Upgrade to Pro

  • "Wenzetu kwa sasa wanapitia kipindi kigumu mno mpaka wanatembea na calculator, hesabu zao ni ngumu mno, safari yao ni dhahiri ipo ukingoni huenda weekend hii hii wakarudi rasmi nyumbani, Ibenge anaweza kuwanyoa yule. Simba ndio klabu professional, ndio klabu pekee nchini kwa sasa yenye uhakika wa kushinda popote, hatutembei na matumaini hewa tunasonga mbele kwa uhakika saiv tunahitaji point moja tu inatosha"- Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    "Wenzetu kwa sasa wanapitia kipindi kigumu mno mpaka wanatembea na calculator, hesabu zao ni ngumu mno, safari yao ni dhahiri ipo ukingoni huenda weekend hii hii wakarudi rasmi nyumbani, Ibenge anaweza kuwanyoa yule. Simba ndio klabu professional, ndio klabu pekee nchini kwa sasa yenye uhakika wa kushinda popote, hatutembei na matumaini hewa tunasonga mbele kwa uhakika saiv tunahitaji point moja tu inatosha"- Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    ·43 Views
  • Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA.

    Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao.

    Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha.
    Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo.
    Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine!

    Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao.
    Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao!

    Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA. Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao. Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha. Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo. Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine! Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao. Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao! Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    ·307 Views
  • KWA WANANDOA NA WALE WANAOTARAJIA KUINGIA KATIKA NDOA.

    Mbebe mke wako pale anaposinzia akiwa sebuleni na mpeleke kulala, muda mwingine mfanye ajisikie kama mtoto mdogo.

    Ukweli ni kwamba kila mwanamke anapenda kudekezwa kama mtoto wa miaka miwili. Ndio maana muda mwingine wanawake hufanya mambo ya kitoto.

    Inawezekana ukawa na mabishano na mkeo na ukaona anafungasha mabegi yake na anataka kuondoka.

    Hiyo haimaanishi anataka kukuacha, ni utoto tu, anachotaka ni wewe umshike mkono, umvutie kwako, umtizame usoni kwake na umwambie 'Samahani kwa mabishano na kukukashifu, haitajirudia tena"

    Huyo ndiye mwanamke wako, ubavu wako, Eva wako. Kila Brother anahitaji kusoma chuo cha wanawake kabla hajaoa, soma vitabu kuhusu wao, soma vitabu vya dini vinasemaje juu ya kuishi nao na kamwe hautakuwa na tatizo la kuishi nae.

    Ingawa kunaweza kuwa na changamoto za hapa na pale, hiyo ni kwa sababu wote mmetoka katika familia tofauti, zenye malezi ya tofauti na historia tofauti.

    Hivyo basi soma vitabu kuhusu ndoa, pitia mafundisho mbalimbali ya walimu wa mahusiano kama Dr. Chris Mauki, Dr. Naahj Naahjum, Hezron, tizama mafunzo ya Dr. Myles Munroe katika Youtube, Ongeza maarifa kuhusu malezi ya watoto na umuhimu wa Ndoa na mengineyo.

    Usikimbilie tu ndoa kisa Washikaji zako wote wameshaoa au umechoka kula msosi wa hotelini, na huku kichwani bado kweupe kuhusiana na ndoa, utajiletea matatizo.

    Ni wanaume wangapi wanaeza vumilia wake zao wanaoongea sana na kushout kwa kila jambo? Kama vile ilivyo shida kwa mwenye miguu ya mzee kupanda mlima uliojaa
    mchanga, ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mke mwenye makelele.

    Unaambiwa uwe mkimya pale mmoja wenu anapokuwa na hasira na kuongea sana, Mmoja wenu anapokuwa moto basi mwingine awe maji. Hapo mambo yataenda sawia.

    Kaka zangu, ukiwa kama mwanaume jifunze kupotezea baadhi ya vitu, sio kila jambo unakua mkali kama pilipili mpaka watoto wanaenda kujificha chini ya uvungu wa vitanda.

    Cheza michezo ya kitoto na mkeo, imba nae siku za weekend huku ukimsaidia kufua au kutengeneza bustani, kuwa serious sana kunamuogopesha mkeo na hawezi kuwa rafiki yako wa karibu.

    Msaidie kazi za nyumbani, yeye si mfanyakazi wako wa ndani bali ni msaidizi, ulikuwa bachelor na kazi zote ulifanya mwenyewe sasa amekuja mke kukusaidia na sio kubadili kuwa kazi zake, menya viazi, teka maji, Oga nae, muamshe kwa ajili ya sala, mfindishe kupika chakula ambacho hajawahi kupika.

    Mpigie simu ukiwa kazini mwambie umemkumbuka na unampenda sana. Andika neno "I Love you" na uweke chini ya mto wake au pochi yake kabla hujaenda kazin.

    Mbusu siku zote, mkumbatie, mbembeleze. Siku zote mueleze kwamba yeye ni mzuri na una bahati ya kuwa mume wake.

    Yote haya ni sehemu ya kuwa romantic, pale mke anaposema kwamba hauko romantic, anamaanisha humfanyii haya mambo, hamaanishi romance mkiwa chumbani.

    Ni vitu fulani vidogo sana na vya kipuuzi ila kwa mwanamke vina maana kubwa sana, niamini mimi.

    Tamati nawashauri kaka zangu, gawanya usiku wako katika sehemu tatu.
    Moja ni kwa ajili yako (kuwaza mipango yako ya maendeleo na kulala).
    Mbili ni kwa ajili ya mke wako (ongea nae, kama uwezekano upo make love with her) na Tatu ni kwa ajili ya Mungu wako (Mshukuru kwa kukulinda siku nzima na kukufanikishia mipango yako)

    Nakuahidi huo utakuwa usiku bora kabisa ambao hujawahi kuupata!

    Mambo mawili ya kuzingatia na mtakua mmemaliza, wanawake watiini wanaume zenu, na wanaume wapendeni wake zenu. utii ni bora kuliko sadaka!

    Busara yangu, "A happy man, marry the woman he loves, but the happiest man keep loving the woman he marry!"
    KWA WANANDOA NA WALE WANAOTARAJIA KUINGIA KATIKA NDOA. Mbebe mke wako pale anaposinzia akiwa sebuleni na mpeleke kulala, muda mwingine mfanye ajisikie kama mtoto mdogo. Ukweli ni kwamba kila mwanamke anapenda kudekezwa kama mtoto wa miaka miwili. Ndio maana muda mwingine wanawake hufanya mambo ya kitoto. Inawezekana ukawa na mabishano na mkeo na ukaona anafungasha mabegi yake na anataka kuondoka. Hiyo haimaanishi anataka kukuacha, ni utoto tu, anachotaka ni wewe umshike mkono, umvutie kwako, umtizame usoni kwake na umwambie 'Samahani kwa mabishano na kukukashifu, haitajirudia tena" Huyo ndiye mwanamke wako, ubavu wako, Eva wako. Kila Brother anahitaji kusoma chuo cha wanawake kabla hajaoa, soma vitabu kuhusu wao, soma vitabu vya dini vinasemaje juu ya kuishi nao na kamwe hautakuwa na tatizo la kuishi nae. Ingawa kunaweza kuwa na changamoto za hapa na pale, hiyo ni kwa sababu wote mmetoka katika familia tofauti, zenye malezi ya tofauti na historia tofauti. Hivyo basi soma vitabu kuhusu ndoa, pitia mafundisho mbalimbali ya walimu wa mahusiano kama Dr. Chris Mauki, Dr. Naahj Naahjum, Hezron, tizama mafunzo ya Dr. Myles Munroe katika Youtube, Ongeza maarifa kuhusu malezi ya watoto na umuhimu wa Ndoa na mengineyo. Usikimbilie tu ndoa kisa Washikaji zako wote wameshaoa au umechoka kula msosi wa hotelini, na huku kichwani bado kweupe kuhusiana na ndoa, utajiletea matatizo. Ni wanaume wangapi wanaeza vumilia wake zao wanaoongea sana na kushout kwa kila jambo? Kama vile ilivyo shida kwa mwenye miguu ya mzee kupanda mlima uliojaa mchanga, ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mke mwenye makelele. Unaambiwa uwe mkimya pale mmoja wenu anapokuwa na hasira na kuongea sana, Mmoja wenu anapokuwa moto basi mwingine awe maji. Hapo mambo yataenda sawia. Kaka zangu, ukiwa kama mwanaume jifunze kupotezea baadhi ya vitu, sio kila jambo unakua mkali kama pilipili mpaka watoto wanaenda kujificha chini ya uvungu wa vitanda. Cheza michezo ya kitoto na mkeo, imba nae siku za weekend huku ukimsaidia kufua au kutengeneza bustani, kuwa serious sana kunamuogopesha mkeo na hawezi kuwa rafiki yako wa karibu. Msaidie kazi za nyumbani, yeye si mfanyakazi wako wa ndani bali ni msaidizi, ulikuwa bachelor na kazi zote ulifanya mwenyewe sasa amekuja mke kukusaidia na sio kubadili kuwa kazi zake, menya viazi, teka maji, Oga nae, muamshe kwa ajili ya sala, mfindishe kupika chakula ambacho hajawahi kupika. Mpigie simu ukiwa kazini mwambie umemkumbuka na unampenda sana. Andika neno "I Love you" na uweke chini ya mto wake au pochi yake kabla hujaenda kazin. Mbusu siku zote, mkumbatie, mbembeleze. Siku zote mueleze kwamba yeye ni mzuri na una bahati ya kuwa mume wake. Yote haya ni sehemu ya kuwa romantic, pale mke anaposema kwamba hauko romantic, anamaanisha humfanyii haya mambo, hamaanishi romance mkiwa chumbani. Ni vitu fulani vidogo sana na vya kipuuzi ila kwa mwanamke vina maana kubwa sana, niamini mimi. Tamati nawashauri kaka zangu, gawanya usiku wako katika sehemu tatu. Moja ni kwa ajili yako (kuwaza mipango yako ya maendeleo na kulala). Mbili ni kwa ajili ya mke wako (ongea nae, kama uwezekano upo make love with her) na Tatu ni kwa ajili ya Mungu wako (Mshukuru kwa kukulinda siku nzima na kukufanikishia mipango yako) Nakuahidi huo utakuwa usiku bora kabisa ambao hujawahi kuupata! Mambo mawili ya kuzingatia na mtakua mmemaliza, wanawake watiini wanaume zenu, na wanaume wapendeni wake zenu. utii ni bora kuliko sadaka! Busara yangu, "A happy man, marry the woman he loves, but the happiest man keep loving the woman he marry!"
    ·543 Views
  • Kwenye Ule Muendelezo wetu wa series ya CITADEL
    hii ni third story pia
    1: Citadel
    2: Citadel:Diana
    3: Citadel:Honey Bunny
    Enjoy The Weekend
    Kwenye Ule Muendelezo wetu wa series ya CITADEL hii ni third story pia 1: Citadel 2: Citadel:Diana 3: Citadel:Honey Bunny 🔥 Enjoy The Weekend 😊
    ·261 Views
  • Hello Today it's weekend
    Hello Today it's weekend
    Love
    1
    1 Comments ·222 Views
  • Kushoto ni save ya Diarra kwenye mechi ya CAF Champions League Young Africans Sports Club dhidi ya CBE ikimfanya kipa huyo kuondoka na clean sheet

    Kulia ni save kutoka kwa Moussa Camara kipa la wekundu wa msimbazi simba dhidi ya Al Ahli Tripoli ikipigwa naMabululu dakika za jioni na kupelekea wekundu wa msimbazi kwenda makundi CAF Confederation Cup

    IPI KWAKO NI SAVE BORA WEEKEND ILIYOPITA KWA TIMU HIZI ZA KARIAKOO
    Kushoto ni save ya Diarra kwenye mechi ya CAF Champions League Young Africans Sports Club dhidi ya CBE ikimfanya kipa huyo kuondoka na clean sheet Kulia ni save kutoka kwa Moussa Camara kipa la wekundu wa msimbazi simba dhidi ya Al Ahli Tripoli ikipigwa naMabululu dakika za jioni na kupelekea wekundu wa msimbazi kwenda makundi CAF Confederation Cup 👉IPI KWAKO NI SAVE BORA WEEKEND ILIYOPITA KWA TIMU HIZI ZA KARIAKOO
    Like
    3
    1 Comments ·448 Views
  • Have a great weekend
    Have a great weekend
    Like
    Love
    3
    ·167 Views
  • Nice weekend

    Nice weekend
    Like
    Love
    2
    3 Comments ·254 Views
  • Nice weekend

    Nice weekend
    Like
    Love
    2
    ·260 Views
  • Happy weekend to all
    Happy weekend to all
    Like
    Wow
    3
    4 Comments ·351 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    4
    2 Comments ·241 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·239 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·232 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·241 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    2
    ·240 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    3
    ·218 Views
  • WEEKEND
    WEEKEND 🙏🙏
    Love
    Like
    3
    ·221 Views
  • NICE WEEKEND
    NICE WEEKEND 🙏🙏
    Love
    Like
    3
    1 Comments ·216 Views
  • NICE WEEKEND
    NICE WEEKEND 🙏🙏
    Like
    Love
    3
    3 Comments ·219 Views