Upgrade to Pro

Prince  Naahjum

  • Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA.

    Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao.

    Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha.
    Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo.
    Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine!

    Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao.
    Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao!

    Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA. Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao. Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha. Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo. Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine! Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao. Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao! Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    ·308 Views
  • Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........
    Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii......

    Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Kuna baadhi ya wanawake wakipenda huwa wanapenda kweli yaani toka moyoni........ Kwa hiyo kama mke wako anamchepuko ujue anaupenda mchepuko wake kweli kwelii...... Habari zenu wanawake mlioko Ndoani Na mnamichepuko yenu..... Angalieni Furaha Na Upendo wenu ila msisahau kujali Afya zenu..
    Like
    1
    ·351 Views
  • Siyo kila tatizo unalokutana nalo barabarani pindi uendeshapo gari litahitaji ukamate brake...
    Mengine yanahitaji ukanyage mafuta ili gari ipite kikwazo hiko...

    Hivyo basi hata kwenye ndoa na mahusiano siyo kila tatizo ukimbilie kwa wazazi au ulireact..
    Kuna matatizo mengine unatakiwa uwe muelewa na uyachukulie kama yalivyo ili yapite salama.. Mengine yanahiyaji kujibebisha zaidi ili uilinde furaha yako isipotee...
    Siyo kila tatizo unalokutana nalo barabarani pindi uendeshapo gari litahitaji ukamate brake... Mengine yanahitaji ukanyage mafuta ili gari ipite kikwazo hiko... Hivyo basi hata kwenye ndoa na mahusiano siyo kila tatizo ukimbilie kwa wazazi au ulireact.. Kuna matatizo mengine unatakiwa uwe muelewa na uyachukulie kama yalivyo ili yapite salama.. Mengine yanahiyaji kujibebisha zaidi ili uilinde furaha yako isipotee...
    Like
    1
    ·255 Views
  • Mwanamke hutegemea MOYO kuanzisha mahusiano kichwa wanasukia nywele, ila Mwanaume hutumia KICHWA (BRAIN) kuanzisha mahusiano, sasa iko hivi, shida huja pale ambapo hata huoo MOYO wenyewe unaweza penda hata ujinga wakati mwingine.
    Mwanamke hutegemea MOYO kuanzisha mahusiano kichwa wanasukia nywele, ila Mwanaume hutumia KICHWA (BRAIN) kuanzisha mahusiano, sasa iko hivi, shida huja pale ambapo hata huoo MOYO wenyewe unaweza penda hata ujinga wakati mwingine.
    ·120 Views
  • SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..!

    Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa.

    Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious.

    Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana.......

    Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako.

    Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe."

    #SexIsNotLove
    #Inauma
    SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..! Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa. Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious. Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana....... Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako. Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe." #SexIsNotLove #Inauma
    ·526 Views
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·677 Views
  • 🔥💯⚡🔥💪
    ·78 Views
  • 🔥⚡⚡⚡🔥🔥
    ·68 Views
  • Third Kit....
    Third Kit....🌹🌹💯
    ·78 Views
  • Amazing
    Amazing 🤸🤸🤸✌️
    ·97 Views
  • 🔥🔥🔥💯💪
    ·80 Views
  • Uzi wa ugenini Gold....
    Uzi wa ugenini Gold....🔥🔥🔥💪
    ·86 Views
  • Unauonajee uzi hu wa Nyumbani wa club bingwa toka kwa wananchi
    Unauonajee uzi hu wa Nyumbani wa club bingwa toka kwa wananchi
    ·156 Views
  • Home Kit Yang Africa
    Home Kit Yang Africa
    ·157 Views
  • BAADHI YA MAMBO YA KUFANYA KUZUIA KUUMIZWA NA MAHUSIANO.

    1. Sio mahusiano yote huishia ndoa. Mahusiano mengine yapo kama somo kwako, mengine ni ya msimu na machache ndio hua ya kudumu.

    Kama mahusiano yako hayaendi kama unavyohitaji, usijiue, usijilaumu, wala usikate tamaa. Tambua kusudi lako na endelea na maisha.

    2. Usimpe mwanamke au mwanaume moyo wako wote kabla hujampa Mungu wako. Mpende sana huyo mtu, lakini Mungu awe wa kwanza.

    3. Usibabaishwe na uzuri wa mtu au utajiri alionao, kama huyo mtu ameshindwa kukuweka moyoni, uzuri wake au pesa zake haziwezi kukuweka pia.
    .
    4. Mapenzi pekee hayatoshi. Kuelewana, kupendana, bali busara, uvumilivu, uaminifu ni vya muhimu zaidi.

    5. Pale dalili mbaya zinavyokua nyingi kuzidi dalili nzuri, ni vema ukajitoa mapema kabla hujaumia vibaya huko mbeleni.

    6. Ni wazi kwamba, wivu uliopitiliza kiwango ni dalili tosha ya mahusiano kuvunjika.

    7. Uaminifu kamwe hauombwi, haki yako kuupata, build it or show it!

    8. Kamwe usimfananshe uliye naye na ex wako au na mtu mwingine.

    9. Mahusiano yenu yasiendeshwe na 'SEX' tu bali, kujaliana, upendo na mawasiliano.

    10. Usimuoe au usiolewe nae kwa sababu umemuona kwenye nyumba ya ibada. Wengi wapo humo kwa madhumun mbalimbali. Usiangalie ni WAPI umekutana na huyo mtu, bali tizama ni mtu wa AINA gani.

    I CARE.
    BAADHI YA MAMBO YA KUFANYA KUZUIA KUUMIZWA NA MAHUSIANO. 1. Sio mahusiano yote huishia ndoa. Mahusiano mengine yapo kama somo kwako, mengine ni ya msimu na machache ndio hua ya kudumu. Kama mahusiano yako hayaendi kama unavyohitaji, usijiue, usijilaumu, wala usikate tamaa. Tambua kusudi lako na endelea na maisha. 2. Usimpe mwanamke au mwanaume moyo wako wote kabla hujampa Mungu wako. Mpende sana huyo mtu, lakini Mungu awe wa kwanza. 3. Usibabaishwe na uzuri wa mtu au utajiri alionao, kama huyo mtu ameshindwa kukuweka moyoni, uzuri wake au pesa zake haziwezi kukuweka pia. . 4. Mapenzi pekee hayatoshi. Kuelewana, kupendana, bali busara, uvumilivu, uaminifu ni vya muhimu zaidi. 5. Pale dalili mbaya zinavyokua nyingi kuzidi dalili nzuri, ni vema ukajitoa mapema kabla hujaumia vibaya huko mbeleni. 6. Ni wazi kwamba, wivu uliopitiliza kiwango ni dalili tosha ya mahusiano kuvunjika. 7. Uaminifu kamwe hauombwi, haki yako kuupata, build it or show it! 8. Kamwe usimfananshe uliye naye na ex wako au na mtu mwingine. 9. Mahusiano yenu yasiendeshwe na 'SEX' tu bali, kujaliana, upendo na mawasiliano. 10. Usimuoe au usiolewe nae kwa sababu umemuona kwenye nyumba ya ibada. Wengi wapo humo kwa madhumun mbalimbali. Usiangalie ni WAPI umekutana na huyo mtu, bali tizama ni mtu wa AINA gani. I CARE.
    ·348 Views
  • Hakuna kitu kinachoudhi na kuchanganya kama kuwa katika ndoa au mahusiano na mtu ambae hana uhakika ni nini haswa anataka.

    Unakuta kuna muda anaonesha kukupenda kweli, then baadae unakuta mtu huyohuyo anakufanya ujihisi hupendwi. Mtu anakuacha halafu baada ya kujitahidi kuendelea na maisha yako anarudi na kukuomba mrudiane.

    Mtu anakwambia kabisa it's over, lakini baadae anakuita eti muyajenge. Mtu yuko na ndoa kabisa ila anajifanya yuko Single. Mtu kwa muda mfupi tu anabadilika kutoka "Nakupenda sana" kwenda "nakuchukia sana". Anakufanya unajisikia vizuri kidogo tu anakubadilikia..ni mbaya zaidi kama umezaa na mtu wa aina hiyo ambae haeleweki.

    Huu upuuzi wa kutokueleweka kwenye mahusiano ni utoto. Mtu ambae amekua kiakili anahitaji uhakika. Mtu aliyekua kiakili anaeleza wazi kama mahusiano yapo au hayapo. Kuwa na uhakika na maamuzi yako kuliko kupotezeana muda.

    Acha kumchezea michezo ya kitoto mwenzako. Chagua moja kama upo kwenye uhusiano nae au laa. Usiwe mguu mmoja ndani mguu mmoja nje. Mapenzi sio moody. Mapenzi ni kitu ambacho kipo constant. Mapenzi yanatabirika na yanayotegemeana. Mapenzi ni facts sio theory. Mpe mtu clarity kuhusu mahusiano yenu.

    Ndoa imara na Mahusiano imara hayajengwi kwa misingi ya mapenzi yasiyo na uhakika. Mtu uliyenae anaweza kabisa kukubaliana na matokeo. Kama haumtaki tena mweleze wazi ili afahamu amesimama wapi. Ni bora kukataliwa sasa hivi ukaendelea na maisha yako huku ukijitahidi kutibu moyo, kuliko kuendelea kusalitiwa na mtu ambae hafahamu ni nini anachokitaka.

    #GiveClarity
    #DateSmart
    #MarrySmart
    Hakuna kitu kinachoudhi na kuchanganya kama kuwa katika ndoa au mahusiano na mtu ambae hana uhakika ni nini haswa anataka. Unakuta kuna muda anaonesha kukupenda kweli, then baadae unakuta mtu huyohuyo anakufanya ujihisi hupendwi. Mtu anakuacha halafu baada ya kujitahidi kuendelea na maisha yako anarudi na kukuomba mrudiane. Mtu anakwambia kabisa it's over, lakini baadae anakuita eti muyajenge. Mtu yuko na ndoa kabisa ila anajifanya yuko Single. Mtu kwa muda mfupi tu anabadilika kutoka "Nakupenda sana" kwenda "nakuchukia sana". Anakufanya unajisikia vizuri kidogo tu anakubadilikia..ni mbaya zaidi kama umezaa na mtu wa aina hiyo ambae haeleweki. Huu upuuzi wa kutokueleweka kwenye mahusiano ni utoto. Mtu ambae amekua kiakili anahitaji uhakika. Mtu aliyekua kiakili anaeleza wazi kama mahusiano yapo au hayapo. Kuwa na uhakika na maamuzi yako kuliko kupotezeana muda. Acha kumchezea michezo ya kitoto mwenzako. Chagua moja kama upo kwenye uhusiano nae au laa. Usiwe mguu mmoja ndani mguu mmoja nje. Mapenzi sio moody. Mapenzi ni kitu ambacho kipo constant. Mapenzi yanatabirika na yanayotegemeana. Mapenzi ni facts sio theory. Mpe mtu clarity kuhusu mahusiano yenu. Ndoa imara na Mahusiano imara hayajengwi kwa misingi ya mapenzi yasiyo na uhakika. Mtu uliyenae anaweza kabisa kukubaliana na matokeo. Kama haumtaki tena mweleze wazi ili afahamu amesimama wapi. Ni bora kukataliwa sasa hivi ukaendelea na maisha yako huku ukijitahidi kutibu moyo, kuliko kuendelea kusalitiwa na mtu ambae hafahamu ni nini anachokitaka. #GiveClarity #DateSmart #MarrySmart
    ·297 Views
  • Mapenzi yana tabia ya kumuweka mtu njia panda, Na ilivyo kawaida ya Mapenzi unapokuwa huna mtu unakuwa salama kiafya na kiakili japo moyo unahangaika kutafuta faraja. Ukimpata mtu "MPENZI" ujue atakuja na mwingine ili kukupa changamoto.

    Sasa basi utakuta Mmoja atakuwa na MVUTO lakini hana wazo la kuishi nawe, Mwingine hana MVUTO lakini anayo haja ya kuishi nawe kama MUME/MKE..!

    Hapo ndipo palipomshinda Binadam hata akajikuta anakuwa njia panda,

    *UFANYE NINI KUKABILIANA NA HILI?*

    Kwanza kabisa lazima ujue kuwa Mapenzi ni HISIA... Ni jambo la kwanza kwa Mtu yeyote, Sikiliza hisia zako kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Uangalie MOYO wako kama una furaha na nani Kati ya hao wanaosema I LOVE YOU...

    Jiweke mahala kuyaishi maisha ya AMANI kuliko chochote, Amani inatokana na utulivu wa moyo, Asiye na MVUTO kama una hisia nae pambana kumpa mvuto wako mwenyewe, Kama ni mwenye MVUTO basi itetee nafsi yako, Maana kwenye MAPENZI hakuna linaloshindikana ikiwa penzi litaongozwa na UKARIBU, MAELEWANO, UPOLE NA UVUMILIVU...!

    Hata chizi Ukiwa nae Karibu na mkaelewana sana, hawezi kukudhuru kwa asilimia kubwa... Wengi husimama njia panda na kushindwa kuamua vyema mwisho wao huwa mbaya, ni bora sana kujitafakari kabla ya kuamua ili kujiweka sehemu salama.

    Mapenzi yanayodumu ni yenye HISIA maana moyo huongea kwa mazuri tu, Ole wako UOE/UOLEWE na mtu asiye na hisia nawe then aje kumpata wa hisia zake Mweeee UTAJUTA MBONA... Hakunaga kusikilizwa wala kupewa nafasi ya kujieleza, Uwe na cheti cha NDOA ama mna MTOTO/WATOTO hayo hayatakuwa na nafasi tena maana mwenzio atakuwa anautetea moyo wake tu.

    Chagua zaidi kuwa na MTU MWENYE HISIA NAWE ili ufurahie Mapenzi, Vinginevyo UTAISHI KWA TAABU SANA JUU YA MAPENZI HAYA YA KARNE YA KIZAZI cha KIDUKU, VISHETI, SERIES NA UONGO MKUBWA....
    Mapenzi yana tabia ya kumuweka mtu njia panda, Na ilivyo kawaida ya Mapenzi unapokuwa huna mtu unakuwa salama kiafya na kiakili japo moyo unahangaika kutafuta faraja. Ukimpata mtu "MPENZI" ujue atakuja na mwingine ili kukupa changamoto. Sasa basi utakuta Mmoja atakuwa na MVUTO lakini hana wazo la kuishi nawe, Mwingine hana MVUTO lakini anayo haja ya kuishi nawe kama MUME/MKE..! Hapo ndipo palipomshinda Binadam hata akajikuta anakuwa njia panda, *UFANYE NINI KUKABILIANA NA HILI?* Kwanza kabisa lazima ujue kuwa Mapenzi ni HISIA... Ni jambo la kwanza kwa Mtu yeyote, Sikiliza hisia zako kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Uangalie MOYO wako kama una furaha na nani Kati ya hao wanaosema I LOVE YOU... Jiweke mahala kuyaishi maisha ya AMANI kuliko chochote, Amani inatokana na utulivu wa moyo, Asiye na MVUTO kama una hisia nae pambana kumpa mvuto wako mwenyewe, Kama ni mwenye MVUTO basi itetee nafsi yako, Maana kwenye MAPENZI hakuna linaloshindikana ikiwa penzi litaongozwa na UKARIBU, MAELEWANO, UPOLE NA UVUMILIVU...! Hata chizi Ukiwa nae Karibu na mkaelewana sana, hawezi kukudhuru kwa asilimia kubwa... Wengi husimama njia panda na kushindwa kuamua vyema mwisho wao huwa mbaya, ni bora sana kujitafakari kabla ya kuamua ili kujiweka sehemu salama. Mapenzi yanayodumu ni yenye HISIA maana moyo huongea kwa mazuri tu, Ole wako UOE/UOLEWE na mtu asiye na hisia nawe then aje kumpata wa hisia zake Mweeee UTAJUTA MBONA... Hakunaga kusikilizwa wala kupewa nafasi ya kujieleza, Uwe na cheti cha NDOA ama mna MTOTO/WATOTO hayo hayatakuwa na nafasi tena maana mwenzio atakuwa anautetea moyo wake tu. Chagua zaidi kuwa na MTU MWENYE HISIA NAWE ili ufurahie Mapenzi, Vinginevyo UTAISHI KWA TAABU SANA JUU YA MAPENZI HAYA YA KARNE YA KIZAZI cha KIDUKU, VISHETI, SERIES NA UONGO MKUBWA....
    ·476 Views
  • Jacob alikuwa na mke aitwae Leah. Jacob tokea mwanzo hakumhitaji Leah kwa sababu tokea hapo awali Jacob alikuwa akimpenda mdogo wake na Leah aitwae Raheli.

    Leah alikuwa akilifahamu hilo. Sasa imagine maumivu aliyokua anayapata ya kumtazama mume wake akimpenda mwanamke mwingine na mbaya zaidi ni mdogo wake.

    Maandiko yanaeleza namna ambavyo Leah ali-expirience maumivu ya kutopendwa na Rejections kwa majina aliyowapa watoto aliozaa na Jacob.

    Muda mwingine katika safari ya mahusiano tunaumizwa kwa kupenda tusipopendwa. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya kila jambo ili kujaribu kuwafanya wale tunaowapenda watambue upendo tulio nao juu yao.

    Tunajaribu kujipa moyo kwamba huenda tukiwapikia chakula kizuri, au tukiwanunulia zawadi, kuwapa pesa au kubeba ujauzito wao basi watatupenda na bahati mbaya haiwi hivyo, inauma mno.

    Wakati tukipoteza muda na watu wasiotupenda, wanaotupenda wako tu pembeni wanashuhudia namna tunavyoumia mioyo kwa kupenda tusipopendwa.

    Kama hataki mawasiliano na wewe au mawasiliano yako finyu ni kwamba hauko kwenye akili zake. Kama yeye anaona kwake ni sawa tu kuku-disappoint ni kwa sababu hakujali tena. Kama hafanyi jitihada zozote zile za kukaa chini na kuelewana ni kwamba haheshimu hata kdogo hisia zako na anaona unampotezea muda tu.

    Ni vigumu sana kwa mtu kutamka kuwa HAKUPENDI direct hasa ukizingatia kama hapo awali mlikua mko vizuri. Utaziona dalili tu za kubadilika kwake. Huo ni ujumbe kwamba ujiongeze, sikuhitaji tena.

    Mahusiano thabiti yanahusisha sana na kijitoa. Unahitaji mtu ambae atajitoa kwako kwa hali na mali. Unahitahiji kujibiwa texts zako, unahitaji kupigiwa simu, unahitaji kuonana nae na kupanga mikakati. Unahitaji kupendwa na zaidi unahitaji mahala salama pa kuegama!!

    Nakutakia kila la kheri katika kukabiliana na kutibu maumivu ya moyo wa kupenda usipopendwa!

    !!
    Jacob alikuwa na mke aitwae Leah. Jacob tokea mwanzo hakumhitaji Leah kwa sababu tokea hapo awali Jacob alikuwa akimpenda mdogo wake na Leah aitwae Raheli. Leah alikuwa akilifahamu hilo. Sasa imagine maumivu aliyokua anayapata ya kumtazama mume wake akimpenda mwanamke mwingine na mbaya zaidi ni mdogo wake. Maandiko yanaeleza namna ambavyo Leah ali-expirience maumivu ya kutopendwa na Rejections kwa majina aliyowapa watoto aliozaa na Jacob. Muda mwingine katika safari ya mahusiano tunaumizwa kwa kupenda tusipopendwa. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya kila jambo ili kujaribu kuwafanya wale tunaowapenda watambue upendo tulio nao juu yao. Tunajaribu kujipa moyo kwamba huenda tukiwapikia chakula kizuri, au tukiwanunulia zawadi, kuwapa pesa au kubeba ujauzito wao basi watatupenda na bahati mbaya haiwi hivyo, inauma mno. Wakati tukipoteza muda na watu wasiotupenda, wanaotupenda wako tu pembeni wanashuhudia namna tunavyoumia mioyo kwa kupenda tusipopendwa. Kama hataki mawasiliano na wewe au mawasiliano yako finyu ni kwamba hauko kwenye akili zake. Kama yeye anaona kwake ni sawa tu kuku-disappoint ni kwa sababu hakujali tena. Kama hafanyi jitihada zozote zile za kukaa chini na kuelewana ni kwamba haheshimu hata kdogo hisia zako na anaona unampotezea muda tu. Ni vigumu sana kwa mtu kutamka kuwa HAKUPENDI direct hasa ukizingatia kama hapo awali mlikua mko vizuri. Utaziona dalili tu za kubadilika kwake. Huo ni ujumbe kwamba ujiongeze, sikuhitaji tena. Mahusiano thabiti yanahusisha sana na kijitoa. Unahitaji mtu ambae atajitoa kwako kwa hali na mali. Unahitahiji kujibiwa texts zako, unahitaji kupigiwa simu, unahitaji kuonana nae na kupanga mikakati. Unahitaji kupendwa na zaidi unahitaji mahala salama pa kuegama!! Nakutakia kila la kheri katika kukabiliana na kutibu maumivu ya moyo wa kupenda usipopendwa! 🔥🔥🔥🍹🍹🍹!!
    ·362 Views
  • Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako.

    Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako.

    Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu."

    Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako. Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako. Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu." 💯💯💯
    ·211 Views
  • Kama unajijua umeolewa, umeoa, au upo kwenye mahusiano basi jitahidi uonekane upo hivyo.

    Kama upo kwenye ndoa basi act kama upo kwenye ndoa na kama unajua umeshachukuliwa basi onekana kweli kama umechukuliwa.

    Sio umeolewa au umeoa halafu unajifanya upo single. Au upo kwenye mahusiano halafu unajifanya upo single...

    Watu tuliopo single hatuna muda na "watu walioko kwenye ndoa" au "waliopo kwenye mahusiano"

    Kama hauna furaha kwenye ndoa yako, ndio hivyo..ulishafanya maamuzi, sasa tafuta namna ya ku-deal nayo. Aidha nenda kwa wataalamu wa councelling na psychology au kutana na kiongozi wako wa dini na mwombe sana Mungu.

    Kama hauna furaha na mahusiano yako, hujachelewa sana. Unaweza kuyavunja kama hayana tija kabla hujaingia kwenye ndoa. Lakini kabla ya hapo usianze kujibebisha kwa watu walioko single ukijidai na wewe upo single kumbe upo kwenye ndoa.

    Watu 'tuliopo' single tuna issues zetu. Aidha tunangoja Mungu atupe wale walio sahihi, tuna-run careers na biashara zetu na tunajenga maisha yetu ya kiroho. Huwa hatuna muda wa wanaume au wake za watu!

    Sifahamu kwa watu wengine, ila kwa wale single wanaojielewa hawana muda na watu ambao wako TAKEN...hivyo kama unajua you are TAKEN, then act TAKEN

    Acha wenye ndoa waonekane kama wanandoa,

    Acha waliokuwa 'taken' waonekane kama 'taken',

    And let single people act single,

    Pambana na hali yako..

    Kila mwenye sikio na asikie..
    Kama unajijua umeolewa, umeoa, au upo kwenye mahusiano basi jitahidi uonekane upo hivyo. Kama upo kwenye ndoa basi act kama upo kwenye ndoa na kama unajua umeshachukuliwa basi onekana kweli kama umechukuliwa. Sio umeolewa au umeoa halafu unajifanya upo single. Au upo kwenye mahusiano halafu unajifanya upo single... Watu tuliopo single hatuna muda na "watu walioko kwenye ndoa" au "waliopo kwenye mahusiano" Kama hauna furaha kwenye ndoa yako, ndio hivyo..ulishafanya maamuzi, sasa tafuta namna ya ku-deal nayo. Aidha nenda kwa wataalamu wa councelling na psychology au kutana na kiongozi wako wa dini na mwombe sana Mungu. Kama hauna furaha na mahusiano yako, hujachelewa sana. Unaweza kuyavunja kama hayana tija kabla hujaingia kwenye ndoa. Lakini kabla ya hapo usianze kujibebisha kwa watu walioko single ukijidai na wewe upo single kumbe upo kwenye ndoa. Watu 'tuliopo' single tuna issues zetu. Aidha tunangoja Mungu atupe wale walio sahihi, tuna-run careers na biashara zetu na tunajenga maisha yetu ya kiroho. Huwa hatuna muda wa wanaume au wake za watu! Sifahamu kwa watu wengine, ila kwa wale single wanaojielewa hawana muda na watu ambao wako TAKEN...hivyo kama unajua you are TAKEN, then act TAKEN Acha wenye ndoa waonekane kama wanandoa, Acha waliokuwa 'taken' waonekane kama 'taken', And let single people act single, Pambana na hali yako.. Kila mwenye sikio na asikie..
    ·168 Views
  • F E W D A T I N G T I P S .

    1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi.

    2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu.

    3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao.

    4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake.

    5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'.

    6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa....

    7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua.

    8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala.

    9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto.

    10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti.
    Ila daima Mungu hawezi kukusaliti.
    Having GOD must be your primary focus then relationship should come second.

    Siku Njema..
    F E W D A T I N G T I P S . 1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi. 2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu. 3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao. 4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake. 5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'. 6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa.... 7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua. 8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala. 9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto. 10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti. Ila daima Mungu hawezi kukusaliti. Having GOD must be your primary focus then relationship should come second. Siku Njema..
    ·318 Views
  • My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee.

    Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo.

    Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka.

    Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men.

    Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways.

    Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware.

    Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako.

    My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee. Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo. Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka. Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men. Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways. Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware. Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako. My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    ·415 Views
  • FANYA HAYA KWA MUME WAKO.

    1. Muite kwa jina lake la utani

    2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.

    3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.

    4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha.

    5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

    6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo.

    7. Waheshimu wazazi wake.

    8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

    9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

    10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani.

    11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

    12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

    13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka

    14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo.

    15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

    16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako.

    17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

    18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako.

    19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu.

    20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.

    Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima.

    Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako.

    Kwanini tusiseme "Amen"!
    FANYA HAYA KWA MUME WAKO. 1. Muite kwa jina lake la utani 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha. 5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe. 6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo. 7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia. 9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake. 10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani. 11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi. 12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali. 13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka 14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo. 15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako. 16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako. 17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile. 18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako. 19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu. 20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala. Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima. Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako. Kwanini tusiseme "Amen"!
    ·452 Views
  • Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi.

    Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako.

    Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake.

    Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu.

    Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima.

    Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake.

    Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini.

    Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako.

    Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara.

    Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!!

    Je wewe ni malikia wa nguvu?
    Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi. Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako. Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake. Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu. Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima. Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake. Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini. Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako. Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara. Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!! Je wewe ni malikia wa nguvu?
    ·455 Views
  • Moja ya kitu kinaweza kukuchosha kwenye maisha yako ni pale ambapo kila siku unaona haupati matokeo ya unachofanya ni kama haupati mavuno unayotaka, watu wengi sana wamekata tamaa wanapopitia hali hii ndio maana Robert Louis Stevenson aliwahi kusema “Usiitathmini siku yako kwa MAVUNO unayovuna Bali kwa MBEGU ambazo UNAPANDA”(Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant)

    Kumbuka kila siku una fursa na nafasi mpya ya kupanda kitu kwa ajili ya KESHO yako na sio kila siku utakuwa unavuna. Kuna wakati UAMINIFU wako utakuwa kama unaona hauna faida, kuna wakati BIDII yako itakuwa kama haileti tofauti, kuna wakati NIDHAMU yako itakuwa kama ni bure: Usiache kwa sababu hauoni matokeo ya nje.
    kumbuka hiyo ni MBEGU kuna siku ITAOTA.

    Unapokuwa MKULIMA kuna wakati watu wataona kama vile unapoteza MUDA kwa sababu mbegu ulizopanda shambani zitakuwa bado HAZIJAOTA. Usiache KUMWAGILIA kwa sababu HAZIJACHIPUA. Kumbuka kuna mambo yanachukua MUDA MFUPI na mengine yanachukua MUDA MREFU sana Kuyakamilisha.

    Je, kesho unatapanda mbegu gani..?
    Moja ya kitu kinaweza kukuchosha kwenye maisha yako ni pale ambapo kila siku unaona haupati matokeo ya unachofanya ni kama haupati mavuno unayotaka, watu wengi sana wamekata tamaa wanapopitia hali hii ndio maana Robert Louis Stevenson aliwahi kusema “Usiitathmini siku yako kwa MAVUNO unayovuna Bali kwa MBEGU ambazo UNAPANDA”(Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant) Kumbuka kila siku una fursa na nafasi mpya ya kupanda kitu kwa ajili ya KESHO yako na sio kila siku utakuwa unavuna. Kuna wakati UAMINIFU wako utakuwa kama unaona hauna faida, kuna wakati BIDII yako itakuwa kama haileti tofauti, kuna wakati NIDHAMU yako itakuwa kama ni bure: Usiache kwa sababu hauoni matokeo ya nje. kumbuka hiyo ni MBEGU kuna siku ITAOTA. Unapokuwa MKULIMA kuna wakati watu wataona kama vile unapoteza MUDA kwa sababu mbegu ulizopanda shambani zitakuwa bado HAZIJAOTA. Usiache KUMWAGILIA kwa sababu HAZIJACHIPUA. Kumbuka kuna mambo yanachukua MUDA MFUPI na mengine yanachukua MUDA MREFU sana Kuyakamilisha. Je, kesho unatapanda mbegu gani..?
    ·338 Views
More Stories