''Watu ni ngazi, watu ni daraja, watu ni ukuta na watu ni shimo. Wanaweza kukuvusha, wanaweza kukuhifadhi na wanaweza kukuangusha. Huwezi kuwakwepa kabisa watu katika maisha yako jitahdi kuwa na maarifa ya kuwajulia, kunufaika nao, na kunufaishana nao''.

·151 Views