Sports Elite
2 people like this
569 Posts
580 Photos
0 Videos
0 Reviews
Recent Updates
  • OFFICIAL: Real Betis imetangaza uhamisho wa Valentín Gómez!

    #ValentinGomez #RealBetis #TransferNews

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL: Real Betis imetangaza uhamisho wa Valentín Gómez! 💚🇦🇷 ✨⚽ #ValentinGomez #RealBetis #TransferNews #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·0 Views
  • Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.💰😳 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·5 Views
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·0 Views
  • ✍🏿RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni

    Manu Rodriguez - kocha msaidizi

    Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo

    #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc
    #SportsElite
    🚨📜✍🏿🔰RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni Manu Rodriguez - kocha msaidizi Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·0 Views
  • ✍🏿RASMI:Klabu ya soka ya Al-Nassr imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji João Félix,kutoka Chelsea kwa uhamisho wa €30M kwa mkataba ambao utamweka katika klabu hiyo hadi Juni 2027.


    #SportsElite
    🚨📜✍🏿RASMI:Klabu ya soka ya Al-Nassr imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji João Félix,kutoka Chelsea kwa uhamisho wa €30M kwa mkataba ambao utamweka katika klabu hiyo hadi Juni 2027. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·0 Views
  • BREAKING

    Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

    Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

    Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·3 Views
  • RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo.

    Klabu ya Göztepe inahitaji €25M.

    Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo..

    (Source: @Plettigoal & @philipphinze24)

    #SportsElite
    🚨 RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo. Klabu ya Göztepe inahitaji €25M. Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo.. (Source: @Plettigoal & @philipphinze24) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·59 Views
  • Everton Football Club inapanga kumsajili beki wa kati wa Adam Aznou kutoka Bayern Munich.

    Ada ya uhamisho €9M na nyongeza ya €3M..

    (Source: Paddy Boyland

    #SportsElite
    🚨 Everton Football Club inapanga kumsajili beki wa kati wa Adam Aznou kutoka Bayern Munich. Ada ya uhamisho €9M na nyongeza ya €3M.. (Source: Paddy Boyland #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·52 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Leeds United imekamilisha usajili wa golikipa Lucas Perri kutoka Lyon.

    Ada ya €18M.
    Mkataba 2029.

    (Source: Leeds United)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Leeds United imekamilisha usajili wa golikipa Lucas Perri kutoka Lyon. 🔸 Ada ya €18M. 🔸 Mkataba 2029. (Source: Leeds United) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·50 Views
  • RASMI

    Kipa Vanja Milinković-Savić ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Napoli, akitokea Torino kwa mkopo wa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa cha €21M.

    #SportsElite
    🔵 RASMI✅ Kipa Vanja Milinković-Savić ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Napoli, akitokea Torino kwa mkopo wa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa cha €21M. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·66 Views
  • Arsenal wanapanga kumsajili Eberechi Eze (27) mara baada ya kukamilisha dili la Gyökeres, kwa mujibu wa @MiguelDelaney.

    #SportsElite
    🚨🚨Arsenal wanapanga kumsajili Eberechi Eze (27) mara baada ya kukamilisha dili la Gyökeres, kwa mujibu wa @MiguelDelaney. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·74 Views
  • ⚪️𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento.

    Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento.

    Graeme Bailey/ TBR football/ Goal.

    #SportsElite
    ⚪️🔵🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento. Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento. Graeme Bailey/ TBR football/ Goal. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·95 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wapo kwenye harakati za kumuwinda mchezaji wa Westham United Lucas Paqueta.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wapo kwenye harakati za kumuwinda mchezaji wa Westham United Lucas Paqueta. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·60 Views
  • Arsenal wameweka wazi kuwa hawako tayari kulipa mshahara wa juu unaodaiwa na kambi ya Rodrygo.

    #SportsElite
    Arsenal wameweka wazi kuwa hawako tayari kulipa mshahara wa juu unaodaiwa na kambi ya Rodrygo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·63 Views
  • Manchester City bado wana nia ya kumsajili mchezaji wa West Ham United, Lucas Paquetá.

    #SportsElite
    Manchester City bado wana nia ya kumsajili mchezaji wa West Ham United, Lucas Paquetá. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·55 Views
  • BREAKING : FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili.

    FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa 🇨🇵 Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili. FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·80 Views
  • Rodrigo de paul atavaa jezi no.7 kwenye club ya Inter Miami ya marekani, ndoto yake ya kucheza club moja na Messi huenda imetimia, rasmi Messi atakuwa karibu na bodyguard wake kuanzia sasa popote awapo

    #SportsElite
    Rodrigo de paul atavaa jezi no.7 kwenye club ya Inter Miami ya marekani, ndoto yake ya kucheza club moja na Messi huenda imetimia, rasmi Messi atakuwa karibu na bodyguard wake kuanzia sasa popote awapo #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·68 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho.

    #SportsElite
    📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·88 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jules Koundé ameongeza kandarasi kuendelea kusalia Barcelona hadi 2030.

    @FabriceHawkins

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jules Koundé ameongeza kandarasi kuendelea kusalia Barcelona hadi 2030. 🇫🇷 ℹ️ @FabriceHawkins #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·74 Views
  • Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

    Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo.

    Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao.

    "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo.

    #SportsElite
    🚨🚨Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo. Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao. "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·139 Views
  • Raheem Sterling yuko kwenye rada za Antonio Conte kwenda Napoli.

    (Source: Calciomercato)

    #SportsElite
    🚨 Raheem Sterling yuko kwenye rada za Antonio Conte kwenda Napoli. (Source: Calciomercato) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·65 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Flamengo imefikia makubaliano Samuel Lino kwenda Atlético Madrid ⚫️
    Na uhamisho huo umegharimu €22M na nyongeza ya €2M..

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Flamengo imefikia makubaliano Samuel Lino kwenda Atlético Madrid 🔴⚫️🇧🇷 Na uhamisho huo umegharimu €22M na nyongeza ya €2M.. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·74 Views
  • 🚨️ Juventus hawako tayari kumuuza Mturuki Kenan Yildiz ✨️ ambae anawindwa na #Chelsea
    #CFC
    🚨️ Juventus⚪⚫ hawako tayari kumuuza Mturuki Kenan Yildiz ✨️ ambae anawindwa na #Chelsea 🔵⚪ #CFC
    0 Comments ·0 Shares ·75 Views
  • Leeds United imetuma ofa ya £26m kwa Feyenoord kumsajili winga Igor Paixao

    #SportsElite
    Leeds United imetuma ofa ya £26m kwa Feyenoord kumsajili winga Igor Paixao 🚨 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·82 Views
  • Fulham wamemjumuisha Raheem Sterling (30) kwenye orodha yao ya usajili majira haya ya kiangazi, huku winga huyo wa Chelsea akiripotiwa kuwa tayari kuhamia kwa majirani wao wa London. (mcgrathmike)

    #SportsElite
    🚨🚨Fulham wamemjumuisha Raheem Sterling (30) kwenye orodha yao ya usajili majira haya ya kiangazi, huku winga huyo wa Chelsea akiripotiwa kuwa tayari kuhamia kwa majirani wao wa London. (mcgrathmike) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·86 Views
More Stories