Sawa we nenda .. Nakuatakia baraka
Uendako uwe good wala usiwe na mashaka.....***

~najua ahadi zangu .... Ndio zilikuumiza
Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza .....//

Leo unandoka..... Auchi ata ndala
Niachie ata picha .... Usiku niweze lala.....//

Ntamic harufu yako .... Mafuta yako
Ntamic hadi macho pia napenz lako......//

Usione siumii .....ira ndio bac
Najikaza kishababi.... Kama cna wac wac......//

Mpk nyau piaa...... atakukumbuka
Kwa yako mapishi ......Naona jikoni pata umbuka ....//

Malkia wangu ... Nyonga Mkalia ini
Leo una ndoka....... nabak alone mm.....//

Fanya kama uend .....ludi mpenz
Usiniache nitachekwa ....ntateseka na mapenz.....//

Ntamic cheko rako .... Fulaha yangu ipo kwako
Ukifika uendako ..... Nisikie sauti yako ......//

inamaana leo mwisho.......ata kunikumbatia
Lile busu ra shavuni nani nitampatia.....//

Nalia na mengi..... Usiseme niwe sawa
Mm kwako nlifika .... Napia nilipagawa.....//

My love pliz .....usinyanyue ata begi
Mtalia kama mtoto.. .... aliye pigwa mijeledi.....//
Sawa we nenda .. Nakuatakia baraka Uendako uwe good wala usiwe na mashaka.....*** ~najua ahadi zangu .... Ndio zilikuumiza Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza .....// Leo unandoka..... Auchi ata ndala Niachie ata picha .... Usiku niweze lala.....// Ntamic harufu yako .... Mafuta yako Ntamic hadi macho pia napenz lako......// Usione siumii .....ira ndio bac Najikaza kishababi.... Kama cna wac wac......// Mpk nyau piaa...... atakukumbuka Kwa yako mapishi ......Naona jikoni pata umbuka ....// Malkia wangu ... Nyonga Mkalia ini Leo una ndoka....... nabak alone mm.....// Fanya kama uend .....ludi mpenz Usiniache nitachekwa ....ntateseka na mapenz.....// Ntamic cheko rako .... Fulaha yangu ipo kwako Ukifika uendako ..... Nisikie sauti yako ......// inamaana leo mwisho.......ata kunikumbatia Lile busu ra shavuni nani nitampatia.....// Nalia na mengi..... Usiseme niwe sawa Mm kwako nlifika .... Napia nilipagawa.....// My love pliz .....usinyanyue ata begi Mtalia kama mtoto.. .... aliye pigwa mijeledi.....//
Like
Love
3
· 0 Commentaires ·0 Parts ·115 Vue