Upgrade to Pro

*Badili fikra na mtazamo wako kama unataka kufanikiwa zaidi*

Kama kuna kazi unaifanya iko mbele yako, acha kuifikiria kwamba kazi hiyo ni ngumu, bali ifikirie kazi hiyo ni ya muhimu unatakiwa kuifanya kwa umakini na usahihi mkubwa.

Unapojiwekea fikra ya kuwa kazi hiyo ni ngumu, itakuwa ngumu kweli kwako. Kila wakati toa mawazo kabisa, yanayosema kazi hii ni ngumu au majukumu hayo ni magumu sana kwako.

Ukiacha kufikiria hivyo kuwa kazi ni ngumu na ukaamua kuchukua hatua za kufanya kama kazi ya muhimu, basi utaweza kufanikisha kazi hiyo unayosema ni ngumu, tena kwa urahisi.

Badili fikra zako, badili mtazamo wako, unaowaza kazi hii ni ngumu na kuwaza ni kazi ya kawaida na muhimu inayoweza kufanyika bila tatizo kubwa kwako. Ifanye kazi hiyo.

*AMKA DUNIA INAKUSUBILI TWENDE TUKALIJENGE TAIFA*
*Badili fikra na mtazamo wako kama unataka kufanikiwa zaidi* ✨Kama kuna kazi unaifanya iko mbele yako, acha kuifikiria kwamba kazi hiyo ni ngumu, bali ifikirie kazi hiyo ni ya muhimu unatakiwa kuifanya kwa umakini na usahihi mkubwa. ✨Unapojiwekea fikra ya kuwa kazi hiyo ni ngumu, itakuwa ngumu kweli kwako. Kila wakati toa mawazo kabisa, yanayosema kazi hii ni ngumu au majukumu hayo ni magumu sana kwako. ✨Ukiacha kufikiria hivyo kuwa kazi ni ngumu na ukaamua kuchukua hatua za kufanya kama kazi ya muhimu, basi utaweza kufanikisha kazi hiyo unayosema ni ngumu, tena kwa urahisi. ✨Badili fikra zako, badili mtazamo wako, unaowaza kazi hii ni ngumu na kuwaza ni kazi ya kawaida na muhimu inayoweza kufanyika bila tatizo kubwa kwako. Ifanye kazi hiyo. *AMKA DUNIA INAKUSUBILI TWENDE TUKALIJENGE TAIFA*
Like
Love
4
·197 Views