Man United imewasilisha ofa yao kwa Crystal Palace FC kumsajili Adam Wharton ambae ni chaguo la Ruben Amorim

Ruben Amorim anampenda sana Wharton na anaamini ni miongoni mwa wachezaji ambae ataendana na mifumo yake

Source Indykaila News
๐Ÿšจ Man United imewasilisha ofa yao kwa Crystal Palace FC kumsajili Adam Wharton ambae ni chaguo la Ruben Amorim Ruben Amorim anampenda sana Wharton na anaamini ni miongoni mwa wachezaji ambae ataendana na mifumo yake Source Indykaila News
0 Comments ยท0 Shares ยท22 Views