-
Habari Mbaya kutoka Ligi Kuu ya England
David Coote, mwamuzi wa zamani wa Ligi Kuu ya England, ameashitakiwa kwa kutengeneza video ya utovu wa nidhamu wa mtoto (Category A) tarehe 2 Januari 2020. Category A ni kiwango cha juu zaidi cha uhalifu huu.
Coote, mwenye umri wa 43, atafikishwa mahakamani Alhamisi, 11 Septemba 2025, katika Mahakama ya Manispaa ya Nottingham.
Hii inakuja baada ya historia yake ya changamoto:
Juni 2024: Alipigwa suspension ya wiki 8 baada ya kutumia maneno ya kudhalilisha kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Novemba 2024: Alisimamishwa kwa kudumu na PGMOL kumfukuza kazi Desemba 2024.
UEFA: Amepigwa marufuku kuongoza mechi za Ulaya hadi 30 Juni 2026 kutokana na tukio jingine linalohusisha dawa za kulevya kwenye Euro 2024.
Coote ameeleza majonzi makubwa kwa matendo yake na changamoto alizokabiliana nazo kama mwamuzi na pia kutokana na uraia wake wa jinsia moja.
Marefa kama hawa ndyo tunawatakaga Sana wanajifanya vichwa vigumu Alfu kina vichwa vigumu zaidi Yake, Alfu hawa marefarii WA Ueingereza Sijui wanashida gani hawaeleweki hata kidogo
Usinisahau kunifollow basi familia yangu -----follow Csmahona updateđš Habari Mbaya kutoka Ligi Kuu ya England David Coote, mwamuzi wa zamani wa Ligi Kuu ya England, ameashitakiwa kwa kutengeneza video ya utovu wa nidhamu wa mtoto (Category A) tarehe 2 Januari 2020. Category A ni kiwango cha juu zaidi cha uhalifu huu. Coote, mwenye umri wa 43, atafikishwa mahakamani Alhamisi, 11 Septemba 2025, katika Mahakama ya Manispaa ya Nottingham. Hii inakuja baada ya historia yake ya changamoto: Juni 2024: Alipigwa suspension ya wiki 8 baada ya kutumia maneno ya kudhalilisha kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp. Novemba 2024: Alisimamishwa kwa kudumu na PGMOL kumfukuza kazi Desemba 2024. UEFA: Amepigwa marufuku kuongoza mechi za Ulaya hadi 30 Juni 2026 kutokana na tukio jingine linalohusisha dawa za kulevya kwenye Euro 2024. Coote ameeleza majonzi makubwa kwa matendo yake na changamoto alizokabiliana nazo kama mwamuzi na pia kutokana na uraia wake wa jinsia moja. Marefa kama hawa ndyo tunawatakaga Sana wanajifanya vichwa vigumu Alfu kina vichwa vigumu zaidi Yake, Alfu hawa marefarii WA Ueingereza Sijui wanashida gani hawaeleweki hata kidogo đ€ Usinisahau kunifollow basi familia yangu đ-----follow Csmahona update0 Commentaires ·0 Parts ·13 Vue -
0 Commentaires ·0 Parts ·2 Vue
-
Tutegemee kumuona Bajcetic akipewa nafasi ya kucheza ndani ya Liverpool msimu huu baada ya Liverpool kugoma kumtoa kwa mkopo/kumuuza moja kwa moja.đTutegemee kumuona Bajcetic akipewa nafasi ya kucheza ndani ya Liverpool msimu huu baada ya Liverpool kugoma kumtoa kwa mkopo/kumuuza moja kwa moja.đđŽ0 Commentaires ·0 Parts ·3 Vue
-
CHUKUA HII
Mohamed Salah anashika nafasi ya 3 ya wafungaji wa muda wote ndani ya klabu ya Liverpool mpaka hivi sasa, akiwa ameifungua Liverpool magoli 246 katika michezo 405.CHUKUA HII đ đMohamed Salah anashika nafasi ya 3 ya wafungaji wa muda wote ndani ya klabu ya Liverpool mpaka hivi sasa, akiwa ameifungua Liverpool magoli 246 katika michezo 405.0 Commentaires ·0 Parts ·2 Vue -
_||đđđđđđđ: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...
Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.
Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!đš_||đŁđđđđđđđ: Ligi Kuu ya Ugiriki đŹđ· (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea... đšđŒRais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens. đź Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! đČ0 Commentaires ·0 Parts ·8 Vue -
đđ đ đđđđđ: West Ham imekamilisha usajili wa Lukasz Fabianski (40) kama mchezaji huru
Fabiansk anarejea West Ham ... Huku akicheza michezo 216 appearances .đšđ”đ± đđ đ đđđđđ: West Ham imekamilisha usajili wa Lukasz Fabianski (40) kama mchezaji huru âïž Fabiansk anarejea West Ham ... Huku akicheza michezo 216 appearances . đ§€âš0 Commentaires ·0 Parts ·4 Vue -
|Gazzetta_it: Federico Chiesa alikataa ofa za mkopo kutoka klabu za Napoli na Inter na badala yake akaamua kubaki Liverpool kwa sababu anataka kushindana na “wachezaji wa kiwango cha juu” ndani ya Liverpool.
Ana ari kubwa ya kujithibitisha kwa Arne Slot.đš|Gazzetta_it: Federico Chiesa alikataa ofa za mkopo kutoka klabu za Napoli na Inter na badala yake akaamua kubaki Liverpool kwa sababu anataka kushindana na “wachezaji wa kiwango cha juu” ndani ya Liverpool. đAna ari kubwa ya kujithibitisha kwa Arne Slot.0 Commentaires ·0 Parts ·4 Vue -
Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool
Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool.
Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba.
Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool.
Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.đIsak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool đMshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool. đMchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba. đIsak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool. đHuenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.0 Commentaires ·0 Parts ·3 Vue -
Tetesi Zinazovuma
Liverpool wako tayari kuipuuza Crystal Palace na kusubiri hadi mwisho wa msimu kumsajili Marc Guéhi kwa uhamisho huru, kwa mujibu wa Daily Mirror. Uhamisho wa Guéhi kutoka London kwenda Merseyside ulivunjika dakika za mwisho katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili.
Ilikuwa inatarajiwa sana kuwa mabingwa wa Premier League wangerudi tena Januari, jambo ambalo lingeiwezesha Palace kupata ada ya uhamisho kwa nahodha wao, ambaye yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake.
Hata hivyo, Liverpool wanaamini Palace wanajaribu kuchochea nia kutoka kwa klabu pinzani ili kuwashinikiza, lakini hawana mpango wa kutoa ofa mwezi Januari.
Mchezaji mwenyewe ameweka wazi kuwa hana nia ya kuongeza mkataba mpya ndani ya Selhurst Park, na anaweza kujiunga na Liverpool kama mchezaji huru majira ya kiangazi yajayo, kuchukua nafasi ya mabeki wanaotarajiwa kuondoka — Ibrahima Konaté na Joe Gomez.
Kwa mujibu wa Marca, uamuzi wa Konaté kukataa ofa ya tatu na ya mwisho ya mkataba mpya Liverpool unafungua njia kwa Real Madrid kumsajili beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 26 mwaka 2026 kwa uhamisho huru.
Chanzo: ESPNđTetesi Zinazovuma đLiverpool wako tayari kuipuuza Crystal Palace na kusubiri hadi mwisho wa msimu kumsajili Marc Guéhi kwa uhamisho huru, kwa mujibu wa Daily Mirror. Uhamisho wa Guéhi kutoka London kwenda Merseyside ulivunjika dakika za mwisho katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili. đIlikuwa inatarajiwa sana kuwa mabingwa wa Premier League wangerudi tena Januari, jambo ambalo lingeiwezesha Palace kupata ada ya uhamisho kwa nahodha wao, ambaye yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake. đHata hivyo, Liverpool wanaamini Palace wanajaribu kuchochea nia kutoka kwa klabu pinzani ili kuwashinikiza, lakini hawana mpango wa kutoa ofa mwezi Januari. đMchezaji mwenyewe ameweka wazi kuwa hana nia ya kuongeza mkataba mpya ndani ya Selhurst Park, na anaweza kujiunga na Liverpool kama mchezaji huru majira ya kiangazi yajayo, kuchukua nafasi ya mabeki wanaotarajiwa kuondoka — Ibrahima Konaté na Joe Gomez. đKwa mujibu wa Marca, uamuzi wa Konaté kukataa ofa ya tatu na ya mwisho ya mkataba mpya Liverpool unafungua njia kwa Real Madrid kumsajili beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 26 mwaka 2026 kwa uhamisho huru. Chanzo: ESPN0 Commentaires ·0 Parts ·6 Vue -
TUJIKUMBUSHE KIDOGO
Sebastian Coates
Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo.
Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi.
Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers.
Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12.
Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata.
Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.đTUJIKUMBUSHE KIDOGO đSebastian Coates đSebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo. đAkiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi. đAlicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers. đKatika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12. đHata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata. đBaadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.0 Commentaires ·0 Parts ·10 Vue -
Divock Origi amekwama AC Milan baada ya kukataa kuvunja mkataba huku masuala ya kodi yakimzuia kuondoka nchini Italia
AC Milan na Origi wameshindwa kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, na sasa mshambuliaji huyo ataendelea kusalia San Siro licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza.
Mshindi wa Ligi ya Mabingwa, Divock Origi, amekataa kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Ac Milan licha ya kucheza msimu mzima na timu ya U23 ya Ac Milan.
Uamuzi huu unakuja licha ya Mbelgiji huyo kutocheza mechi yoyote ya ushindani na kikosi cha wakubwa cha Milan tangu mwaka 2023.
Amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na atalazimika kukaa nje msimu mwingine ikiwa hatakubaliana na klabu ya Ac Milan kuvunja mkataba huo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alifunga magoli mawili tu msimu wa 2022–23 kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Nottingham Forest msimu wa 2023–24, ambako alifunga bao moja pekee katika mechi 22 — na bao hilo lilikuja kwenye FA Cup, si Premier League.
Hajacheza mechi ya kikosi cha kwanza kwa miezi 17.đDivock Origi amekwama AC Milan baada ya kukataa kuvunja mkataba huku masuala ya kodi yakimzuia kuondoka nchini Italia đAC Milan na Origi wameshindwa kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, na sasa mshambuliaji huyo ataendelea kusalia San Siro licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza. đMshindi wa Ligi ya Mabingwa, Divock Origi, amekataa kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Ac Milan licha ya kucheza msimu mzima na timu ya U23 ya Ac Milan. đUamuzi huu unakuja licha ya Mbelgiji huyo kutocheza mechi yoyote ya ushindani na kikosi cha wakubwa cha Milan tangu mwaka 2023. đAmebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na atalazimika kukaa nje msimu mwingine ikiwa hatakubaliana na klabu ya Ac Milan kuvunja mkataba huo. đMchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alifunga magoli mawili tu msimu wa 2022–23 kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Nottingham Forest msimu wa 2023–24, ambako alifunga bao moja pekee katika mechi 22 — na bao hilo lilikuja kwenye FA Cup, si Premier League. đHajacheza mechi ya kikosi cha kwanza kwa miezi 17.0 Commentaires ·0 Parts ·4 Vue -
... đđŹđđđđĄ đ đđđŁđŁđ
Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry .
57 04 132 - Olivier Giroud
52 12 092 - Kylian Mbappé
51 02 123 - Thierry Henry
Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium .
Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa .
â 92 - Games.
â 52 - Goals (second top scorer)
â 33 - Assists (best assist provider)
â 85 - Goals/assists.
â 12 - Penalty.
â 03 - Hat trick.
Key .......
_______________
- Games
- Goals
- Penalty
Follow us.
#imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026... đđŹđđđđĄ đ đđđŁđŁđ đ„ Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry . ✠57 đ„ 04 đź 132 - Olivier Giroud ✠52 đ„ 12 đź 092 - Kylian Mbappé ✠51 đ„ 02 đź 123 - Thierry Henry Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa đšđ” ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium đ§đȘ . Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa đšđ” . â 92 - Games. â 52 - Goals (second top scorer) â 33 - Assists (best assist provider) â 85 - Goals/assists. â 12 - Penalty. â 03 - Hat trick. Key ....... đ _______________ đź - Games ✠- Goals đ„ - Penalty Follow us. #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers20260 Commentaires ·0 Parts ·16 Vue -
Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika
1ïžâŁ Morocco [12]
2ïžâŁ Senegal [19]
3ïžâŁ Egypt [32]
4ïžâŁ Algeria [39]
5ïžâŁ Ivory Coast [44]
6ïžâŁ Nigeria [45]
7ïžâŁ Tunisia [47]
8ïžâŁ Cameroon [52]
9ïžâŁ South Africa [55]
Mali [56]
Source FIFAđŁđš Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika 1ïžâŁ đČđŠ Morocco [12] 2ïžâŁ đžđł Senegal [19] 3ïžâŁ đȘđŹ Egypt [32] 4ïžâŁ đ©đż Algeria [39] 5ïžâŁ đźđȘ Ivory Coast [44] 6ïžâŁ đłđŹ Nigeria [45] 7ïžâŁ đčđł Tunisia [47] 8ïžâŁ đšđČ Cameroon [52] 9ïžâŁ đżđŠ South Africa [55] đ đČđ± Mali [56] Source FIFA0 Commentaires ·0 Parts ·8 Vue -
đ đđđ đđđđ : Premier League
MANCHESTER UNITED 3ïžâŁâïž2ïžâŁ BURNLEY FC
âœïž 27" Cullen (og) âœïž 55" Foster
âœïž 57" Mbeumo âœïž 68" Antony
âœïž 90+7" Bruno (p)đ© đ đđđ đđđđ : Premier League đŽó §ó ąó „ó źó §ó ż MANCHESTER UNITED 3ïžâŁâïž2ïžâŁ BURNLEY FC âœïž 27" Cullen (og) âœïž 55" Foster âœïž 57" Mbeumo âœïž 68" Antony âœïž 90+7" Bruno (p)0 Commentaires ·0 Parts ·115 Vue -
OFFICIAL Coady Gakpo ameongeza mkataba wa miaka miwili na nusu kubakia Liverpool hadi 2029.
Source Fabrizio
#SportsEliteđłđ±âïžOFFICIAL Coady Gakpo ameongeza mkataba wa miaka miwili na nusu kubakia Liverpool hadi 2029.đ Source Fabrizio #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·235 Vue -
Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.
Source Fabrizio Romano
#SportsEliteđ°đš Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.đȘđžđ” Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·280 Vue -
đđđđ đđ đđ : đđđŹđŠđźđŹ đđšđŁđ„đźđ§đ đđš đđđ đđđ©đšđ„đą
BREAKING SSC Napoli imefikia makubaliano kamili na Man United kumsajili Rasmus Højlund kwa mkopo wa €6m na chaguo la kumsajili kwa ada ya €44m.
Source Fabrizio Romano
#SportsEliteđš đđđđ đđ đđ : đđđŹđŠđźđŹ đđšđŁđ„đźđ§đ đđš đđđ đđđ©đšđ„đą đšBREAKING SSC Napoli imefikia makubaliano kamili na Man United kumsajili Rasmus Højlund kwa mkopo wa €6m na chaguo la kumsajili kwa ada ya €44m. đ©đ° Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·331 Vue -
đđđđ đđ đđ : đđąđđšđ„đđŹ đđđđ€đŹđšđ§ đđš đđđČđđ«đ§ đđźđ§đąđđĄ
BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m
Source Fabrizio Romano
#SportsEliteđš đđđđ đđ đđ : đđąđđšđ„đđŹ đđđđ€đŹđšđ§ đđš đđđČđđ«đ§ đđźđ§đąđđĄ đšBREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80mđžđł Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·377 Vue -
đđ„đđđđđĄđ: Liverpool sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji kutoka Newcastle United Alexander Isak kwa ada ya £130m.
Source Football Tweets
#SportsEliteđš đđ„đđđđđĄđ: Liverpool sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji kutoka Newcastle United Alexander Isak kwa ada ya £130m. Source Football Tweets #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·346 Vue -
Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024.
Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco.
Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania katika anga ya kimataifa.
| @errymars_
#ManaraTV
#ManaraTVUpdatesMsanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024. Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco. Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania đčđż katika anga ya kimataifa. âïž| @errymars_ #ManaraTV #ManaraTVUpdates0 Commentaires ·0 Parts ·423 Vue -
đđ„đđđđđĄđ : Liverpool imepanga kuwasilisha ofa yao Leo kwa Newcastle United yenye thamani zaidi ya £125m kumsajili mshambuliaji Alexander Isak.
Source The Touchline
#SportsEliteđš đđ„đđđđđĄđ : Liverpool imepanga kuwasilisha ofa yao Leo kwa Newcastle United yenye thamani zaidi ya £125m kumsajili mshambuliaji Alexander Isak. đ° đžđȘ Source The Touchline #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·265 Vue -
đđđđđđđđ: Leverkusen imekamilisha usajili wa Eliesse Ben (20).
Bayer Leverkusen ilifikia makubaliano dhidi ya Monaco kumpata winga huyo mwenye thamani ya €30M hadi 2030.
#SportsEliteđšđŁ đđđđđđđđ: Leverkusen imekamilisha usajili wa Eliesse Ben (20). Bayer Leverkusen ilifikia makubaliano dhidi ya Monaco kumpata winga huyo mwenye thamani ya €30M hadi 2030. #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·236 Vue -
Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+
Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana au mlishindwa kumvumilia Captain America
Au Seria A ni ligi nyepesi sana ?
#SportsEliteđšđšAc Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+ đ Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana đ au mlishindwa kumvumilia Captain America đ Au Seria A ni ligi nyepesi sana ? #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·271 Vue -
đđđđ đđ đđ : đ đđđźđđš đđźđšđ§đđ§đšđđđ đđš đđĄđđ„đŹđđ
BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..!
Source Fabrizio Romano
#SportsEliteđŠđ·đšđđđđ đđ đđ : đ đđđźđđš đđźđšđ§đđ§đšđđđ đđš đđĄđđ„đŹđđ đš BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..! Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·328 Vue -
đđ„đđđđđĄđ: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona.
Source The Touchline T
#SportsEliteđđšđđ„đđđđđĄđ: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona. Source The Touchline T #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·199 Vue
Plus de lecture