Upgrade to Pro

  • Ladies kujeni huku ni changamoto gani
    Mnazopitia nyie
    Mnaokaa UKWENI
    NASOMA COMMENT
    Ladies kujeni huku ni changamoto gani Mnazopitia nyie Mnaokaa UKWENI NASOMA COMMENT 👇👇👇
    Like
    Love
    2
    ·168 Views
  • BREAKING.

    Rasmi Ligi kuu Tanzania NBCPL msimu ujao Itatumia VAR katika mashindano yote.

    Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha ilo na kuomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR.

    MSIMU UJAO TUTAONA MENGI
    🚨BREAKING. Rasmi Ligi kuu Tanzania NBCPL 🇹🇿 msimu ujao Itatumia VAR katika mashindano yote. Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha ilo na kuomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR. MSIMU UJAO TUTAONA MENGI 🇹🇿🚨
    Love
    Like
    3
    2 Comments ·491 Views
  • #EXCLUSIVE

    Yanga SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Prince Dube kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha Kuongeza mwaka mmoja.

    Similling Killer is now

    YANYANGA TAMUMYANGA TAMU

    #tabulelelaaaah
    #EXCLUSIVE💥 Yanga SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Prince Dube kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha Kuongeza mwaka mmoja. Similling Killer is now 🔰💪 YANYANGA TAMUMYANGA TAMU #tabulelelaaaah
    Like
    Love
    2
    ·440 Views
  • Akikuomba hela Jua hakupendi ,akikunyima hela jua hakupendi
    Mtajuana wenyewe
    #social pop
    Akikuomba hela Jua hakupendi ,akikunyima hela jua hakupendi Mtajuana wenyewe #social pop
    Like
    Love
    2
    ·176 Views
  • ..... DJUMA SHABAN NA SAFARI ILIYOJAA MACHUNGU KWAKE.

    Djuma Shaban wakati anakuja Tanzania Mipango yake ilikuwa ni kujiunga na klabu ya Young Africans Yes ilitiki na alicheza kwa mafanikio sana

    Baadae akaja omba kuachana na klabu ya Yanga kitu ambacho kiliketa Machafuko ndani ya klab ya Yanga ila mwisho wa siku waliketi pande zote mbili na wakakubaliana kuachana nae , wakati huo Djuma Shaban alikuwa na Mipango ya kwenda kujiunga na klabu ya Azam, licha ya kukaa na kikosi hicho pamoja kwa miezi kadhaa Mpaka mwisho safari hakufanikiwa kwakuwa kocha wasasa Dabo hakuona ulazima wake huo, dili hakikufanikiwa

    Djuma Shaban akasikika akiwa na Mipango Mipya ya baadae kujiunga na klabu ya Simba ikitajwa akienda kuchukua nafasi ya Shomari kapombe ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni Mkataba wake klabuni hapo , dili halikufanikiwa

    Sasa Mlinzi wa kulia huyo raia wa Congo DR anakaribia kujiunga na klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo msimu ujao itacheza kombe la Shirikisho barani Afrika (CAFCC) Dili lipo katika hatua za mwisho
    .....🧠 DJUMA SHABAN NA SAFARI ILIYOJAA MACHUNGU KWAKE. Djuma Shaban wakati anakuja Tanzania Mipango yake ilikuwa ni kujiunga na klabu ya Young Africans Yes ilitiki na alicheza kwa mafanikio sana ✔️ Baadae akaja omba kuachana na klabu ya Yanga kitu ambacho kiliketa Machafuko ndani ya klab ya Yanga ila mwisho wa siku waliketi pande zote mbili na wakakubaliana kuachana nae , wakati huo Djuma Shaban alikuwa na Mipango ya kwenda kujiunga na klabu ya Azam, licha ya kukaa na kikosi hicho pamoja kwa miezi kadhaa Mpaka mwisho safari hakufanikiwa kwakuwa kocha wasasa Dabo hakuona ulazima wake huo, dili hakikufanikiwa ❌ Djuma Shaban akasikika akiwa na Mipango Mipya ya baadae kujiunga na klabu ya Simba ikitajwa akienda kuchukua nafasi ya Shomari kapombe ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni Mkataba wake klabuni hapo , dili halikufanikiwa ❌ Sasa Mlinzi wa kulia huyo raia wa Congo DR anakaribia kujiunga na klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo msimu ujao itacheza kombe la Shirikisho barani Afrika (CAFCC) Dili lipo katika hatua za mwisho ⏳✔️
    Like
    Love
    3
    ·372 Views
  • 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨

    Klabu ya Azam FC imeachana na Beki Wake wa Kati Malickou Ndoye Kwa Makubaliano ya Pande Zote Mbili.

    Ameudumu katika Timu hiyo Kwa msimu miwili majerhaa yalimuandama Sana.
    🚨 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Klabu ya Azam FC imeachana na Beki Wake wa Kati Malickou Ndoye 🇸🇳 Kwa Makubaliano ya Pande Zote Mbili. Ameudumu katika Timu hiyo Kwa msimu miwili majerhaa yalimuandama Sana.
    Like
    Love
    2
    ·203 Views
  • Habari wanafamilia
    Habari wanafamilia
    ·212 Views
  • Kwenye Siasa tuna mengi ya kujifunza aisee. Sijui kwanini hawamtaki huyu jamaa
    Kwenye Siasa tuna mengi ya kujifunza aisee. Sijui kwanini hawamtaki huyu jamaa
    Like
    2
    ·178 Views
  • #weekend
    Hii vita n kubwa
    #weekend Hii vita n kubwa
    Like
    2
    ·229 Views
  • Like
    2
    ·195 Views
More Stories