Upgrade to Pro

Kushoto ni save ya Diarra kwenye mechi ya CAF Champions League Young Africans Sports Club dhidi ya CBE ikimfanya kipa huyo kuondoka na clean sheet

Kulia ni save kutoka kwa Moussa Camara kipa la wekundu wa msimbazi simba dhidi ya Al Ahli Tripoli ikipigwa naMabululu dakika za jioni na kupelekea wekundu wa msimbazi kwenda makundi CAF Confederation Cup

IPI KWAKO NI SAVE BORA WEEKEND ILIYOPITA KWA TIMU HIZI ZA KARIAKOO
Kushoto ni save ya Diarra kwenye mechi ya CAF Champions League Young Africans Sports Club dhidi ya CBE ikimfanya kipa huyo kuondoka na clean sheet Kulia ni save kutoka kwa Moussa Camara kipa la wekundu wa msimbazi simba dhidi ya Al Ahli Tripoli ikipigwa naMabululu dakika za jioni na kupelekea wekundu wa msimbazi kwenda makundi CAF Confederation Cup 👉IPI KWAKO NI SAVE BORA WEEKEND ILIYOPITA KWA TIMU HIZI ZA KARIAKOO
Like
3
1 Comments ·458 Views