Man United imewasilisha ofa yao kwa Crystal Palace FC kumsajili Adam Wharton ambae ni chaguo la Ruben Amorim

Ruben Amorim anampenda sana Wharton na anaamini ni miongoni mwa wachezaji ambae ataendana na mifumo yake

Source Indykaila News
🚨 Man United imewasilisha ofa yao kwa Crystal Palace FC kumsajili Adam Wharton ambae ni chaguo la Ruben Amorim Ruben Amorim anampenda sana Wharton na anaamini ni miongoni mwa wachezaji ambae ataendana na mifumo yake Source Indykaila News
0 Комментарии ·0 Поделились ·13 Просмотры