kumekucha kijuhudi... hatua zangu nazitupa,,,//
kuhaso ndo kusudi...la Jah rizki atanipa,,//
na kaza Kazi zote nagonga... pesa nalipwa kesh,,,//
nafunga zipu noti nakunja... nazama chuch,,,//
Jah ndo langu jeshi... kila chaka sitoki kapa,,//
yuko freshi... mwenyezi nampa sifa,,//
imani kwa Jah... japo mbele naona giza,,//
imani ni taa... imulike kwenye giza,,//
iangaze napoenda viwanja nipige mawe...
uvivu ndo wenye kuvunja moyo,,,//
kila chaka nalotimba ni full shangwe...
wanangu kwa Jah hakuna choyo,,//

0 Kommentare
·0 Anteile
·243 Ansichten