-
𝐁REAKING NEWS!
-
Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain.
Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…!
MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?
Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....𝐁REAKING NEWS! - Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain. Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…! MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?😀 Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·50 Visualizações -
RATIBA YA LEO IJUMAA YA NOVEMBER 14 - 2025
🏟 13:20 - Japan Ghana
🏟 14:00 - South Korea Bolivia
🏟 16:00 - Burkina Faso Niger
🏟 18:00 - Kenya Equatorial Guinea
🏟 19:00 - Angola Argentina
🏟 19:00 - Uzbekistan Egypt
🏟 19:30 - Saudi Arabia Ivory Coast
🏟 21:00 - Kuwait Tanzania
🏟 22:00 - Morocco Mozambique
🏟 22:45 - Luxembourg Germany
🏟 22:45 - Croatia Faroe Island
🏟 22:45 - Poland Netherlands
Kama bado haujajisajili na Sporpesa unapitwa na mambo mengi Odds zao kubwa Jisajili sasa Utakujaga kunishukuru baadae Bonyeza Link kisha jisajili https://bit.ly/MicroFB08
#sportpesaushindiuendelee
#sportpesaTZ🚨 RATIBA YA LEO IJUMAA YA NOVEMBER 14 - 2025 🏟 13:20 - Japan 🇯🇵 ⚔️ Ghana 🇬🇭 🏟 14:00 - South Korea 🇰🇷 ⚔️ Bolivia 🇧🇴 🏟 16:00 - Burkina Faso 🇧🇫 ⚔️ Niger 🇳🇪 🏟 18:00 - Kenya 🇰🇪 ⚔️Equatorial Guinea 🇬🇶 🏟 19:00 - Angola 🇦🇴 ⚔️ Argentina 🇦🇷 🏟 19:00 - Uzbekistan 🇺🇿 ⚔️ Egypt 🇪🇬 🏟 19:30 - Saudi Arabia 🇸🇦 ⚔️ Ivory Coast 🇮🇪 🏟 21:00 - Kuwait 🇰🇼 ⚔️ Tanzania 🇹🇿 🏟 22:00 - Morocco 🇲🇦 ⚔️ Mozambique 🇲🇿 🏟 22:45 - Luxembourg 🇱🇺 ⚔️ Germany 🇩🇪 🏟 22:45 - Croatia 🇭🇷 ⚔️ Faroe Island 🇫🇴 🏟 22:45 - Poland 🇵🇱 ⚔️ Netherlands 🇳🇱 ✍️ Kama bado haujajisajili na Sporpesa unapitwa na mambo mengi Odds zao kubwa Jisajili sasa Utakujaga kunishukuru baadae Bonyeza Link kisha jisajili https://bit.ly/MicroFB08 #sportpesaushindiuendelee #sportpesaTZ0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·55 Visualizações -
🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika. MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·43 Visualizações -
RASMI:
Klabu ya Napoli imethibitisha kuwa kiungo wa Cameroon Franck Zambo Anguissa amepata jeraha kubwa la misuli.
Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Anguissa atakuwa nje kwa miezi kadhaa, hali inayoweza kumfanya aukose AFCON 2025 nchini Morocco.
Pigo kubwa kwa Cameroon.
Anguissa ni mhimili mkubwa wa kiungo cha Cameroon, hivyo kutokuwepo kwake kunaathiri uimara wa timu katika presha kubwa ya mechi za AFCON.
Unadhani Cameroon wataimudu AFCON bila Anguissa?
Je, nafasi yake inapaswa kuzibwa na nani?
🔵 RASMI: Klabu ya Napoli imethibitisha kuwa kiungo wa Cameroon 🇨🇲 Franck Zambo Anguissa amepata jeraha kubwa la misuli. Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Anguissa atakuwa nje kwa miezi kadhaa, hali inayoweza kumfanya aukose AFCON 2025 nchini Morocco. Pigo kubwa kwa Cameroon. 💔 Anguissa ni mhimili mkubwa wa kiungo cha Cameroon, hivyo kutokuwepo kwake kunaathiri uimara wa timu katika presha kubwa ya mechi za AFCON. Unadhani Cameroon wataimudu AFCON bila Anguissa? Je, nafasi yake inapaswa kuzibwa na nani?0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·47 Visualizações -
-
Congo DRC wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0.
🚨 Congo DRC 🇨🇩 wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0. 😅😅😅😅😅0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·41 Visualizações -
FC Barcelona wamepanga kujenga sanamu la Mchezaji wao Bora wa Muda Wote Mwamba Lionel Messi mbele ya Dimba lao jipya la Spotify Camp Neu.
Rasi wa Barcelona Juan Laporta amethibitisha Hilo na kusema wanatambua mchango mkubwa wa Lionel Messi na hivyo sanamu Hilo litakuwa ni Heshima Kubwa kwao kwa Mwamba huyo🚨 FC Barcelona wamepanga kujenga sanamu la Mchezaji wao Bora wa Muda Wote Mwamba Lionel Messi mbele ya Dimba lao jipya la Spotify Camp Neu. Rasi wa Barcelona Juan Laporta amethibitisha Hilo na kusema wanatambua mchango mkubwa wa Lionel Messi na hivyo sanamu Hilo litakuwa ni Heshima Kubwa kwao kwa Mwamba huyo0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·36 Visualizações -
JUST IN
Kocha wa Brazil Carlo Ancelotti amekanusha kuwa alimwambia mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19, Endrick, ambaye anakaribia kujiunga na Lyon kwa mkopo, kwamba alilazimika kuihama klabu hiyo ya Uhispania ili kupata nafasi ya kukipiga katika kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026.
Via: AS - In Spanish🚨JUST IN🇧🇷 Kocha wa Brazil Carlo Ancelotti amekanusha kuwa alimwambia mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19, Endrick, ambaye anakaribia kujiunga na Lyon kwa mkopo, kwamba alilazimika kuihama klabu hiyo ya Uhispania ili kupata nafasi ya kukipiga katika kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026. Via: AS - In Spanish0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·36 Visualizações -
Mmiliki wa Sunderland, Kyril Louis-Dreyfus ana umri wa miaka 27 tuu, na alikuwa na umri wa miaka 23 kipindi aliponunua klabu hiyo ilipokuwa League one pale England...
Yeye ni Mswisi mwenye asili ya Ufaransa na ni mmoja wa memba wa familia ya Mfaransa Louis-Dreyfus ambao walikuwa wamiliki wa zamani wa Olympic Marseille.
Alikuwa mwenyekiti mdogo zaidi wa klabu hiyo pindi alipokuwa majority shareholder wa Sunderland na hadi sasa wakiwa wanafanya vizuri kwenye Premier League.
Yeye ndiye sababu kuu, nahodha wa Uswisi Granit Xhaka kuamua kujiunga na Sunderland Dirisha liliopita la Usajili kutokea Bayer Leverkusen, na kuwa moja ya Usajili Bora kwenye Premier League msimu huu...🚨 Mmiliki wa Sunderland, Kyril Louis-Dreyfus ana umri wa miaka 27 tuu, na alikuwa na umri wa miaka 23 kipindi aliponunua klabu hiyo ilipokuwa League one pale England... Yeye ni Mswisi mwenye asili ya Ufaransa na ni mmoja wa memba wa familia ya Mfaransa Louis-Dreyfus ambao walikuwa wamiliki wa zamani wa Olympic Marseille. Alikuwa mwenyekiti mdogo zaidi wa klabu hiyo pindi alipokuwa majority shareholder wa Sunderland na hadi sasa wakiwa wanafanya vizuri kwenye Premier League. Yeye ndiye sababu kuu, nahodha wa Uswisi Granit Xhaka kuamua kujiunga na Sunderland Dirisha liliopita la Usajili kutokea Bayer Leverkusen, na kuwa moja ya Usajili Bora kwenye Premier League msimu huu...0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·46 Visualizações -
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·15 Visualizações
-
Taarifa njemaa kuelekea mchezo wa Ufunguzi wa Uwanja wa Spotify Camp Nou wa Barcelona November 22 mwaka 2025.🏟
Barcelona imethibitisha Winga Raphinha na Golikipa wao Joan Garcia watakuwepo kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Athletic Club November 22 baada ya wote wawili kupona Majeraha yao .
Barcelona imepanga kuuzindua Uwanja wao wa Spotify Camp Nou November 22 ambapo watacheza dhdi ya Athletic Club. ✅️🚨 Taarifa njemaa kuelekea mchezo wa Ufunguzi wa Uwanja wa Spotify Camp Nou wa Barcelona November 22 mwaka 2025.🏟 Barcelona imethibitisha Winga Raphinha na Golikipa wao Joan Garcia watakuwepo kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Athletic Club November 22 baada ya wote wawili kupona Majeraha yao . Barcelona imepanga kuuzindua Uwanja wao wa Spotify Camp Nou November 22 ambapo watacheza dhdi ya Athletic Club. ✅️0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·37 Visualizações -
Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah (27).
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, Al-Ahli Tripoli imekuwa ikimfuatilia Feisal tangu mwezi Agosti 2025, baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya NBC na timu ya taifa, Taifa Stars.
Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilituma barua ya kwanza rasmi ya maombi kwa klabu anayochezea Feisal mnamo tarehe 14 Septemba 2025, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea mazungumzo ya kuhitimisha dili hilo.
Endapo mchakato huo utakamilika, Feisal Salum ataungana na wachezaji kadhaa wa Afrika Mashariki waliowahi kucheza katika ligi ya Libya, ligi inayojulikana kwa malipo mazuri na ushindani mkubwa katika ukanda wa Afrika Kaskazini.
Feisal, ambaye pia ni mchezaji muhimu wa Taifa Stars, ameendelea kuvutia vilabu kadhaa vya nje kutokana na ubora wake wa kiufundi, nidhamu, na uzoefu mkubwa katika soka la kimataifa.
Kwa sasa, klabu anayochezea Feisal haijatoa tamko rasmi kuhusu ofa hiyo, huku mashabiki wakiendelea kusubiri matokeo ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah (27). Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, Al-Ahli Tripoli imekuwa ikimfuatilia Feisal tangu mwezi Agosti 2025, baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya NBC na timu ya taifa, Taifa Stars. Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilituma barua ya kwanza rasmi ya maombi kwa klabu anayochezea Feisal mnamo tarehe 14 Septemba 2025, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea mazungumzo ya kuhitimisha dili hilo. Endapo mchakato huo utakamilika, Feisal Salum ataungana na wachezaji kadhaa wa Afrika Mashariki waliowahi kucheza katika ligi ya Libya, ligi inayojulikana kwa malipo mazuri na ushindani mkubwa katika ukanda wa Afrika Kaskazini. Feisal, ambaye pia ni mchezaji muhimu wa Taifa Stars, ameendelea kuvutia vilabu kadhaa vya nje kutokana na ubora wake wa kiufundi, nidhamu, na uzoefu mkubwa katika soka la kimataifa. Kwa sasa, klabu anayochezea Feisal haijatoa tamko rasmi kuhusu ofa hiyo, huku mashabiki wakiendelea kusubiri matokeo ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·190 Visualizações -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham inaendelea kushikilia mazungumzo na Bayern Munich juu ya uhamisho wa kudumu wa João Palhinha, ambae tayari amekwisha kukubaliana mkataba hadi 2029.🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham inaendelea kushikilia mazungumzo na Bayern Munich juu ya uhamisho wa kudumu wa João Palhinha, ambae tayari amekwisha kukubaliana mkataba hadi 2029. ⚪0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·131 Visualizações
-
OFFICIAL Arsenal kwa sasa haina majeruhi kwenye chumba cha Wagonjwa kuelekea mchezo ujao wachezaji wote wamepona
Kai Havertz
Gabriel Jesus
Gabriel Martinelli
Viktor Gyokeres
Noni Madueke
Martin Ordegaard🚨 OFFICIAL Arsenal kwa sasa haina majeruhi kwenye chumba cha Wagonjwa kuelekea mchezo ujao wachezaji wote wamepona 🇩🇪 Kai Havertz 🇧🇷 Gabriel Jesus 🇧🇷 Gabriel Martinelli 🇸🇪 Viktor Gyokeres 🏴 Noni Madueke 🇳🇴 Martin Ordegaard0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·171 Visualizações -
Lionel Messi usiku wa jana alitembelea tena Camp Nou kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka FC Barcelona na kuandika ana furaha sana kufika hapo akiamini Kuna siku atarudi tena FC Barcelona
The Best everLionel Messi usiku wa jana alitembelea tena Camp Nou kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka FC Barcelona na kuandika ana furaha sana kufika hapo akiamini Kuna siku atarudi tena FC Barcelona💙❤️ The Best ever 🙌0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·134 Visualizações -
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·65 Visualizações
-
Tottenham imeingia kwenye mbio za kumuwania kinda wa FC Porto Samu Aghehowa, pia vilabu kama Arsenal, Newcastle na Nottingham Forest zinavutiwa na mshambuliaji huyo.
Miaka 21 amefunga goli 8 kwenye michezo 10 Porto na ada ya uhamisho wake ni £87M.
(Source: @Caught offside)🚨 Tottenham imeingia kwenye mbio za kumuwania kinda wa FC Porto Samu Aghehowa, pia vilabu kama Arsenal, Newcastle na Nottingham Forest zinavutiwa na mshambuliaji huyo. Miaka 21 amefunga goli 8 kwenye michezo 10 Porto na ada ya uhamisho wake ni £87M. (Source: @Caught offside)0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·301 Visualizações -
-
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·226 Visualizações1
-
🎙 " Tumezoea kuwaona wakiongoza msimamo lakini mwisho wa siku wanakosa Ubingwa ila huu ni mwaka wao Sikuwahi kuwa na Uhakika na kitu lakini msimu huu nauhakika ni mwaka Wao".
" Arsenal wamekuwa tofauti na misimu ya nyuma wanajiamini sanaa wanacheza kitimu na kubwa zaidi wameweza kuyaziba mapungufu yao yaliyokuwa yakiwasumbua misimu ya nyuma"
" Imani yangu huu ndio wakati wa Arsenal kuchukua Ubingwa".
Gary Neville✍️🎙 " Tumezoea kuwaona wakiongoza msimamo lakini mwisho wa siku wanakosa Ubingwa ila huu ni mwaka wao Sikuwahi kuwa na Uhakika na kitu lakini msimu huu nauhakika ni mwaka Wao". " Arsenal wamekuwa tofauti na misimu ya nyuma wanajiamini sanaa wanacheza kitimu na kubwa zaidi wameweza kuyaziba mapungufu yao yaliyokuwa yakiwasumbua misimu ya nyuma" " Imani yangu huu ndio wakati wa Arsenal kuchukua Ubingwa". 🇵🇹 Gary Neville· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·270 Visualizações1
-
WACHEZAJI (5) WALIOFUNGA MABAO MENGI EL CLASCO
Lionel Messi - Mabao 26
Alfredo Di Stefano - Mabao 18
Cristiano Ronaldo - Mabao 18
Karim Benzema - Mabao 16
Raul - Mabao 15🚨 WACHEZAJI (5) WALIOFUNGA MABAO MENGI EL CLASCO 🇦🇷 Lionel Messi - Mabao 26 🇦🇷 Alfredo Di Stefano - Mabao 18 🇵🇹 Cristiano Ronaldo - Mabao 18 🇫🇷 Karim Benzema - Mabao 16 🇪🇸 Raul - Mabao 15· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·295 Visualizações1
-
Liverpool FC wanazingatia usajili wa wachezaji wawili wa safu ya ushambuliaji: Anthony Gordon wa Newcastle na timu ya taifa ya England, pamoja na Antoine Semenyo wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana.
Wachezaji hao wote wanathaminiwa sana na kamati ya usajili ya Liverpool, ambayo imevutiwa na uwezo wao wa kushambulia na kucheza katika nafasi mbalimbali za mbele.
(Chanzo: Football Insider)🚨 Liverpool FC wanazingatia usajili wa wachezaji wawili wa safu ya ushambuliaji: Anthony Gordon wa Newcastle na timu ya taifa ya England, pamoja na Antoine Semenyo wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana. Wachezaji hao wote wanathaminiwa sana na kamati ya usajili ya Liverpool, ambayo imevutiwa na uwezo wao wa kushambulia na kucheza katika nafasi mbalimbali za mbele. (Chanzo: Football Insider)0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·442 Visualizações -
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·229 Visualizações
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·182 Visualizações
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·185 Visualizações
Mais stories