Upgrade to Pro

Siyo kila tatizo unalokutana nalo barabarani pindi uendeshapo gari litahitaji ukamate brake...
Mengine yanahitaji ukanyage mafuta ili gari ipite kikwazo hiko...

Hivyo basi hata kwenye ndoa na mahusiano siyo kila tatizo ukimbilie kwa wazazi au ulireact..
Kuna matatizo mengine unatakiwa uwe muelewa na uyachukulie kama yalivyo ili yapite salama.. Mengine yanahiyaji kujibebisha zaidi ili uilinde furaha yako isipotee...
Siyo kila tatizo unalokutana nalo barabarani pindi uendeshapo gari litahitaji ukamate brake... Mengine yanahitaji ukanyage mafuta ili gari ipite kikwazo hiko... Hivyo basi hata kwenye ndoa na mahusiano siyo kila tatizo ukimbilie kwa wazazi au ulireact.. Kuna matatizo mengine unatakiwa uwe muelewa na uyachukulie kama yalivyo ili yapite salama.. Mengine yanahiyaji kujibebisha zaidi ili uilinde furaha yako isipotee...
Like
1
·256 Views