Mmiliki wa Sunderland, Kyril Louis-Dreyfus ana umri wa miaka 27 tuu, na alikuwa na umri wa miaka 23 kipindi aliponunua klabu hiyo ilipokuwa League one pale England...
Yeye ni Mswisi mwenye asili ya Ufaransa na ni mmoja wa memba wa familia ya Mfaransa Louis-Dreyfus ambao walikuwa wamiliki wa zamani wa Olympic Marseille.
Alikuwa mwenyekiti mdogo zaidi wa klabu hiyo pindi alipokuwa majority shareholder wa Sunderland na hadi sasa wakiwa wanafanya vizuri kwenye Premier League.
Yeye ndiye sababu kuu, nahodha wa Uswisi Granit Xhaka kuamua kujiunga na Sunderland Dirisha liliopita la Usajili kutokea Bayer Leverkusen, na kuwa moja ya Usajili Bora kwenye Premier League msimu huu...

🚨 Mmiliki wa Sunderland, Kyril Louis-Dreyfus ana umri wa miaka 27 tuu, na alikuwa na umri wa miaka 23 kipindi aliponunua klabu hiyo ilipokuwa League one pale England...
Yeye ni Mswisi mwenye asili ya Ufaransa na ni mmoja wa memba wa familia ya Mfaransa Louis-Dreyfus ambao walikuwa wamiliki wa zamani wa Olympic Marseille.
Alikuwa mwenyekiti mdogo zaidi wa klabu hiyo pindi alipokuwa majority shareholder wa Sunderland na hadi sasa wakiwa wanafanya vizuri kwenye Premier League.
Yeye ndiye sababu kuu, nahodha wa Uswisi Granit Xhaka kuamua kujiunga na Sunderland Dirisha liliopita la Usajili kutokea Bayer Leverkusen, na kuwa moja ya Usajili Bora kwenye Premier League msimu huu...
0 Комментарии
·0 Поделились
·23 Просмотры