake ilikuwa ni kujiunga na klabu ya Young Africans Yes ilitiki na alicheza kwa mafanikio sana ✔️
Baadae akaja omba kuachana na klabu ya Yanga kitu ambacho kiliketa Machafuko ndani ya klab ya Yanga ila mwisho wa siku waliketi pande zote mbili na wakakubaliana kuachana nae , wakati huo Djuma Shaban alikuwa na Mipango ya kwenda kujiunga na klabu ya Azam, licha ya kukaa na kikosi hicho pamoja kwa miezi kadhaa Mpaka mwisho safari hakufanikiwa kwakuwa kocha wasasa Dabo hakuona ulazima wake huo, dili hakikufanikiwa ❌
Djuma Shaban akasikika akiwa na Mipango Mipya ya baadae kujiunga na klabu ya Simba ikitajwa akienda kuchukua nafasi ya Shomari kapombe ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni Mkataba wake klabuni hapo , dili halikufanikiwa ❌
Sasa Mlinzi wa kulia huyo raia wa Congo DR anakaribia kujiunga na klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo msimu ujao itacheza kombe la Shirikisho barani Afrika (CAFCC) Dili lipo katika hatua za mwisho ⏳✔️
·373 Views