Kama unajijua umeolewa, umeoa, au upo kwenye mahusiano basi jitahidi uonekane upo hivyo.

Kama upo kwenye ndoa basi act kama upo kwenye ndoa na kama unajua umeshachukuliwa basi onekana kweli kama umechukuliwa.

Sio umeolewa au umeoa halafu unajifanya upo single. Au upo kwenye mahusiano halafu unajifanya upo single...

Watu tuliopo single hatuna muda na "watu walioko kwenye ndoa" au "waliopo kwenye mahusiano"

Kama hauna furaha kwenye ndoa yako, ndio hivyo..ulishafanya maamuzi, sasa tafuta namna ya ku-deal nayo. Aidha nenda kwa wataalamu wa councelling na psychology au kutana na kiongozi wako wa dini na mwombe sana Mungu.

Kama hauna furaha na mahusiano yako, hujachelewa sana. Unaweza kuyavunja kama hayana tija kabla hujaingia kwenye ndoa. Lakini kabla ya hapo usianze kujibebisha kwa watu walioko single ukijidai na wewe upo single kumbe upo kwenye ndoa.

Watu 'tuliopo' single tuna issues zetu. Aidha tunangoja Mungu atupe wale walio sahihi, tuna-run careers na biashara zetu na tunajenga maisha yetu ya kiroho. Huwa hatuna muda wa wanaume au wake za watu!

Sifahamu kwa watu wengine, ila kwa wale single wanaojielewa hawana muda na watu ambao wako TAKEN...hivyo kama unajua you are TAKEN, then act TAKEN

Acha wenye ndoa waonekane kama wanandoa,

Acha waliokuwa 'taken' waonekane kama 'taken',

And let single people act single,

Pambana na hali yako..

Kila mwenye sikio na asikie..
Kama unajijua umeolewa, umeoa, au upo kwenye mahusiano basi jitahidi uonekane upo hivyo. Kama upo kwenye ndoa basi act kama upo kwenye ndoa na kama unajua umeshachukuliwa basi onekana kweli kama umechukuliwa. Sio umeolewa au umeoa halafu unajifanya upo single. Au upo kwenye mahusiano halafu unajifanya upo single... Watu tuliopo single hatuna muda na "watu walioko kwenye ndoa" au "waliopo kwenye mahusiano" Kama hauna furaha kwenye ndoa yako, ndio hivyo..ulishafanya maamuzi, sasa tafuta namna ya ku-deal nayo. Aidha nenda kwa wataalamu wa councelling na psychology au kutana na kiongozi wako wa dini na mwombe sana Mungu. Kama hauna furaha na mahusiano yako, hujachelewa sana. Unaweza kuyavunja kama hayana tija kabla hujaingia kwenye ndoa. Lakini kabla ya hapo usianze kujibebisha kwa watu walioko single ukijidai na wewe upo single kumbe upo kwenye ndoa. Watu 'tuliopo' single tuna issues zetu. Aidha tunangoja Mungu atupe wale walio sahihi, tuna-run careers na biashara zetu na tunajenga maisha yetu ya kiroho. Huwa hatuna muda wa wanaume au wake za watu! Sifahamu kwa watu wengine, ila kwa wale single wanaojielewa hawana muda na watu ambao wako TAKEN...hivyo kama unajua you are TAKEN, then act TAKEN Acha wenye ndoa waonekane kama wanandoa, Acha waliokuwa 'taken' waonekane kama 'taken', And let single people act single, Pambana na hali yako.. Kila mwenye sikio na asikie..
0 Commenti ·0 condivisioni ·241 Views