Henock Inonga Baka kwenda FA Rabat inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco
.
Kwa mujibu wa Simba Inonga raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amebakisha Mkataba wa mwaka mmoja unaomalizika 2025 lakini kutokana na klabu kujali maslahi ya wachezaji, wamemruhusu beki huyo kuondoka kwenda kujiunga na FA Rabat. Inonga alijiunga na kikosi cha Simba mwaka 2021 akitokea DC Motema Pembe ya Congo.
Henock Inonga Baka kwenda FA Rabat inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco 🇲🇦 . Kwa mujibu wa Simba Inonga raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amebakisha Mkataba wa mwaka mmoja unaomalizika 2025 lakini kutokana na klabu kujali maslahi ya wachezaji, wamemruhusu beki huyo kuondoka kwenda kujiunga na FA Rabat. Inonga alijiunga na kikosi cha Simba mwaka 2021 akitokea DC Motema Pembe ya Congo.
Like
Love
2
· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·71 مشاهدة